wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku nikifa wanawake watalia mnoo.

    Siijui hiyo siku ila itakapokuja utakuwa msiba wa wanawake hakika. Kuanzia upanga mpaka tukuyu Buzurugwa mpaka korogwe Naples mpaka turini Ngarenaro mpaka same Rukwa mpaka lufilyo Moshi mpaka makorora Kisumu mpaka horohoro Bigwa Moro mpaka wanging'ombe Songea mpaka chalinze Mtalia na...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake, unatumiaje vocha hadi inaisha bila kumkumbuka aliyekutumia?

    Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa pale unamtumia mpenzi wako vocha pengine ya1000/5000-unamtumia kwa lengo la upendo, ukitaraji pengine...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Dar es Salaam siku hizi wanapenda kuishi Kikolabo?

    Kila Mwanamke utakayekutana naye tu ukimuuliza kapanga wapi atakumbia sehemu fulani lakini ni lazima atasema anaishi na Mwenzake. Kumetokea nini kwani mbona huko nyuma Wanawake wengi wa Dar walikuwa wanaishi peke yao tu? Na kwanini pia Wadada (Wanawake) wengi wa Mkoani Dar es Salaam Siku hizi...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye miaka 38-48...

    Kwanini Wanawake walio na Umri kati ya Miaka 38 hadi 48 ni wepesi sana Kutongozeka halafu ni Ving'ang'anizi sana Kimahusiano? Uzoefu wenu unahitajika sana Wandugu juu ya hili Suala nililolileta hapa mbeleni yenu kwani lipo sana tu.
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuwasaidia hawa wanawake waliotelekezwa?

    Wakuu naandika haha huku moyoni Nikita na uchungu sana kwa. Kweli. Hapa mitaani ninapokaa kuna baadhi ya wamama wakiwa na watoto wao wadogo waliotelekezwa na waume zao wanateseka sana hapa mitaani na kutokana na kula yao kuwa ya shida afya zao sio nzuri na wengine kupelekea kuwaachisha...
  7. JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Unadhani hawa Wanaume wangekosa hizi Silaha muhimu za Wanawake wangechukua Silaha zao zingine zipi wajikinge na CORONA?

    Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia...
  9. JamiiForums Tanzania Asilimia 98% ya mawazo yangu nawaza wanawake

    Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote. Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
  10. JamiiForums Tanzania UNHCR: Wanawake wakimbizi wapo katika hatari ya kunyanyaswa kijinsia wakati huu wa mlipuko wa Corona

    Shirika la UNHCR ambalo linashughulika na wakimbizi limesema kutokana na janga la COVID19, Wanawake na Wasichana wapo katika hatari kubwa ya kunyanyaswa kijinsia UNHCR imesema kufuatia nchi nyingi kufunga mipaka ili kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona, misaada iliyokuwa ikitolewa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanavaa skin Tait?

    Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
  12. JamiiForums Tanzania Najiuliza huyu aliyeleta utaratibu wa mwanaume kutokumiliki wanawake wengi alikuwa na makusudi gani?

    Asili ya jinsia ya kiume ni kumiliki majike wengi, angalia wanyama, ndege, samaki n.k Na kwa idadi iliyopo duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume. Na wengi wanahitaji kuwa kwenye mahusiano na wanaume, ila kutokana na uchache wa wanaume wanaishia kutamani kwa macho. Najiuliza huyu aliyeleta...
  13. JamiiForums Tanzania Lockdown yawa mateso kwa wanawake nchini ghana

  14. JamiiForums Tanzania Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

    Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo. Ni mzuri Ana exposure Si mjivuni Social Mambo Safi Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake. Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wameshikiwa akili na washauri wa mitandaoni?

    Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah. Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa Mauki na wengine wengi Tatizo langu sio hao washauri, bali ni hawa baadhi ya watu wanaopeleka...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake 5 mastaa wenye mvuto zaidi Tanzania

    5. Malkia Karen 4. Mimi Mars 3. Faraja Nyalandu 2. Jackline Mengi 1. Nancy Sumari
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake si wabinafsi kama wanaume mnavyotuchukulia, huwa tunawaza msiyo ya waza

    Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana Mwanaume atanunua kiwanja, atajenga nyumba lakini hafahamu kuwa deco ndani ya nyumba ni muhimu na...
  18. JamiiForums Tanzania Sisemi ni wote ila wanawake wengi wakiwa wanakwenda gym ataishia kupata mchepuko

    Sisemi ni wote ila wanawake wengi wakiwa wanakwenda gym ataishia kupata mchepuko au hata wale instructors watakula mzigo. Mimi ninayo experience hivyo siyo wadada mje hapa useme siyo wote mi nishasema siyo wote. Nataka ku prove my experince kwa mtu ambae amesha experience.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wachache hawapendi wake wenza, Nahitaji mke ila aje na anayefikiria anaweza akawa mke mwenza

    Wana JF, nimetoa uzi huu maksudi ila walengwa na wahusika ndio wa comment au DM, Nahitaji mke mrefu au saizi ya kati ila achague anayeona anafaa kuwa mke mwenza na wanaweza wakaishi wote kwa upendo na furaha na watahudumiwa wote kama walivyo kwa vyovyote, sina uwezo mkubwa sana kivile kama...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wanawake siwaelewi?

    Hivi mbona wanawake siwaelewi? Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent. Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…