wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Mke wangu hana shida mimi kuongeza Wake wengine wakumsaidia. Ila amenipa vigezo vya mke anayemhitaji kama ifuatavyo;

    Habari za leo! Kabla ya kumuoa mke wangu nilimwambia tangu huko yaani hata kabla hatujajuana kimwili. Nikamwambia kwamba sisi Watibeli kuoa wake wengi ni jambo la kawaida. Hivyo ajue mapema. Kama atakubali kuwa na mimi basi ajue hilo. Kama hatakubali kila mtu apite hivi. Nikampa muda wa...
  2. R

    Askofu Bagonza: CHALAMILA na “MKE WANGU NIKIFA USIOLEWE TENA”😅😅

    na “MKE WANGU NIKIFA USIOLEWE TENA”😅😅 Na Askofu Bagonza Huyu Ndugu Albert Chalamila, Mteule mwenye bahati ya kumegewa kipande cha nchi kilicho DSM, anaweza kufilisika vyote lakini si maneno ya kuzua taharuki. Safari hii kayatimba kivingine. Eti akifa azikwe kwa mila za wanaosali Ijumaa. Hii...
  3. Nilihuzunika sana na mchungaji wangu

    Jumapili iliyopita nikasema niende zangu kanisani. Ibada ilikua nzuri ilibamba. Changamoto ikaja muda wa neno mchungaji kapanda madhabahuni fresh tu, neno lilienda ikafika muda hata kipofu angeona suruali kwa mbele ikawa imetuna. Binafsi niliona aibu kama vile pale mbele nimesimama mimi...
  4. Rafiki wa Mume wangu............

    Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake. Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na...
  5. U

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Isaka Mwana wa Ibrahim na Yakobo Mwana wa Isaka wote walikuwa Waislamu Ndugu zangu wakiristo tubadilike
  6. Mke wangu anakesha 'Live' mitandaoni hadi Usiku Mnene nikimwambia namhitaji anasema nisubiri amalize kwanza!

    Mke wangu muda wote yuko busy kwenye mitandao ya kijamii. Nikimwambia kwamba namhitaji, ananiambia nisubiri amalize kufanya Live kwanza! Tabia hii ni ya muda mrefu. Ilifika hatua nikamwambia mama yake (mama mkwe) kuhusu mwenendo wa mke wangu. Lakini licha ya kuonywa, bado ameendelea na hiyo...
  7. Tatu Senkondo: Mwaka mmoja umepita bila kumwona mume wangu aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Deogratius Mushi *** Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
  8. USINUNUE KIWANJA KWA KUANGALIA UMBALI WA LEO, ANGALIA MAENDELEO YA KESHO

    Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani? Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...
  9. Nimempoteza mke wangu kipenzi

    Siku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto. Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe...
  10. K

    Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

    Wadau hii hali mpaka inanikera kabisa huyu mke wangu akiwa ndani muda wote anakuwa mtupu tu. Mtoto akienda kucheza na wenzake anavua na kubakia na pichu tu. Binafsi sipendezwi na hii hali nishamwambia aache hii tabia ila hasikii. Muda mwingine umetoka zako kazini mara anakuja kukukalia daaah...
  11. Mchepuko wangu umemkomoa wife,nimefurahi sana

    Wife huwa ana kawaida ya kunivizia nimelala anachokonoa simu yangu. Sasa jana kakutana na malaya wangu flani wa bar ana majibu mabovu sio poa,kampigia kumuonya eti aachane na mimi,mchepuko kamjibu kuwa mwanaume wa peke yako yuko kaburini tu,hawa wengine wanaopumua tutashare mpaka mwisho wa...
  12. Utafiti wangu usio rasmi watu wa KIDINI Afrika wanaogopa sana Wachawi/Majini/Mapepo/Freemasons kwa sababu viongozi wao nao wanaogopa vitu hivyo

    Sikio haliwezi kuzidi kichwa. Ni vigumu kukua kumzidi aliyekuongoza kwenye dini labda kama hapo baadaye umtoe na ubakize Mwenyezi Mungu. Viongozi wengi wa kiroho wanaonekana nje wako siriasi lakini ndani kabisa mambo ya Mungu kwao ni nadharia na mambo ya Giza ni halisi zaidi. Iko hivi...
  13. Msaada wa kazi wakuu, kwa mdogo wangu

    Wakubwa salamu zenu,vijana tuendelee kupambana sana huku mtaani kugumu mno, Ndugu zangu nina mdogo wangu nimemsomesha kwa taabu mno kuanzia diploma ya record management hadi digilii ya pablic administration pale mzumbe, Nimenyanyua tofari kwa mafundi,uza maji fanya kila ya jitihada asome,tangu...
  14. Terry Bukuku: Mume wangu rudi nyumbani turudiane nimetambua kosa langu

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Terry Bukuku, kupitia video inayosambaa kwenye mtandao wa TikTok, ameomba msamaha kwa aliyekuwa mume wake, Juma maarufu kama Baba Ivone, huku akieleza kuwa anatamani warudiane na kuendelea kulea watoto wao watano. Katika ujumbe wake, Terry amekiri kuwa kiburi...
  15. Vilio mradi wa viwanja Mvuti Dar es salaam. Uzoefu wangu umenisaidia.

    Nimeona watu wengi sana wakilalamika kuhusu viwanja vilivyouzwa MVUTI Dar es salaam tarehe 30/10/2026 kwenye mfumo wa TAUSI Haya ni maoni yangu kwa uzoefu wa muda mrefu wa kutumia mfumo wa TAUSI. Uzoefu wa kunua viwanja, kuomba leseni za biashara, kushiriki Auction kwenye Mfumo. Malalamiko...
  16. Mpenzi wangu ameondoka na mtoto mchanga

    Habari wana JF, Naomba ushauri wenu, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia changamoto zinazofanana au wenye uzoefu wa maisha ya ndoa na familia. Ninaishi na mwanamke ambaye tumebahatika kupata mtoto pamoja. Mtoto wetu amezaliwa hivi karibuni. Hata hivyo, kwa sasa familia yangu ipo kwenye...
  17. Kharifa mwandishi wangu wa habari!

    Nakuomba uzidi kijilinda wewe kama wewe! Wewe ndiye uliyemhoji mzee huyu kwa hiyo basi uwezekano wa kuongea mengi off mic upo mkubwa sana. Utanifanya nishinde naangalia tanzania safaris peke yake maana umebaki wewe tu mwanahabari mpenda haki usiefanya kazi ili baadae ufikiriwe, unafanya kazi...
  18. Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

    Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu... Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂 Leo nimekajaribu kwa salam.. Mimi: mambo Yeye: niko poa kabisa Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
  19. Tanzia: Mzee Wangu, Wilinasi Mwendawila Sikanyika Amefariki Dunia na Kuzikwa (1951 - 2026)

    Wana-JamiiForums, Kwa masikitiko makubwa na majonzi mazito, ninawataarifu kuhusu kifo na mazishi ya mzee wangu mpendwa, Mzee Wilinasi Mwendawila Sikanyika, aliyefariki dunia tarehe 25 Oktoba 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya (iliyopo Wilaya ya Mbeya Mjini, Mkoa wa Mbeya) akiwa na...
  20. Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

    Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…