Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.
Sasa mimi mchongo mzima naujua...