wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinawagopesha wanawake katika mahusiano

    Hivi wa dada, Katika mahusiano ukiwa unaanza nini kikubwa ndio kitu ambacho unawasiwasi nacho? Unaogopa kuwa utapotezewa muda, au ni kwamba jamaa ameshakula na amekuacha tu kama mchezo mchezo? Je ni kweli, wanawake wanaamini kwamba mapenzi huwa addictive, kwamba ukifanyanae mapenzi nae, lazima...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa wasanii wetu wanawezaje ku share wanawake?

    Muangalie mtu kama Marioo,pamoja na umaarufu alionao angeweza kupata mwanamke mzuri tu popote,lakini ilikuaje akaangukia kwa yule binti? Tena nasikia anataka kuoa kabisa.. Mifano ni mingi,unakuta kuna slay queen anajulika kabisa analiwa na fulani lakini ghafla mwingine naye anabeba hawana...
  3. JamiiForums Tanzania Taja sifa za wanawake waovaa hivi

    Kidume mwenzangu umeshawahi kukutana na wadada waivaa kama hiyo picha hapo chini? Tiririka sifa zao hapo chini……
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ngumu kuwatenganisha wanawake wa siku hizi na vizinga

    Hawa dada zetu wana hali mbaya ila ukiitizama ni ya kujitakia na ndio maana wengi wao wana tamaa ya fedha. Based on utafiti nilioufanya kwa wanawake ambao ni marafiki zangu. Ukichukua sample ya wanawake kumi, basi nane au zaidi wanacheza michezo au vikoba. Hapo unakuta katika hao nane, zaidi ya...
  5. X

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake walivyoishusha hadhi dhambi ya uzinzi kuwa sawa na dhambi maarufu Afrika ya Uongo

    Dhambi ya uzinzi imeshushwa hadhi sana na wanawake. Ugumu wa maisha na tamaa zisizona breki zimepelekea wana wa kike kuwa cheap kila siku zinavyokwenda. Zinaa imeshuka hadhi na sasa imekuwa dhambi kama uongo. Dhambi ya uongo ndio nyepesi kufanyika sana afrika maana maisha yetu yamekaa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa wanawake ni gari, sitosahau gari yangu ya kwanza ilivyogeuka kuwa sumaku ya kuwatumia hadi kuwakinai, Gari! Gari! Gari!

    Haijalishi ni Ist, Passo, Carina, Teza, n.k. dada zetu wengi hasa wanaotembea kwa miguu wanachojua gari ni gari, japo ukiwa na mkoko wa maana inakuwa fresh zaidi kupata kuwapata wazoefu wanaomiliki magari ya kawaida. Binafsi Nakumbuka takribani miaka 10 iliyopita nilipomaliza chuo nikiwa na 24...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Wanawake kimbia Ndoa zenye usaliti

    Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki. "Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wembamba mnashida gani?

    Wanawake wembamba mnashida ipi mna gubu,hasira mda wote usikerwe kidogo tu maneno na matusi, mnamajungu na umbea umeanza kwenu,.. mjiangalie sana badilikeni sio kila anaewatongoza anawapenda mnajiskia sana kwanza mkikata kona cha mwisho kuona ni mgongo... Achaneni gubu mpendwe nyau wakubwa..
  10. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale. Mume hana shughuli yoyote...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu rahisi zilizofanya nikaacha kuwaoa hawa wadada wazuri kwa muonekano

    Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja. Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na kupendeza. Nikaona huyu akili hana. Nikasonga mbele. Ladies, wanaume tunapotaka kuoa tunakuwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni kweli huwa hampendani wenyewe kwa wenyewe?

    Katika kuelimishana, naomba kuuliza wadau hasa jinsi ya kike. Je, kuna ukweli katika kauli ambayo imekuwepo kwa miaka mingi katika jamii zetu kwamba wanawake huwa hawapendani wao kwa wao? Karibuni wadau tuelimishane, kama hili jambo ni la kweli, na ninini ni kisababishi chake, na pengine nini...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Africa Cancer Foundation wanatoa Matibabu ya Bure ya Saratani ya Matiti kwa Wanawake

    Nimeona ujumbe wa WhatsApp unaotaka watu watume majina ya Wagonjwa wa Saratani ya Matiti kabla ya Machi 7 ili watibiwe bure. Nina ndugu yangu ni mgonjwa. Naomba kufahamu kama tangazo hili lina ukweli ili nisitapeliwe bure.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Ukingonoka' na Wanawake kutoka Malawi waliojazana Tanzania wala huwa 'hawajihangaishi' kukuambia uvae Condom?

    Naanza sasa kupata Hisia kuwa huenda Taifa la Malawi lina Agenda Ovu na ya Siri na Tanzania na Watanzania. Walianza na kutuletea Panya wao hawa wa sasa wenye Mkia mfupi, wanalia kama wanapiga Miluzi na ambao ukiwawekea Sumu hawafi hawaliwi na Paka na wala hawana Kasi ya Kukimbia kama ikitokea...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake huwa mandate na mtu mmoja kweli au mko standby

    Huwa siamini kama kina dada mna date na mtu mmoja kwa dhati. Huwa naona kama mmejishikiza mda wowote mnabadili gia na kuwa na mtu mwingine
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya muda wanawake hurudi

    Ikipita miaka kadhaa huwa wanarudi kwa wanaume wa zamani. Unakuta mtu kashazaa watoto na ana mume lakini anarudi tena kwa wale waliomuacha zamani.
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake zaidi ya 35 watekwa nyara Nigeria wakirudi kumsindikiza Bi harusi

    Takriban watu 35 hawajulikani walipo baada watekaji kuwachukua wageni waalikwa waliokuwa wakirudi kutoka harusini huko kaskazini magharibi mwa Nigeria, mafisa wameliambia shirika la habari la AFP. Utekaji huo wa idadi kubwa ya watu katika jimbo la Katsina unasemekana ndio mkubwa katika...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake ambao mmewahi kunyanyaswa kingono.

    Kwa wale wanawake ambao mmewahi kunyanyaswa kingono, semeni ilikuwaje. Lengo ni kujaribu kupambana na hii hali katika jamii yetu.
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Wanawake 100, Wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
  20. JamiiForums Tanzania Ulimi wa mwanamke vs chui

    Unaambiwa ulimi wa chui ni mgumu kiasi kwamba unaweza kutoa rangi kwenye ukuta na kusaidia kutoa ngozi kwenye wanyama anaowakamata. Lakini cha kushangaza ulimi wa mwanamke ni hatari zaidi kuliko ulimi wa chui. Wanawake mmetishaaaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…