wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais wangu na Serikali kwa Ujumla Tears cannot bring Joy to people But can bring Development. Joy can bring Both. Hongereni kwa Kazi ya kutuongoza

    Viongozi wangu pamoja na Rais wangu hongereni kwa kazi ya kulijenga Taifa Changa kimaendeleo lakini Kongwe kiumri , kama mna nia ya Kweli na hii Nchi basi kuna Namna Mbili kuu za kuongoza na zote zitatupa maendeleo : 1. Machozi, hii ni njia Ngumu kidogo na ndio alijaribu kuipitia Hayati JPM, ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu. Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa. Sasa...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anaota ndoto anapigwa ngumi usoni

    Mke wangu ameota Leo usiku kuwa anapigwa ngumi na jitu limemkalia kifuani. Ameamka amekuta uso mzito unamuuma kama kapigwa kweli.
  4. JamiiForums Tanzania Utandawazi kwa viongozi wa nyumba za ibada, mchungaji wangu amenifikirisha sana

    Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako. Habari hii ni...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mama yangu anamchukia mke wangu

    Niliamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu. Tumeamua kuhama tumepanga bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu. Lawama zilizidi kati ya ndugu kuja kwa mke wangu, mwisho mke wangu akawa hana amani. Tukaamua tuhame sasa mama muda wote anamjazia sms...
  6. JamiiForums Tanzania Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

    Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa. Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Serikali inaua wananchi wangu wa Tarime vijijini. Tume zinaundwa na hakuna majibu

    Namsikiliza mbunge wa Tarime vijijini ana hoja nzito juu ya raia ambao ni wananchi wa jimbo la Tarime vijijini anatoa ushahidi wa majina na ya raia waliopigwa risasi na waliouwawa na waliojeruhiwa. Blah blah za George Simbachawene zikataka kumziba Waitara. Spika akaomba ushahidi juu ya tuhuma...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

    Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi! Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
  9. JamiiForums Tanzania Jibu la mke wangu kwa mwanae baada ya kuulizwa swali gumu

    Kwa kweli Kati ya watoto wadadisi mwanangu huyu wa kiume 9 yrs naye yumo, mama yake ni mjamzito sasa akamuona na kamuuliza mama yake "wewe mama unatematema mate, mama yake akamjibu fanya mambo yako, ilibidi nicheke kimomoyo halafu nikamnong'oneza maneno.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

    Habari wanajamvi natumai mu na afya njema na wale ambao afya imelega kidogo poleni na ugua pole God atabless Ndugu zanguni nilipiga Ct scan,, naomba kuuliza hiko nimezungushia kwenye picha ni kitu gani wataalamu?
  11. JamiiForums Tanzania Bila huu utamaduni basi ni wazi mdogo wangu angefika miaka 25 hajawahi kulala na mwanamke, nguvu ya ziada ilibidi niitumie kumuokoa

    deleted
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kuuziwa mbwa kwa bei ya kawaida

    Salaam wanabodi, Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa. Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
  13. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu juu ya biashara ya kuandika proposal inalipa 100%

    Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa tunaandika wakati wa zile party za kukaribisha wanafunzi wapya maarufu kama freshers Bash. Basi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kikao kifupi barazani; namtokeaje bosi wangu?!!!

    kwa jina la jmt, mnasalimiwa mno! Kwenye mada: Jamani ni mbinu gani, ni namna gani, ni kivipi naweza kumtokea huyu mwanadada ambaye ni bosi wangu wa kati?!!! Nimejikuta namuelewa mno, ananivutia haswaa! ● Mkali na ukali wake wageuka kivutio kwangu kiajabu kabisa. Anagoma kweli pale kazi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

    Eti wadau huyu ataajiriwa kweli au aendelee na mambo mengne?
  16. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiona inafaa chukua huu Ushauri wangu wa bure Kwako

    1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda 2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara. 3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba SC Kimataifa na Kisayansi zaidi 4. Acha kutoka nje ya Uweledi wako na kuanza kuwa Mswahili Mswahili...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Kwema wadau? Mke wangu amekua ana tatzo la kukoroma haswaa anakoroma utafirikiri mwanaume hii hali ya kukoroma ina tibika kweli Msaada kwenu
  18. JamiiForums Tanzania Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

    Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, girl friend wangu amepata ujauzito miezi 3 baada ya kujifungua

    Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu. Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja). Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari. Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amewafukuza Mashoga zake

    Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari. Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…