wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. Mifugo Planet

    Kupandisha wanyama kwa chupa(AI) ni bora kuliko kutumia dume halisi?

    AI ni kifupi cha artificial insemination, yaani upandishaji wa jike kwa mbegu za dume zilizohifadhiwa, bila dume kumpanda jike moja kwa moja. Wafugaji wengi huuliza kama njia hii ni bora kuliko kutumia dume halisi. Jibu ni kwamba inategemea aina ya ufugaji na hali ya mfugaji. Faida kubwa ya AI...
  2. K

    HOJA Haki za Wanyama zizingatiwe katika soko la machinjio ya Vingunguti, wanawekwa kwenye jua kali sana

    Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa. Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao. Wanaiomba mamlaka...
  3. That_Big_MAN

    Shairi: Msitu wa Wanyama

    Nimekaa nikitafakari, kwa uchungu na simanzi, Nikaona mabadiliko, yasiyo na mwelekeo, Taifa letu la kale, lenye sifa na uwezo, Limekuwa uwanja wa pori, lenye sheria za ovyo. Sifa njema zimefichwa, zimesalia kelele, Tumegeuka wanyama, tunaoishi kwa shida. Kwenye lile baraza letu, lililojaa...
  4. R

    Tofauti kati ya wanadamu na wanyama ni hii ambayo nchi za Kiafrikà zoooote zinapitia

  5. Lycaon pictus

    Dunia imebadilika tena. Wanaanza kudai mafuta ya wanyama ni mazuri kuliko ya mbegu!!

    Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe. Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemu na hayafai. Leo wanasema ya mbegu ndiyo...
  6. Mad Max

    Ni nadra kusikia Wachina Wamekuja Mbuga za Wanyama Kutalii. Au China iko full Milima, Parks na Mazaga yote?

    Mataifa mengine ya Ulaya au America ni kawaida, ila Hawa ndugu zetu Wachina (na Asia tuseme) ni nadra kinoma. Hawana shobo au?
  7. A

    KERO Malalamiko kuhusu uendeshaji wa Uchaguzi wa Jumuiya ya NALIKA na Ofisi ya Mkurugenzi kushindwa kusimamia mchakato

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII YAH: MALALAMIKO KUHUSU UENDESHAJI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA NALIKA NA KUSHINDWA KWA OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU KUSIMAMIA MCHAKATO KWA UWAZI NA KUZINGATIA KATIBA YA JUMUIYA Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima...
  8. 3

    Miss Rwanda: Wanaume wote ni wanyama

    Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Rwanda 2015, Miss Uwase Raissa Vanessa, ameingia kwenye mzozo mkali na watumiaji wa mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'. Katika mfululizo wa jumbe alizochapisha, mrembo huyo alionekana...
  9. T

    Simba 10 wauawa Ngorongoro, yadaiwa ni kisasi baada ya Simba kuwala punda wawili wa wafugaji

    Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya simba hao kuwala punda wawili wa wafugaji katika eneo hilo. Taarifa zinaonesha kwamba awali simba...
  10. D

    Hivi viumbe wa baharini huwa wanajiwasha kama wanyama?

    Naomba kupata elimu hii kutoka kwenu wajuzi.
  11. TANAPA

    Unadhani una mbio sana? Tazama Facts kuhusu wanyama wa porini!

    Unadhani una mbio sana? Kuna wanyama ukikutana nao hifadhini, mwonekano wao unaweza kukudanganya kabisa, wanaonekana wazito, watulivu na wa mwendo wa pole… lakini ukijua uwezo wao wa kukimbia, unaweza kuanza kuheshimu umbali salama zaidi na kukumbuka kwamba si salama kutoka nje ya gari bila...
  12. Keyboard_Warrior

    TALMUD: Adamu aliwaingilia kimwili wanyama wote duniani

    Talmud ni kitabu cha mafundisho ya kidini cha Wayahudi. Eti kinasema bwana Adamu aliwapiga nao wanyama wote hapa duniani kabla ya kuletewa bibie Eva. Dunia ina mambo sana. Ila hii inafanya nisishangae ukatili wa Wayahudi, akina Netanyahu. Oyaaaa, Echolima1 Myahudi wa Chanika, hii habari ya...
  13. Vien

    Nina Bahati ya Kupendwa na Wanyama?

    Kuna jambo limekuwa likinitokea kwa muda sasa, na kila ninapolifikiria najiuliza kama ni jambo la kawaida au kuna watu wengine pia wamelipitia. Ninaishi kwenye apartment ya kupanga. Jirani yangu anafuga mbwa, na cha kushangaza ni kwamba mbwa huyo ameonekana kunizoea sana. Karibu kila usiku...
  14. Rebuild

    Maisha ya Wanyama sio mchezo kabisa

    Nipo zangu home nikijiburudisha na kipindi changu ya Wanyama hapa. Sasa Kuna kipande cha video nakiona kuna swala alikuwa anakunywa maji kwenye kibwawa kidogo cha maji kumbe ndani Yake kuna Mamba mdogo mdogo. Mamba kamlia timing kamdukua Yule swala amejitahidi saana kuchomoka lakini mwisho wa...
  15. ndege JOHN

    si binadamu pekee wanaofanya tendo la ndoa kwa starehe baadhi ya wanyama hawa pia wanafanya hivyo

    Toka zamani nilikuwa najua wanyama wote hufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuzaliana tu. Kumbe si kweli. Tafiti zinaonyesha kuna baadhi ya wanyama kama dolphins na sokwe ambao pia hufanya tendo la ndoa kwa sababu za kijamii, kuimarisha mahusiano, kupunguza migogoro, na inaaminika pia kwa...
  16. J

    Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina?

    Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina? Biblia inatuambia kuhusu kazi aliyopewa Nuhu, ya kuviingiza katika Safina, viumbe virukavyo, vya kiume na vya kike kwa jinsi yake, na kila namna ya wanyama wa kiume na wa kike kwa jinsi yake. Kitabu cha Mwanzo 7: 2 “Katika...
  17. Fbn

    Kuna afisa wa wanyama pori anasema tembo wanatumia dawa ya kulevya. Hivi unajielewa kweli?

    Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi. Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri. We ukitaka kujua nchi hii inawatu wabovu hata mtu akipata ajali anamshikuru raisi. Tuje kwa huyu afisa wa nyama...
  18. Mshana Jr

    Kumbe kuna wanyama wanakula madawa ya kulevya😂

    Ni tembo na nyati ni walaji wazuri wa mirungi.. Na wanakula ile fressh kabisa halafu free of charge na hawakamatwi na police Zinaitwa raha za mwituni😋😎😀 https://www.facebook.com/share/v/1CJ11maTpt/
  19. Mad Max

    Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  20. Mshana Jr

    Damu za wanyama

    Sio viumbe hai wote wana damu moja inayofanana rangi Ingawa mara nyingi tunafikiria damu kuwa nyekundu kabisa, jamii ya wanyama inaonyesha wigo mzuri wa uhandisi wa kibiolojia. Rangi ya damu imedhamiriwa na rangi maalum za kupumua zinazotumiwa kusafirisha oksijeni kupitia mwili. Unaweza...
Back
Top Bottom