wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: kuanzisha mji wangu katika mkoa wa Mwanza

    Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, naombeni ushauri wenu, kwa sasa nipo kwenye ili jiji la chalamila jua na mvua vyote ni vyangu. Katika tafakuri zangu za maisha nimepata wazo moja ambalo nahisi linaweza kunisaidia kwenye siku za usoni, nataka kuanzisha mji wangu mimi...
  2. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

    Ndugu zangu salaam Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba. Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo. Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na...
  4. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

    Wakuu ndiyo ipo hivyo Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake. Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia...
  5. 0

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ex wangu anavyonisurubu kupitia mtoto

    .....
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
  7. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Habari ndugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha...
  8. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania mwajiri wangu hataki kunisainia form za MAFAO ni fanyaje??

    Namm hela nazihitaji?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ana nini huyu Mke wangu?

    Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika. Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye. Mfano, likizo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nifanye je ili ukibali kuwa mpenzi wangu

    Hello jf ladies Nifanye nini ili ukubali kuwa mpenzi wangu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Hello wakuu, Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu. Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake...
  13. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Soma Hiki Kisa Halafu tutafakari "Tabia za Mume Wangu Zilinichosha"

    Hii Story nimeipata mahali Baada ya kusoma mpaka Mwisho Kuna kitu nimejifunza Kwa Hawa Mapaster au wachungaji....soma tudiscuss Kwa Kina PART 1 TABIA ZA MUME WANGU ZILINICHOSHA ANAANZA KUSIMULIA.... Kabla ya kufunga ndoa na Mume wangu tumekuwa na mahusiano ya uchumba yakupelekeshana sana...
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

    Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  16. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu katika mahusiano ya kileo

    Napitia kipindi kigumu sana kwenye mahusiano aisee mimi ni kijana 25+nimekuwa nikitamani sana kuwa kwenye mahusiano ofcourse nilikuwa nipo na mahusiano na mdada mmoja but atukudumu sana sababu ni gold diger hivyo nikaamua kumuacha kwa usalama wa pesa zangu na malengo yangu. Baada ya kukaa muda...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 mdogo wangu aliwekwa korokoroni Africa kusini bila kosa sababu ya muonekani wa kihuni mpaka kombe la dunia kilipoisha

    Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga. Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa. Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika. Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora. Assalam alyekum kwa Waislam, Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam. Wapagani, salama...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

    Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu! Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu kibaya au ni mtu mbaya, hapana, lakini kuna mambo yanatokea ambayo sijayapendi. Mchumba wangu ni daktari...
  20. Junior Lecturer

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

    Asalaam wana JF! Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana. Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti...
Back
Top Bottom