Siku moja, nimejichokea zangu mida ya saa nne usiku, nikaamua niende 'club' nikapate 'vibe' la kule ili niweze kuondoa 'stress' za maisha.
Muhudumu akaniletea bia zangu tano za kuanzia, nikazinyonya zote zikaisha; akaniongeza tena zingine. Baada ya kufika ya nane, akili ikahama, nikajiuliza kwa...