wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hapa ndipo wanawake wengi tunapofeli

    Mwanamke Kama mwanamke uliyeolewa na mwanaume wako akakuheshimisha tulia visasi havisaidii badala yake vinabomoa Angalia hapa: Mwanamke unaamua kulipa kisasi kwa mumeo kwa kucheat kwa sababu na yeye alikucheat Unaamua kumnyima mumeo unyumba kwa hasira zako unazozijua kwa bahati mbaya unapata...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?

    Hivi kwanini wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?. Na hapa manabii na wachungaji , mashekh na waganga wa kienyeji wamekuwa wakipiga sana hela. Mfano Carina alikuwa anaumwa ugonjwa wa kawaida Ila wakasema amerogwa this bullshit . Ni ujinga sana
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini, sijui nifanye nini! Ushauri

    Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio. Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga...
  4. JamiiForums Tanzania Mademu wa kizungu bwana, vitu simple tu kama chocolate na maua anakuappreciate ila demu uliekutana nae mikorochini kila baada ya siku 2 anakuomba 20k

    Sijui ni tammaa, sijui ulimbukeni, sijui ni tabu, sijui ni mindset Anyway hivyo hivyo tutaenda.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuwa na mionekano zaidi ya mmoja mnatuchanganya

    Unakuta mtu ni mmoja ila Facebook, Insta, E.T.C ana mionekano tofauti. Mtu ni mmoja asubuhi ni mweusi, usiku ni mweupe, asubuhi ni mwembamba😅😅😅. Kweli wanawake mna tabu sana.
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume

    Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10 Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiume Tujifunze namna ya kutofautisha Wanawake, Hasara ni kubwa

    Kama kijana wa kiume, jifunze kutambua kuna wanawake ni MAALUM kwa NDOA tu na kuna wanawake ni MAALUM kwa shahawati za mwili na starehe tu , Hata wao wanajijua hivyo. Ndio ipo hivyo duniani kote. Kushindwa kwako kutofautisha hilo kama mtoto wa kiume litakuletea shida kubwa kwenye future yako...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii hakai na Wanaume badala yake anaakaa na Wanawake

    Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii anakaa upande wa Wanawake badala ya kukaa na Wanaume Hii ni tabia mbaya sana hasa katika utamaduni wetu sisi Watanzania na kwa baadhi ya Mikoa mingine mfano Arusha, Kagera, Mwanza, Kilimanjaro, Mara inaweza kupelekea kupewa adhabu na...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Wanawake hawajaumbwa kutawaliwa na wanaume

    Je hii ni kwa wote au ni mtazamo wake? Anamaanisha kutawaliwa au kuongozwa Karibuni tujadili
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake pindi mnapokuwa na miaka 17-25 kwanini huwa hamshauriki mkasikia?

    Kwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia. Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni kiongozi wa Dini au Dr huwezi kumpa ushauri akakusikiliza na then akaelewa. Unapomshauri muda huo...
  11. JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

    Niulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno. Feel free kuaddress swali lako directly kwa mwanamke wa JF kwa kumtag
  12. JamiiForums Tanzania Ujue Mkoa ambao Wanaume wake wanaongozwa kutuma Nauli kwa Wanawake na hawaendi na Mkoa unaongoza kwa Wanawake kula Nauli walizotumiwa na Wanaume

    Wanaume wa Mkoa wa Mwanza wanaongoza kwa kuliwa Pesa za Nauli wanazowatumia Wanawake pale wanapowatongoza au kuwahitaji Kimapenzi na Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ndoyo Wanaongoza kwa kula Nauli wanazotumiwa na Wanaume ambao Wamewatongoza au wanawahiotajio Kimapenzi. Hii ni kwa mujibu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wa bongo bado wanapenda sana kuabudiwa na wanawake?

  14. JamiiForums Tanzania Wanawake Mjitafakari na Wanaume Usimpende Mwanamke kwa Kumuonea Huruma Utajiponza

    Km kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa nieleze kwa ufupi sana sababu mimi sio mwandishi mzuri. Lakini ningeanza na wanawake mjitafakari sana mnapoingia kwenye mahusiano. Ipo hivi unakuta mwanamke ana umri 28+ jioni ile pale jua lishazama kashatembea kilometres nyingi kashaishi sana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni kero kwenye vyombo vya usafiri vya umma

    Habari wakuu na hongereni kwa majukumu. Mimi ni kijana mpambanaji hapa mjini D'salaam. Kufupisha story hii siku ya jana nilipanda bajaji kutoka Mwanagati mwisho kuelekea Buza kwa mama kiponge baada ya kutembea hatua chache akapanda dada wa makamo hivi ana mzigo kama kichuguu ghafla kituo...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume ongeeni na wanawake zenu labda nyie watawasikiliza

    Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni. Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake ni kubwa na hakuna faida wala matokeo yoyote atayapata kwa kufanya hivyo zaidi ya kuwa na harufu...
  17. JamiiForums Tanzania Haji Manara yupo sahihi, Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo

    Wakuu wanawake wana njaa Sana . Na hawana akili za kuwaza mbali Hajji Manara yupo sahihi , Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo .
  18. JamiiForums Tanzania Sio siri wanawake wanaongea sana

    Kutokana na msongo wa mawazo nilionao, nikaona wacha nikajichanganye na watu ili kuepusha kujitundika kitanzi Nimejikuta naweka kituo kwenye kijigenge kimoja kidogo dogo. Kulikuwa na bodaboda watatu ila mmoja wao alikuwa na tabia zisizo za kuigwa na mwanaume wa aina yoyote ile duniani. Maake...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hookup culture na wanawake kuwa rahisi kutoa sex ndio sababu kubwa ya ongezeko la wanaume wengi kuchelewa kuoa

    Hookup culture ni utamaduni uliokuwa kwa kasi kwenye jamii zetu ambapo watu wanajihusisha na mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la ngono bila kuwa na nia wala commitment ya uhusiano wa kudumu au ndoa Sex imekuwa ni rahisi sana kuipata, Utandawazi umewatega wanawake kugawa sex hovyo wao wakidhani...
  20. JamiiForums Tanzania Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

    Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila. Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School . Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…