wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ki wapi kile kirusi hatari cha Delta

    Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea Misongamano kama yote nchi nzima, wagonjwa wa sukari, wazee, wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda Nimeamini korona ni usanii tosha na imetengenezwa ili kufanikisha mageuzi ya mifumo fulani ya kifedha ya...
  2. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  3. CHADEMA chuki dhidi ya taifa lenu inatoka wapi? Kwa namna hii mnastahili hata kiti cha udiwani?

    Nyie kila jambo baya dhidi ya taifa letu mnaona ni zuri na mnafurahia na kukenua meno. Hii ni kasumba mbaya sana na kukosa utu na uzalendo. Taifa stars ikifungwa mnakenua meno, majanga ya kila namna yakitokea mnakenua meno. Yametokea hapo K' nondoni mnafurahia na kopost furaha zenu kana kwamba...
  4. Badi Bakule yupo wapi?

    Wakuu mm ni mtu na-enjoy Sana Muziki huyu mwamba enzi zake alikua anaimba balaa sijui kaishia wapi?
  5. Yawezekana siyo Gaidi au Jambazi, Silaha za kivita alijulia wapi?

    Sawa tukubaliane na ushuhuda wa majirani kuhusu kijana Hamza aliyeuawa na polisi baada ya yeye kuwaua polisi wawili na mlinzi moja, ukitazama tukio lilivyokuwa kupitia video zilizorekodiwa, utaona kuwa huyu bwana alikuwa na uwezo wa kutumia mashine gun au silaha nzito ya kivita, haya mafunzo...
  6. Kipimo cha Follicle Stimulating Hormonie kinapatikana wapi Mwanza

    Uzi umeelewa wakuu wa jukwaa. Naomba kujua kipimo hiki cha FSH kinapatikana wapi kwa Mwanza?
  7. Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

    Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
  8. 500 Zimbabwean dollar sawa na 1USD, 2400 Tanzania Shilingi sawa na 1USD, Wazimbabwe wamewazaje kupandisha thamani ya pesa yao na sisi tunakwama wapi?

    Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu. Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS. Wamewazaje kupandisha thamani ya...
  9. S

    Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

    Nimeona katika picha Rais Samia alitumia ndege ya ATCL Airbus 220 5H-TCH (Dodoma - Hapa Kazi Tu) kwenda Malawi kwenye mkutano wa SADC. Ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria kama 120 hivi. Sio kwamba ninataka tu kumkosoa Rais Samia, lakini najiuliza sana, kwamba ni kwa nini anapofanya safari kama...
  10. Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

    Salute. Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  12. Tabata Huduma za Kijamii Zinapatikana wapi?

    Wakuu kwema. Nipo mitaa ya Tabata na viwanja vyake huu usiku. Nilikua nauliza "huduma za kijamii" huku Zinapatikana wapi? Eneo zuri kidogo sio kama lile la Ubungo Riverside au Corner Bar watu wengi sana, tena bystanders. Najua kuna Corona, AIDS, etc ila nitachukua tafadhali zote. Asante.
  13. Kodi na Tozo zinazowaumiza Watanzania: Tumekosea wapi ili tutubu?

    Ndugu zangu Watanzania tumekosea wapi mbona siku hadi siku mambo yanazidi kuwa tight sana mtaani huku. No pesa ukitumia ka hela kako kidogo unakutana na makato ya ajabu,ukiweka Vocha usalimie ndugu & jamaa napo tabu. Day after day wanakuja na mbinu mpya sio kwa ajili ya kumpa ahueni Mtanzania...
  14. M

    Mwigulu hii Tsh 70 katika Makusanyo ya Tsh 48,489,225,670 imetoka wapi wakati Siku hizi hakuna Sarafu ya Tsh 20?

    Na kama Benki Kuu ilishaondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20 imekuwaje katika Makusanyo ya Mwezi ya Tsh 48,489,225,670 kukawepo hii Tsh 70? Tsh 50 ya Sarafu najua ipo ila Tsh 20 ya Sarafu haipo tena je, hapa imeingiaje katika Mahesabu? Na kama Sarafu ya Tsh 20 haipo tena kwanini...
  15. Jukwaa la Wakubwa liko wapi?

    Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??
  16. Wakala wa Vipimo mko wapi? Mabucha ya nyama Chanika yanawapunja wateja

    Habari! Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa. Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
  17. N

    Rais Samia anaridhishwa na yanayoendelea sasa kati ya Serikali na Askofu Gwajima?

    Sasa hivi ni siku za hivi karibuni ni kama vile Taifa lipo kwenye sintofahamu. Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima. Mambo yamekuwa mvurugano kila leo ni vijembe mara katibu wa CCM nae kaingiamo mule mule Gwajima anapeleka watu mputa mputa Sasa hivi na IGP Sirro kaingia...
  18. Tutaipata Katiba Mpya, kuuzima mjadala wake ni ngumu

    Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
  19. Michango ya Kumchangia Sabaya iliishia wapi?

    Kuna watu walianzisha kampeni ya kumchangia Sabaya ili kumuwekea Wakili "mkali" kabisa na kwamba walitaka kukusanya kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kwenda kumtembelea. Mmeishia wapi? Mlikusanya kiasi gani? Maana kama Wakili mliyempata ndio kashauri Sabaya aseme Yale aliyoyasema basi...
  20. Hivi Wazee Wanaenda wapi hapa Dar es Salaam

    Wasalaamu wakuu. Kuna uwezekano mkubwa ya kuwa wanaume tunapotea mapema sana hasa kwenye hili jiji. Yaani June nilienda kijijini nimekutana na wazee wa miaka hiyo bado wanakula nchi. Lakini hapa Dar unaweza kaa mwaka usikutane na hata na mzee mmoja. La pili, nimekumbuka ile hafla ya makonda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…