Wakuu,naamini mko salama kabisa,wenye kuumwa basi poleni na Mungu awape ahueni ya maradhi yenu.
Issue yangu iko hivi,nina tabia ya kukinai wanawake, naweza nikatumia gharama kubwa za muda na fedha kumpata mwanamke, lkn nikiisha mpiga mashine siku mbili tatu namkinai na sitaki tena kumsikia.
Hivi...