wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ila wanaume kwa wanaume tunanafikiana sana likija swala la namna ya kuwatreat wanawake

    Oya mie ngoja leo niwape za uso mabaharia wenzangu. Watu tunakaa kwenye kikao, tunaweka ajenda mezani na points kabambe zinatolewa. Mara utasikia "Hamna kumnyonya mwanamke K utakua unalamba lolo la jamaa zake wengine" Mara "Usimpigie magoti demu wako ukimvisha pete" Mara "Mwanamke...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake, oneeni huruma watoto wenu basi!!!!

    Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi mnachotengeneza!? Nikiwa kama single father, nimejitahidi sana, na bado naendelea, ila wazee, ukiona mwanamke...
  3. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini kuna wanawake wanatosheleza kila engo. Ni wewe na tamaa zako tu!

    Kiukweli kuna wanawake wanatosheleza kila kona mpaka unajiuliza huyu vipi? Ukiwa na hamu yupo radhi afanye afanyavyo urizike. Akijifungua hakuachi uwe na hamu utafute mwingine Akiwa P anajitahidi akuridhishe ili mradi uridhike Kiufipi anakuhudumia kila hali…… Je wapo wa dizaini hii? Tule...
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

    Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe. Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike. #No reform no Election.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Aliyefanya tafiti kuwa wanaume wamepungua ajakosea

    Ilikuwa si ajabu kujua umefulia au kuanguka ukishasikia maneno nakejeli toka kwa wanawake. Ila leo ni kama imekuwa tofauti kabisa yani wanaume ndio wamekuwa wahusika wakubwa sana. Zamani si rahisi kukuta mwanume Kuwa na hizo tabia anapomuona mwanaume mwenzake kapata changamoto anapo anguka...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi Kata ya Kalembo, Ileje

    JULIANA SHONZA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI KATA YA KALEMBO, ILEJE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Kalembo Wilaya ya Ileje kwa lengo la kuendelea kuwainua kiuchumi wanawake kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

    Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife. Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana...
  8. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Kasumba ya wanaume kujibadili jinsia na kujifanya wanawake (trans women) inavyoenea dunianI

    Wakubwa pole kwa uchovu wa mihangaiko, Twende moja kwa moja kwenye mada kuu tajwa hapo juu kumekuwa na kasumba ya watu waliozaliwa na jinsia ya kiume au Me kubadilisha mionekano yao na kujifanya wanawake. Kupitia mitandao maarufu dunia instagram, X zamani twitter kumezuka kasumba ya watu ku...
  9. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawapendi waume zao

    NDIYO: Sio uongo wanawake wengi hawapendi waliowaoa Bali wanafurahia tu kitendo Cha kuolewa na kugawana Mali. Kwa mwendo huu matatizo hayawezi kuisha. Angalia tu mwenyewe we angalia tu: ✓ Pep Guradiola alimpoteza mke wake kwa sababu alilalamika kuwa alitumia muda mwingi na soka, soka lile lile...
  10. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga wanawake yajaza uwanja wa KMC siku ya jana, Je watanzania tunatafuta pesa muda gani?

    Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa. Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake. Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  12. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake msilazimishe wanaume tuwaonee huruma sisi hatujaumbwa hivyo

    Ndugu zangu salaam. Wanawake wamekua wakiforce wanaume tuwaonee huruma ili hali hawajui sisi wanaume hatukuumbwa hivyo. Wanaume tuliumbwa kua wagumu, wenye nguvu, mamlaka , viongozi na watawala. Wanaume hatukuumbwa kua mayai mayai na laini kama mademu. Ndiyo maana mwanaume ukiwa laini unakua...
  13. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia Derby ya wanawake Simba queen na Yanga Princess

    Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo. Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na kuifunga JKt kwenye Samia cup na Sasa kuifunga Simba kwenye derby ni kipimo tosha Forward za yanga...
  14. Sakwe

    JamiiForums Tanzania JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  15. Crimea

    JamiiForums Tanzania Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

    Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa! Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex. Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wanawake, anakuuliza una feel vp, ukianza kuongea kumuelezea, anakupotezea kama hakujui halafu ukikaa kimya anakasirika kwa nini haumjibu

    😂😂 Its crazy to think kwamba mwanaume anapoingia katika mahusiano na mwanamke, mwanaume yeye anataaka amtreat huyo mwanamke kama "alivyo mwanamke" ila mwanamke yeye anataka aku-treat same way ukike wake ulivyo na jinsi marafiki zake wa kike walivyo.
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TAMWA yataka wanawake watakaojitokeza kutia nia kwenye Uchaguzi waungwe mkono

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono na jamii ili waweze kutimiza ndoto zao za kuwa viongozi. Ushauri huo ameutoa Jijini Dodoma katika...
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Darasa Maalum Kwa Wanawake Wote Wenye Kusumbuliwa Na Chunusi Sugu

    Je Wewe Ni Mwanamke Unaesumbuliwa Na Chunusi Sugu Kwa Muda Mrefu Uso Wako Umeharibika Kwa Chunusi Kubwa Na Ndogo Na Zinakufanya Ukose Kujiamini Kusimama Mbele Za Watu.... Si Hivyo Tu Pia Umefanya Mabaka Na Madoa Kiasi Cha Uso Kukosa Nuru ... Vile Vile Uso Una Mafuta Mengi Na Umefanya Vitundu...
  19. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinasababisha wanaume kuwafanyia wanawake matukio ya kikatili?

    Habarini wadau, Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili. Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio. Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Aina 4 za wanawake: Mjue mkeo upate raha za dunia hii

    AINA 4 ZA WANAWAKE 🔞 Unapokuwa na mke na unataka kumridhisha kimapenzi, hatua ya kwanza ni kujua yeye ni mwanamke wa aina gani... Kwa ujumla kuna aina 4 za wanawake katika suala la furaha ya ngono: 1. Mwanamke clitoridian: wanawake wa aina hii hawafiki kileleni kwa kupenya uume. Wanafika...
Back
Top Bottom