wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

    Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa. Rejea mada tajwa hapo juu, Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo. 1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa mashaka

    Ninahisi mke wangu ni aina ya wanawake ambao upo nae kwenye ndoa lakini na yeye anajenga nyumba yake kwa Siri Niliwahi kumwambia kwamba tufungue biashara na yeye ndie aisimamie biashara yetu lakini alikataa na kusema kwamba anataka nimfungulie biashara yake mwenyewe na sio ya familia yaani...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu, Wananchi wasipojitokeza kuandamana 29th October

    Kuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa. Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa. Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea. Idadi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa hali hii inayoendelea

    Kama baba wa familia, kijana,mke, au kiongozi wa familia nunua vyakula weka ndani hasa wale mlio zoea kununua mchele kilo moja kila siku nunua vya kula vya mwezi mambo yana weza badirika watoto wakafa njaa Unaenda kupambana njee uko lakini una jua familia yako ina chakula cha kutosha ata wewe...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU 1, afute uchaguzi 2, amwachie tundulisu haraka sana na wafungwa wote wa kisiasa 3, katika mpya 4, asifukue makuburi aanze upya kwa upendo mpya , sisi tumesamehe yote 5, ahakikishe watanzania wote wenye asili za nje wanakuwa raia rasimi 1...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu kuhusu viongozi kupita kwenye carpet

    Huu ni mtazomo wangu tu viongozi kupita kwa carpet hasa africa ni kuepuka kuchotwa nyayo za miguu kama hivi.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri wangu Kwa CHADEMA na Taasisi za KIDINI na Gen Z katika Kufanikisha Maandamano yanafanikiwa na kuwaondoa Hawa Madhalimu !!.

    Ni wazi safari imeanza Rasimi, Ndugu zangu Watanzania hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kuwaondoa Hawa wahuni !!. Wee Kijana Usiyekua na Ajira Wee mwenye Ajira lkn mishahara haiendan na hali ya Maisha. Wee unayehangaika na Usafiri Dar huku Abdul, Kijana wa Angela , Kijana wa DGIS, Vijana wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana wangu ameteketeza kama 500M TZS kupata teuzi, leo kanipigia anasema bora tungebeba viwanja na mashamba tu Pwani

    Watu wengi walijua uteuzi mkuu utafanyika tena kipindi hiki na ushindani ungeishia ndani ya chama pekee, huku kwenye kura iendelee kuwa kiini macho. Pole mwanangu T, ulikuwa mpumbavu tu kwa kuwa ulikuwa unaenda kutetea utekaji, uuaji, ufisadi, maongezeko ya tozo in the name of KULINDA AMANI...
  10. JamiiForums Tanzania Natamani kuachana na huyu mama watoto wangu lakini amekataa

    Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi ameniambia tu niwe natumia kinga. Sasa nishamfanyia visanga kibao tu ila hata ameniambia nikihama niende...
  11. JamiiForums Tanzania TAKUKURU fanyeni kazi zenu, mimi hizi messages hazinihusu, kila siku natimiza wajibu wangu kama mzalendo wa nchi yangu

    Kila siku tunawaletea taarifa, juzi tu nimewaletea taaarifa hapo ofisini. Fanyeni kazi zenu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaowapondea Wapare, mbona huyu wangu hana hizo tabia?

    Ile trend ya wapare wachoyo +wachawi mbona uyu MARIAM wangu Hana hayo anapenda tu makande Mzuri mcha Mungu muelewa au bado navutiwa timing?
  14. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa kiongozi wa watekaji.

    Nakuacha na kichupa hicho, sita lia nakutoa machozi, Nitafurahi kwani hukumu yako inakuja, Unakula wenzio na wewe Utaliwa. https://youtu.be/CjZTT1rix8M?si=wlTyehT-zvrX8uc3
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  16. JamiiForums Tanzania Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

    Habari? Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela. Mi ninavyojua...
  17. JamiiForums Tanzania Mpenzi na mama watoto wangu anaolewa, lakini hii video imenipa ujasiri nitaenda harusini naweza nikafikiriwa upya

    Napitia maumivu mazito mno kushinda hata lisu huko jela.
  18. JamiiForums Tanzania Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

    Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka kununua hisa za CRDB: Case study of IT Outage

    Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi wkitarajia pandisho la bei kwa hisa hivyo market cap yao kuongezeka individually. Sasa swali linakuja...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

    Guys hakuna kutiki oktoba. Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao. Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…