wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Serikali na CCM kuhusu ufafanuzi mkataba wa bandari

    Serikali ni aibu sana kuwatumia wanasiasa kujibu hoja za kisheria wasizoweza. Hii ni kwa sababu tokea mjadala wa Bandari ya DSM umeibuka, hoja za watanzania wote ni namna mkataba ulivyo. Kuna vifungo vya mkataba vinatatiza maslahi mapana ya Taifa letu Tanzania. Ni vyema mujibu hoja kitaalum...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  4. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

    Wana MMU naombeni mnipe tu pole. Mie ni mtu nisiyeumizwa na mambo ya mahaba, lakini nashangaa kuona huyu single mother niliyekutana nae kwenye pilika za maisha mkoani Mbeya, anaolewa 😥. Huyu single mother mie nilikuwa ni msafiri na mpitaji ili nililazimika kukaa baada ya kusema amenasa...
  5. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa mwisho kwa Simba kuhusu usajili

    Habari wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada, lakini nitoe angalizo kuwa napenda mada yangu usomwe na watu wenye akili timamu na kujibiwa na watu wenye ufahamu. Binafsi ninahuzunishwa sana na baadhi ya sajili kwenye Klabu yangu pendwa ya Simba. 1. Usajili wa mawinga kumi na moja. Saido...
  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Mwajiriwa nataka nifungue biashara ya ps, mchanganuo wangu huu hapa, naombani mnirekebishe na kunipa ushauri

    Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya. naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine MCHANGANUO WANGU MTAJI WA KUANZIA PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad...
  7. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Nilipopoteza uwezo wangu wa kimiujiza

    Habari wanajamvi, Leo nataka ni share kidogo changamoto ya maisha yangu... Nimelelewa katika familia ya kawaida saana japo sikulelewa na baba ila upande wa mama. Mama yangu na baba yangu ni dini mbili tofauti. Kwa story niliyopewa ilikua almanusura ni uawe nikiwa tumboni ila haukua wakati...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

    Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi Money penny: kwahiyo unasemaje? Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa...
  9. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS ya I miss you kwenye simu ya mpenzi wangu, nifanyaje?

    Chai ni tamu ikiwa ya moto, ikipoa sasa umeme na gesi vyote vikawa vimeisha ndio utajua hujui. Haya sasa, kwa mnaonifahamu ingawa mimi sio mwamba. Msaidieni mwenzenu apashe kiporo au?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  11. The only

    JamiiForums Tanzania Namuacha mpenzi wangu kisa DP WORLD

    Habari waungwana! Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane . Vigezo alivonivutia 1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo...
  12. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari ya Dar es Salaam na uwekezaji wa DP World huu ndiyo mtazamo wangu

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mawazo mbalimbali kuhusu DP World kuwekeza ktk bandari ya Salama. Mimi binafsi Kuna vitu kadhaa nimevibaini ktk mjadala huu. 1) Wanaopinga ni km hawajui wanapinga nini na wanaounga mkono hawajui wanaounga nini. 2) Kitu kingine ni bendera fuata upepo. Baadhi ya...
  14. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Wosia Wangu Kwako

    Mwanangu Yatazame tu maisha hivi hivi ila asikuambie mtu; Hapa duniani hukuomba uletwe,Ulijikuta tu huko hapa umeunga mstari so inabidi uendelee ila asikuambie mtu maisha yatazame tu.Ila wacha nikwambie ukweli mdogo niliojifunza kuhusu Maisha.Huenda ukakusaidia Kuhusu Siku na Wakati Kila siku...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

    Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata la bandari limeanza. Uwekezaji ni mzuri sana, hasa unapofuata misingi sahihi. Hasa kwa bandari zetu, hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kutoa au kuondoa ukiritimba uliopo. Hivyo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

    Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara? Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu mpendwa nchi hii imekuwa ya migomo? Mbona wakati wa Magufuli hatukuona hata kikundi kimoja kikijaribu hata kuwaza kugoma? Why now?

    Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
  18. Requal

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli Tukaendelea Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  20. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Simuelewi mke wangu: Anaweka nywele zake kwenye pochi anayohifadhia pesa

    Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa. Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa. Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo...
Back
Top Bottom