Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.
Uzi wangu ulikuwa na title " KWA MWENYE UZEOFU NA UWEZO WA KITANDANI WA WANAWAKE WA KIMATUMBI KUTOKA KILWA"
Ndani ya Uzi nimesema kuwa nimepata demu single mother wa kimatumbi, weekend hii nimepanga kwenda Somanga KUKUTANA nae. Nikauliza kama kuna mtu aliwahi kutoka na mmatumbi anijuze kuhusu...
Salaam, Shalom!!
Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo.
Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe...
Nataka packet 1 ya chumvi iuzwe Elfu 7 na chumvi iwe bidhaa adimu. Muda wa umaarufu wa sukari umekwisha, sukari si muhimu kama chumvi.
Nikileta uhaba wa chumvi mtanyooka si mijini wala mashambani.
Wakuu...habarini za weekend mimi binafsi ni mzima wa afya, wakuu ninapitia changamoto ya kunyimwa tunda na demu wangu kiasi kwamba nimejaribu njia zote nimeona haya mahusiano ni heri yakaisha tu..
Wakuu kwanza jana usiku yapata majira ya saa nane na nusu usiku ilibidi tu nimwambie avae nguo...
Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali...
Mtanzania kijana ni mwenye miaka 18-35, je ukiwa na miaka 36 kwenda juu unakuwa umepata hadhi na status za kuitwa mzee, na kama sio mzee je mwenye miaka 36 kwenda juu ni nani.
Nataka kukata safari za kwenda bar, nijikite nyumba za ibada, niondoke kati kati ya mji nikajichimbie nje kidogo ya...
Guys nilifanya hivi:
Nilituma 50,000 kwa mama. Then nikatuma 50,000 kwa Girlfriend.
Majibu yalikuwa hivi
MAMA: Asante sana baba ubarikiwe sana
GF: Hii hela hata haitoshi maana nina mambo mengi.
VIJANA KAMA SIO MKE WAKO ACHA KUJIFANYA UNAHUDUMIA, HAVINA SHUKRANI HIVI VIUMBE.
NB: Kwa GF...
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu
Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee
Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye...
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.
Binafsi nampenda sana na hii ni...
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500, 200, 100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu
Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila kona ya nchi hasa sehemu za starehe
Huwa Sarafu hizi zinaibiwa kwa lengo la kwenda kuyeyusha ili...
Nimefurahishwa sana na ukweli kwamba mimi ni Mtanzania. Hii si kwa sababu nina pesa sana na matatizo yote ambayo nchi yangu inakabiliwa nayo, lakini kwa sababu ninaona wakati ujao ni bora na wakati ujao uko karibu. Hili linaweza kuwa wazo gumu kwa wengine kwani wanaweza kutaka kwenda mbali na...
Habarini wana Jamvi.
Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto ilikuwa ni ajali kazini.
Nahudumia mtoto ina Bima hii mbovu mbovu ya NHIF nimemkatia ila katikati apa...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia...
Na kalaga baho.
Salaam!
Leo wakuu naomba niwasilishe hoja makini ya waandishi wa masuala ha kijamii, Jamrozik. A na Noccela. S. Wakiyazungumza matatizo ya kijamii hasa tatizo la muundo unaotumika kuipanga Jamii (structural arrangement) na kukosekana kwa usawa (social inequality) katika Jamii...
Habari za uzima Wana jf🙏
Kwa heshima kubwa Sana nimekuja kwenu hapa.
Pamoja na kwamba hapa Kuna utani na mizaha ya hapa na pale
Naomba tuiweke kando
Tujadiri hili.
Mimi ni mfugaji mzoefu na Nina uzoefu kweli hasa kwenye kuku.
Kwa siku za Hivi karibu kuku wangu amenifanya niwaze sana maana...
JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Utafiti wangu niliofanya nimebaini tatizo la Rushwa linaanza na muono wa Mwananchi mwenyewe, mazingira yanaonesha anakuwa hatarini kutoa Rushwa kutokana na mazingira na tabia yake
Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.