wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwanini darasani hatujafundishwa kuhusu wanawake hawa walioshiriki kupigania Uhuru wa Tanganyika?

    Wakuu, Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana. Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955 Kutoka kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa, maarufu Mama Sakina, Bi. Titi Mohamed, kushoto wa kwanza ni...
  2. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Lazima nioe wanawake wawili

    Mimi, Powell Gonzalez lazima nioe wanawake wawili. Wa kwanza atakuwa mtu wa kabila au asili yoyote lakini wa pili lazima awe anatokea Ujerumani. Namaanisha 'A German girl', elewa neno 'German girl' usikurupuke.
  3. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Sababu inayofanya wanawake wasikupende

    https://youtu.be/FvGS_o-ERdw?si=s75p6yIZTv9iyq2X Huu ni ukweli mchungu
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Asilimia 95 na zaidi ya Wanawake wa sasa wanalichukia hili Tangazo

    Anachosema huyu mtangazaji wa hili Tangazo ni cha kweli kabisa kwa asilimia 95 na zaidi. Hizi issues zipo ila sijui kama zina dawa. Dawa nzuri ilikuwa ni kwa mwanamke kutulia tu. Wala asiwe na mambo mengi na kuhangaika.
  5. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Gentlemen commandments//the art of winning women psychology

    1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana 2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake". Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute 3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa Los Angeles wakamatwa kwa Tuhuma za Kudanganya Wanawake wabeba mimba kwa niaba, Watoto 21 wachukuliwa na Serikali

    Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za kuwadanganya wanawake wabeba mimba kwa niaba (surrogate mothers) kutoka maeneo mbalimbali nchini Watoto...
  7. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania The pain ya kusingiziwa mtoto wanawake acheni huu unyama

    Nikiwa kama victim wa kusingiziwa mtoto ambaye kwa mazingira asilimia mia moja sio wa kwangu nawaombeni sana dada zetu kuacha huu unyama.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo kwa wanawake, watoto na wenye ulemavu

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo ya asilimia kumi ya Wanawake, watoto na wenye ulemavu Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni Bilioni 22.3 ambayo vikundi vya wanawake walipata 4%, vijana 4% na watu wenye...
  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanawake huwa katili na wenye roho mbaya?

    Swali lako linaeleza hali unayoiona kwenye jamii, lakini ili kulijibu kwa haki na kwa undani, hebu tuchambue kiukweli: ✅ 1. Si wanawake wote Kwanza, kumbuka si wanawake wote wana roho mbaya au ukatili. Kuna wanaume wenye roho mbaya pia. Tabia mbaya haibagui jinsia, bali: ✅ 2. Chanzo ni malezi...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ndoa ya wanawake Wengi Ruksa Uganda

    🇺🇬Wanaume nchini Uganda sasa wanaweza kuoa wake wengi kisheria, Mahakama ya Katiba imeamua. ✍Uamuzi huo umekuja baada ya Chama cha Wanawake Wanasheria (WPI) kupinga mila hiyo ya wanaume kuoa zaidi ya mwanamke mmoja. Kundi hilo la watetezi lilisema kuwa mitala inadhalilisha, inadhuru, na...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wanawake huwaumiza zaidi Wanaume wanaowapenda kwa dhati?

    Hili ni swali zito na lenye uchungu, ambalo wanaume wengi wamewahi kujiuliza baada ya kuupenda kwa dhati na kuumizwa vibaya. Hebu tulichambue kwa uhalisia na kwa undani. Kwanza, swali hili si kuhusu wanawake wote, bali linahusu mwenendo fulani katika uhusiano maalum. Kwa hiyo: Kwa nini baadhi...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi wanawake kutumiwa kama viburudisho katika shughuli za biashara

    Maonesho ya sabasaba yamefikia tamati jana rareh 13 July kuashiria kilele cha kumalizika kwa shughuli hizo. Ukiachana na pilikapilika za sabasaba mwaka huu kuna jambo hilo limekua desturi kama utamdani ambao kama sio unakua basi unaendelea kushamiri miongoni mwa wafanyabiashara mbalimbali katika...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

    Kwema humu Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu Katika umri wangu huu...
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hili la wanawake kutokuwa na bikra linanichefua hasa hasa kwa hii dini yetu pendwa ya kikristo

    Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
  15. FK21

    JamiiForums Tanzania Kuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi

    Kuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi baadae akaugua akawa ananicheki naenda kwao kumuona nisipomuona inakuwa case alikuwa anapiga simu mda wowote akinikumbuka imekuja kutokea issue maflani majuzi Nikampigia simu saa 4 usiku Kama emergency jana nakuta maneno...
  16. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wanawake wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuolewa?

    Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa...
  17. kibovu

    JamiiForums Tanzania Najiuliza ule msemo wa Tanga waja Leo waliutoa wapi? Mbona watoto wazr hatuwaoni?

    Igweeeeeee, Wakuuu nipo kikazi Tanga kutokea Jiji la Dar es salaam. Wakuuu Mimi ni Mla Bata Kila ninapoenda sehem ni lazima nihuzurie viwanja vya Wala Bata . Wakuuu kiufupi Tanga madem wakali hakuna.Dodoma nimetembea I appreciate that place,Kahama shinyanga ,Mbeya Singida Kuna Warembo. Jiji...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

    Hivi ni kweli kuna kiumbe ambacho kinaongoza kujidhalalisha chenyewe alafu tena kilalamikia matokeo yake🤣
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania ICC yatoa vibali vya kukamatwa kwa viongozi wa Taliban kwa kuwatesa wanawake na wasichana

    Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa viongozi wawili wakuu wa kundi la Taliban, ikiwatuhumu kuwatesa wanawake na wasichana nchini Afghanistan. Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague ilisema kuna "sababu za kutosha" kuamini kuwa Kiongozi Mkuu...
  20. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuwq na maadili na heshima Tanzania hii!!

    Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu We fuatilia ndoa nyingi sana...
Back
Top Bottom