Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.
Mwaka ndo huu una ishia, japo zime baki siku chache ila hakuna mwenye uhakika kwa asilimia 100 ata toboa 2024.
👉Sina mpango wa kukutisha, ila ni hulka yangu kuanza kwa mikogo na kumaliza kwa kicheko.
Mwaka huu Ume kuwa wa kiutofauti Sana katika maisha yangu katika nyanja mbalimbali kuwa...
Kiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa.
Kabla ya ujio wake, nyumbani kwangu palikuwa swalama waswalamanta. Lakini tangu aje hapa pamegeuka kibiti, ananinyuka kama kifaranga.
Ana gubu kali, ukikohoa anasema unamcheka, anakubutua na mwiko. Nimevimba kila mahali, uso wangu...
Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja.
Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa...
MKATABA WA TAIKON NA MCHUNGAJI JONATHAN KANJUNJU KUHUSU USHIRIKA WANGU KATIKA KANISA LAKE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Baada ya kukutana na Mchungaji Jonathan Kanjunju wa Kanisa la Cherubim of paradise "The Church of the Cherubim of Paradise" lililoko jijini Dar es salaam.
Huu ni mwaka...
Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa
Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi...
Hivi nifanyeje? Na ukizingatia nimetoa mahari kubwa na kuna kiasi bado na nadaiwa kule kwao na ukizingatia mwanamke mwenyewe ndiyo huyu yaani nilivyotegemea na niliyokutana nayo ni vitu viwili tofauti
Kosa ni kumuambia kwanini unamtumia picha zako mwanaume mwingine? Aisee akanyanyuka juu...
Niaje wana gwan?
Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa
Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema...
Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi.
Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya.
Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi...
Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady).
Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za...
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwakuwa hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yaani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kuwa nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu...
Habari wakuu!
It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa...
Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani
Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani
Other Cost...
Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.
Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari.
Siku akinipikia wali nyama, wao...
Hello!
Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu.
Baadaye Mzee...
Habari wakuu,
Tupo tunalea mimba ina week 8 now, but tangu week ya 4 mwenza amekuwa akipata shida ya kutokwa vitone vya damu ukeni.
Inaweza chukua siku mbili isitoke lakini siku ya 3 ikatoka kitone kidogo sana kama mtu aliyegusisha pamba ya masikioni kwenye nguo ya ndani.
Tatizo lilipoanza...
KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE?
Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
Wajanja wa mji hoyee,
Nadhani kila mmoja wenu yupo sawa na mambo yake, .
Mnamo 2019 nilianza kutafuta mwenzi wa maisha yangu waswahili wanasema huba la moyo .
Nilipata mwanaume sio single ila alitaka niwe mke 2 nikaona hapana na ndio mwisho wa mawasiliano pale nilipokataa.
Wakaendelea kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.