wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna afisa wa wanyama pori anasema tembo wanatumia dawa ya kulevya. Hivi unajielewa kweli?

    Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi. Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri. We ukitaka kujua nchi hii inawatu wabovu hata mtu akipata ajali anamshikuru raisi. Tuje kwa huyu afisa wa nyama...
  2. Kumbe kuna wanyama wanakula madawa ya kulevya😂

    Ni tembo na nyati ni walaji wazuri wa mirungi.. Na wanakula ile fressh kabisa halafu free of charge na hawakamatwi na police Zinaitwa raha za mwituni😋😎😀 https://www.facebook.com/share/v/1CJ11maTpt/
  3. Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  4. Damu za wanyama

    Sio viumbe hai wote wana damu moja inayofanana rangi Ingawa mara nyingi tunafikiria damu kuwa nyekundu kabisa, jamii ya wanyama inaonyesha wigo mzuri wa uhandisi wa kibiolojia. Rangi ya damu imedhamiriwa na rangi maalum za kupumua zinazotumiwa kusafirisha oksijeni kupitia mwili. Unaweza...
  5. Kuna limit ya Ku-clone wanyama

    Baada ya miaka 20 na panya 1,200, idadi ya panya waliokopiwa ( clone ) ilishuka kabisa. Kwa miongo miwili, mwana sayansi wa kibiolojia Teruhiko Wakayama na timu yake katika Chuo cha Yamanashi walipanua mipaka ya sayansi ya vinasaba kwa kukopi ( ku-clone ) vizazi 58 mfululizo vya panya...
  6. Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

    Pia soma:Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi
  7. M

    Tumbili na Ngedere - Ni wanyama tofauti!

    Tumbili na Ngedere mara nyingi huchukuliwa kama wanyama sawa, lakini kwa lugha ya kawaida ya Kiswahili, Ngedere (Vervet monkey) anajulikana kwa uso mweusi wenye manyoya meupe kando, huku Tumbili (kwa ujumla) akijumuisha aina mbalimbali za kima wenye rangi tofauti. Wote ni jamii ya kima...
  8. C

    Je, wanyama huwa wanaona aibu?

    Mimi paka wangu huwa anaona aibu hata nikimuangalia
  9. Sio kweli kwamba kabla ya Wazungu kuja Waafrika wote walikuwa wanaishi porini kama wanyama

    Nigeria pekee ina makabila 400, Tanzania ina 120. Hizi nchi mbili tu zina jumla ya makabila 520+ leo hii Bado Africa nzima, kuna maelfu ya makabila. (Hapa naongelea Africa ya watu weusi- Sub Saharan Africa) Kila kabila lilikuwa na culture yake Hizi narrative kwamba Waafrika walikuwa wanaishi...
  10. Mbinu ya kisaikolojia iliyotumika kuwauwa ndugu zetu watanganyika kikatili kama wanyama

    Mbinu hii inaitwa " Ishara ya Usalama ya Uongo" in English "false peace signal" Nisameh sana ndugu britanicca mnamo tarehe 26 ulitupa taarifa nyeti kuhusu askari 320 wenye order ya shoot to kill siku ya tarehe 29 , nakili tumekuangusha sana tungeokoa vifo vya watu wengi kama tungesambaza...
  11. Kama Binadamu na mtu mwenye utu unajitofautisha vipi na wanyama wengine!?

    Kama Binadamu ulieumbwa kwa mfano wa Mungu ukapewa akili na utashi, haupaswi kushindwana au kugombana na mtu hata kufikia hatua ya kupigana hadi kuuwana. Kwasababu akili na utashi huo unao kupitia hekima(intelijensi) unauwezo wa kumudu changamoto au sintofahamu yoyote kupitia maelewano ya...
  12. GE2025 Samia: Mkiwakuta wale wanyama waambieni dawa yenu ipo jikoni

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi kumimaliza kero inayowakabiri ya wanyama pori kuingilia makazi ya watu na kuharibu mazao kwenye mashamba yao. Kauli...
  13. Wanyama wanathamani kiasi hicho tanapa heshima yenu

    Wanyama wanathamani kiasi hicho tanapa heshima yenu
  14. K

    Siyo polisi wote ni wanyama naamini wengine wanaumizwa na yanayoendelea

    Huo ndiyo ukweli siyo polisi wote ni wanyama na kuna wengine hawapendezwi na yanayoendelea inchini kama kupiga watu kuteka mpaka kuuwa, Naamini hawa tutakuwa nao na ndiyo watakaotupa habari zote za nani aliyemuwa fulani na mengine mengi,tukeshe tukiomba saa ya ukombozi iko karibu sana
  15. Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

    Mimi 1.Tembo-ni wapole, NI wazuri, wanaishi kwa ushirikiano,wanalindana na kupendana, wanapenda wanyama wengine,Wana AKILI na pia wataratibu. 2.Kuku-hasa vifaranga najisikia Raha Sana kushika vifaranga na nikasikia wakilia napenda wanavyoishi na mama Yao na kujifunza harakati pia wakiwa...
  16. H

    Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

    Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni. Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk? Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
  17. S

    POTOSHI Je kuna mahindi maalumu yanayofaa kuliwa na binadamu na mengine kwa ajili ya wanyama?

    Nimekutana na hii Taarifa wakuu imenishtua kidogo, kwahiyo sisi huwa tunakula mahindi ya wanyama?
  18. Wachinjanji wa wanyama, si busara kuchinja mnyama wengine wakiangalia mwenzao akichinjwa

    Nimesikitika sana kuona unyama wanaofanyiwa wanyama na wachinjaji wa Ng'ombe. Nimeona jamaa wakichinja huku Ng'ombe wengine wakiangalia ajabu kuna Ng'ombe walikuwa wanahalisha na kulia machozi kabisa wengine wakikojoa. Hakika nimejifunza kitu siku zote nilijua wanyama hawana akili kumbe wanazo...
  19. Kwenye Shamba la Wanyama kinachohitajika Sio Kumfukuza Binadamu, bali kuondoa Mentality kwamba baadhi ni Bora kuliko Wengine

    Bila kufanya hivyo tutakuwa tunabadilisha wanyonyaji na sisi wabadilishaji kuendelea kunyonywa..., hivyo basi kuliko kusubiri siku tukishawabadilisha labda tutaacha kunyonywa, tuanze kuwasihi wa leo wasitunyonye na wao waache kunyonya (wajifunze kula na vipofu). Kinachoendelea sasa katika...
  20. Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

    Kujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi , Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…