wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

    Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
  2. Blasio Kachuchu

    Nyerere Cycling Tour Watangaza Washirika wao wa mwaka 2026

    Washirika wa Nyerere Cycling Tour, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Zuweina Farah (wa nne kulia), ambaye aliwakilisha Vodacom Tanzania PLC kama mdhamini mkuu wa msafara huo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari na...
  3. R

    Si kweli kuwa Kifo ni kifo tusilete taharuki. Lazima kilete taharuki. Poleni familia za wote waliopoteza wapendwa wao in this era of political turmoil

    Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI. Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI. Nadhani kuna SOMO tumejifunza na Mwalimu wetu aliyesema kifo ni kifo tusilete taharuki amepata jawabu akina Familia ya...
  4. Pascal Mayalla

    Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  5. Design Your Idea

    Ukishakuwa mwenye umri wa miaka 29 hadi 40, ndio utaelewa kindaki ndaki kwa nini wanaume wanajitoaga uhai wao au wengine kugeuka vichaa.

    Niwatakie ustawi, haswa wa afya ya akili.
  6. TheForgotten Genious

    Namna wenzetu wanavyowaandaa watoto wao kuja kuwa wasimamizi wa biashara zao

    Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi ya METL. Huyu katikati ni WAMKELE MENE , Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya...
  7. prida

    Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    . Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi. Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi yake,malazi yake na huduma zote anazohitaji binadamu anazipata kutoka kwako halafu ikatokea mke huyu akachit...
  8. Dogoli kinyamkela

    Dare es salaam kujipatia mandonga wao

    Naskia Kuna mandonga mpya mitaa ya MWENGE kanikanyagia mtu uko,watu mapenda kujiamulia mambo😂😂😂😂
  9. M

    Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
  10. kagoshima

    Vilio vinasikika kila kona ya Tanganyika. Wanawalilia wapendwa wao maana yamkini hawatoonekana tena. Wametekwa na waovu.

    Wengi wa waliotekwa na wanaotekwa ni vijana wa umri tofauti walioowa na ambao hawajaoa. Kwenye serikali ya awamu hii, vilio vinasikika kila kona ya Tanganyanyika kwasababu zisizoeleweka watu wanachuuuliwa kama mwewe anavyonyakua vifaranga vya kuku. Hakuna wakuwasemea wala kuwatetea. Imefika...
  11. Mwakikusi

    Wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri

    Kwa muda mrefu nimeshuhudia na kujionea (personally) wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri. Hawaandai chakula vizuri,wanapika kwa kujivuta mfano,chai saa 5,lunch saa 9,dinner saa 3 usiku.Na wengi wao wakija wageni wanawahudumia kuliko mume,na ndugu zake anawaheshimu mpaka kusahau...
  12. Sodoku Myebusi

    Asilimia kubwa ya Wake zetu wanataka tuwe kwao vile ambavyo hawataki watoto wao wakiume wawe kwa wake zao- Sodoku Myebusi

    Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
  13. A

    TCU ni lazima Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu kinachomilikiwa na Kanisa awe Mchungaji au Padre? Basi wawadahili wanafunzi ambao ni waumini wao tu!

    Nchi hii linapokuja suala la maslahi watu wanaanza kujipendelea, kubagua wengine. Kwanini VC ambaye ndiye mtendaji mkuu wa University inayomilikiwa na taasisi ya dini fulani lazima we aidha mchungaji au padre wa kanisa husika? Tena nchi hii viongozi wasipoangalia itavunjika vipande vipande...
  14. uhuruborn

    Kuna nguvu kubwa sana inatumika kumuhallaisha huyu dogo wao kwenye nafasi ya umakamu wa Rais

    Kuna jambo linafichwa ndio maana kuna nguvu kubwa sana inatumika kumpamba huyu dogo wao. Wanamjua mama yake ni Mzanzibar ila Kabudi alisema mama yake ni mchaga....🤣🤣 Hii nchi ina watu wapumbavu kwenye nafasi za muhimu sana
  15. T

    Kama CCM imeweka kwenye ilani yake kipengele cha mabadiliko ya katiba ni cha nini kama kutwa kucha makada wao wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!?

    Nchi Ina vichekesho vingi sana hivi inawezekanaje chama kimeweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye ilani yake ya uchaguzi alafu wakati huohuo makada wake wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!? Kwa nini wasifute tu kwenye ilani ili lijulikane Moja? Ni nani aliwalazimisha kuweka hicho...
  16. Surya

    Wazazi wanafiki hawafundishi IMANI vijana wao

    Huu ni ukweli usio pingika kuwa wazazi wengi hawapati Muda wa kuwafundisha vijana wao swala la imani, kwamba elimu ya shule, na Nyumba ya ibada ndio sehemu pekee tumejifunza tunayo yajua. Na kibaya zaidi dini zote tulizonazo wabongo zinafundisha hasa, usifanye hichi ni dhambi fanya bidii kwenye...
  17. J

    KERO Platinum Credit wananizungusha kunipa barua yangu ya settlement nifunge mkopo wao

    Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu. Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri...
  18. Design Your Idea

    Nimeshuhudia wanyonge wakiendelea kufanywa wanyonge despite ya kusali sana huku mahasidi na vizazi vyao wakiendelea kuneemeka despite uonevu wao

    Maisha ni technique, hakuna roho yoyote inayoendesha maisha yenu ya kuwasaidia katika tabu au kuwaadhibu wanaowafanyia vita Maisha ya mshindi ndugu zangu, aliejaa juu ndio anatunga sheria, hakuna roho yoyote inayo control maisha yetu haya.
  19. T

    Nchi hii ina viongozi maprofesa na madokta wengi kabisa mbona sioni maajabu wanayofanya yanayoakisi uprofesa na udokta wao!?

    Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka. Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi? Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
  20. Top Gun

    Maandiko yanasemaje kuhusu vijana wa kiislam walio mashoga kuhusu wao kupokea thawabu ya mabikra 72 kama wengine?

    Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji. Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine? Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
Back
Top Bottom