wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wanawake kama hawa wanapatikana wapi?

    Ni ndoto ya kila Mwanaume kuwa na Mke kama huyu. Wanapatikana wapi wanawake kama hawa?
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  3. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

    Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!! Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu. Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo...
  4. Cheology

    JamiiForums Tanzania Rihanna na Shakila ni wanawake warembo sana

    Katika hawa watu wewe unakwenda na yupi Hawa ndio warembo ambao dah nawakubali sana
  5. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unafika unatambua ile misimamo ya mababu kuhusu Elimu na wanawake kama inakuingia hivi!

    ...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AirBnB zaruhusiwa kurekodi na kuzuia vitambulisho vya Wageni kwa Muda kutokana na kuzidi kwa Mauaji

    Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa maagizo yanayolenga kuzuia vitendo hivyo na kuhakikisha usalama wa wakazi na wageni Mamlaka hiyo...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam anawachemshia dawa ambayo hamtakuja kumsahau. Yaani mtajuta kumfahamu. Mara nyingi wanaume hawa huvizia kwenye...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kuhusu wanawake wanaouza ‘Busta’ barabarani

    Katikatika ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, wanaonekana wanawake wenye mabeseni vichwani wakizunguka huku na huko. Hawa ni wajasiriamali, wachuuzi wa mihogo mibichi, karanga, tende, mchele na nazi maarufu busta. Wachuuzi hawa wanatumia msongamano kwenye makutano ya barabara kuuza...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo ambayo wanawake huzungumza wanapokuwa pamoja

    Hivi umewahi jiuliza kuwa ni mambo gani ambayo wanawake huzungumzia pale tu wanapotengeneza vikundi kwa ajili ya kupiga soga? Iwe ni katika mazingira ya kazi, mazingira ya nyumbani hasa hasa majirani kwenye nyumba za kupanga, vyuoni n.k Hawa viumbe hawana cha maana wanachokizungumza hapo...
  10. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

    Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa. Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa. Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasiokuwa na hela waachie Wazee (Mababu)

    Habari zenu, Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru! NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wanawake msijisafishe Sehemu za siri mara kwa mara

    Habari zenu, Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake. HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya uke ya ndani hiyo ni tabia ambayo si nzuri maana inafanya ile sehemu viji-bacteria vilivyoumbiwa...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

    Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa. Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu...
  15. Engager

    JamiiForums Tanzania Wanawake walio ungua mkorogo (cream) uwa hawalipi madeni.

    Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Miji yenye Uwiano wa Idadi kubwa ya Wanawake kuliko Wanaume

    In this article, we take a look at cities with the highest female to male ratio in the world. You can skip our detailed analysis on migration, economy and gender ratio and go directly to the 5 Cities with Highest Female to Male Ratio in the World. As of 2023, there are 8 billion people in the...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo makundi yanayoongoza kwa kuwafunza wanawake kuwaandaa waweze kuishi kwenye ndoa

    Jamii zinazoendelea kufunza wanawake kitamaduni, kwa wale tulioweza kuzaliwa kabla ya 90s tuliweza kujionea kina mama wengi waliofundishwa na mama zao kitamaduni jinsi walivyoweza kuzimudu ndoa zao., kwa sasa huu utamaduni umekuwa adimu sana wazazi wanajali mtoto asome elimu ya darasani tu ila...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni watu wa vitendo

    Vijana mnaofosi mapenzi kuna ujumbe wenu hapa, kiukweli kuna la kujifunza.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Wakichiti hujulikana upesi na Wanawake zao, ila Wanawake Wakichiti kamwe Wanaume hawagundui?

    Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume. Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi huwaona waume/wanaume zao kama hawana akili au wana akili za kitoto?

    Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano. Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto. Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za...
Back
Top Bottom