wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa China na Afrika watafuta njia za kushirikiana na kutekeleza majukumu makubwa zaidi katika jamii

    Maonesho makubwa ya tatu ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yalifungwa mwishoni mwa mwezi uliopita katika mji wa Changsha, mkoani Hunan, hapa nchini China. Mbali na maonesho ya bidhaa mbalimbali, makongamano kadhaa pia yalifanyika likiwemo ‘Kongamano la Wanawake la China na Afrika’...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wanaongoza kwa utegemezi Tanzania

    Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua wanawake kiuchumi nchini, ripoti mpya ya Wizara ya Fedha inaonyesha jinsia hiyo bado inaongoza kwa utegemezi. Ripoti hiyo inayohusisha ujumuishi wa masuala ya kifedha kwa wananchi inayoitwa Finscope 2023...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Achangia Milioni 29 Kuinua Uchumi wa Wanawake Mkoa wa Katavi

    MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Katavi huku akikabidhi Shilingi Milioni 29 za kuwawezesha wanawake...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
  6. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Chuo Kikuu SUZA: Ili Wanawake washinde Uongozi lazima wazielewe mbinu za kujenga Ushawishi Kisiasa

    Na Gaspary Charles WANAWAKE wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi wametakiwa kuelewa mbinu sahihi za kufanya ushawishi katika siasa na uongozi ili kukabiliana na vikwazo vinavyoweza kuwakwaza kushika nafasi hizo katika ngazi mbalimbali. Wito huo umetolewa na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kainja aendelea Kugusa na kuwainua kiuchumi Wanawake wa UWT Kata 46 za Wilaya ya Nzega

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Nzega ambapo ameendelea kutoa fedha za miradi mbalimbali yenye thamani ya Shilingi Milioni 81,000,000 katika Kata zote za Mkoa wa Tabora ili kuwawezesha wanawake kiuchumi. Vilevile...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

    Wakuu, za siku nyingi? Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu. 1. Iringa 2. Mara 3. Shinyqnga 4. Mwanza 5. Kigoma 6. Simiyu 7. Geita. 8. Mbeya 9. Ruvuma 10. Njombe 11. Tabora 12...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mdau huduma ya vyoo vya Wanawake SabaSaba ya Dar ni mbaya, vyoo ni vichafu

    Mdau ameshusha andiko lake hili hapa, tulisome tunaweza kupata kitu au ikiwezekana wahusika wachukue hatua... Japokuwa maonesho yanaelekea mwishoni lakini si vibaya tukipaza sauti changamoto ya huduma mbovu ya vyoo vinavyotumiwa na Wanawake ndani ya maonesho ya Viwanja vya SabaSaba, kwa ufupi...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kainja Awawezesha Wanawake Kiuchumi Kata 35 za Wilaya ya Igunga

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA AWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WA KATA 35 ZA WILAYA YA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Kata 35 za Wilaya ya Igunga akiwa na lengo la kuwapa mitaji wanawake ili kuwainua kiuchumi katika miradi...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Asije akakudanganya MTU; Wanawake Hawapendani na hawatakuja kupendana

    ASIJE AKAKUDANGANYA MTU; WANAWAKE HAWAPENDANI NA HAWATAKUJA KUPENDANA. Anaandika, Robert Heriel Mwanasaikolojia. Wanawake wenyewe hili wanalijua fika, wala hawahitaji mtu wa kuwaambia au kuwakumbusha. Kwa sababu kiasili tangu wanazaliwa wanajua Jambo hili fika. Wanawake kiasili hawaaminiani...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti KNBS: Uzito Uliopitiliza ni tishio kwa Wanawake wa Afrika Mashariki

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa, umeonesha kuna ongezeko kubwa la Wanawake wenye Vitambi na Uzito Uliopita Kiasi. Ripoti imeonesha 45% ya Wanawake wenye kati ya miaka 20-49 wana Viriba Tumbo ikiwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 ya Wanawake wanaofanya Uchunguzi wa Saratani Ocean Road wanakutwa na Ugonjwa

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kinga wa Taasisi ya ORCI, Dkt. Crisprin Kahesa ambaye amesema, Watanzania wengi wanaogopa na hawapo tayari kupokea majibu ya vipimo vya Saratani jambo ambalo ni hatari - Amesema Wanawake wanaofika katika Taasisi hiyo hufanya uchunguzi wa Saratani ya Matiti...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

    Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe. Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
  18. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi maofisini wakitembea na bosi wanajisahau kuhisi ni mabosi wasaidizi

    Habari za mida wakuu, Pasina kupoteza muda, hii ni changamoto kubwa wadada wengi wasiojielewa wakishavuliwa nguo na maboss wao huwa wanajisahau sana inafikia hatua wanajihisi ni maboss wasaidizi dharau inapitiliza ofisini. Utamu unazidi pale anapokuja mdada mpya akapitiwa na yeye na boss...
  20. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia inavyoweza kusaidia kutoa mikopo (ya Halmashauri) kwa vijana, wanawake na walemavu na kuwa na urejeshwaji mzuri

    Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2023/24 imeondoa 10% ya kuwakopesha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ambapo wataangalia utaratibu mzuri wa kutoa fedha hizo kama mikopo kwa kuwa kwa sasa walikuwa na changamoto ya utoaji na urejeshwaji wa mikopo hiyo. Nimeona ni vyema niandike kitu ili...
Back
Top Bottom