wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wanawake siwaelewi?

    Hivi mbona wanawake siwaelewi? Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent. Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wakuu limekaaje hili upande wenu kuhusu wanawake

    Natumai hamjambo wakuu, Wakuu kwa nini wadada wenye matiti makubwa wengi hawana chura na miili yao ni shapeless tofauti na wadada wenye matiti madogo ambao wengi wao wanamaumbo mazuri na chura matata??? Au macho yangu tu ni mabovu, maoni yenu tafadhali.
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wana akili kama za Delilah aliyemshawishi Samson

    Nipo zangu hapa home najaribu kupangilia majukumu yangu kwa siku ya kesho, kwa sababu nilikuwa sitegemei kutoka zaidi ya kuupumzisha mwili. Ghafla simu yangu inaita, kuangalia namba naona ni mchepuko wangu(chura matata)...ambaye tuliachana naye mwezi uliopita akasafiri kwenda kuangalia familia...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote wakikataa kufanya mapenzi ni mwisho wa dunia

    Imagine dunia nzima wanawake wagome kufanya mapenzi itakuwaje? Kuanzia walio ndoani mpaka makahaba. Hakutakuwa na uzao Tena na ndio itakuwa mwisho wa dunia.
  5. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Wanawake fungukukeni ili tuokoe ndoa zetu

    Wanawake nawaomba muwaweke wazi wanaume kwa kutaja vitu vinavyowapelekea mtoke nje ya ndoa Mkiwa wazi kwa kusema ukweli mimi naamini tutaokoa ndoa nyingi sana. Karibuni
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dunia ina Mambo: Nilivyozama mapenzini na dalali wa wanawake wanaojiuza

    Amakweli Dunia ina mambo na haiishi vituko. Ni baada ya kupata ajira yangu ya mwanzo mwaka 2007, katika visiwa vya ukelewe huko. Nikiwa ktk ofisi yangu ya kazi nilipata mteja mmoja mwanamke mwenye umri kati ya 24 na 26 alikuwa mrembo kweli. Mnene kiasi na mwenye chura kiasi. Alikuwa anajipenda...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuliwa pesa zetu na ama chochote kile ki masihara na wanawake, na wale waliowahi kula vya wanaume ki masikhara

    Wanawake yeah tumewala ki masikhara ila sisi pia huwa wanatula ki masikhara..... Sometimes katika harakati za kumfuatilia demu au mwanamke kwa ujumla, unawezajikuta unaliwa pesa zako ki masikhara masikhara hivi halafu mwishoni hupewi papuchi, au unapewa lakini hailingani na uwekezaji...
  8. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania

    Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia. Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuwa jeshi kubwa la kisiasa haimaanishi kwamba watangulizwe mbele vitani haijulikani na adui atawatanguliza nani mstari wa mbele

    Nakubaliana kabisa na kauli ya mh Mbowe ambaye ni chairman wa Chadema kwamba Wanawake ni jeshi kubwa na ninaamini kabisa mh Mbowe aliitoa kauli hii kwa minajili ya kisiasa. Lakini ni vema wanawake wa Bawacha na wengine wote wakatambua kuwa wao ni jeshi kubwa kwenye mambo ya Hamasa na kupiga...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunawaoa wanawake?

    Naomba kufahamu hasa sababu ya kuwaoa wanawake. Yani kwa kifupi zipi ni sababu za kuishi na mwanamke iwe ni kwa kukaa nao au kuwaoa kwa harusi iwe ya kiislam kikristo au kimila na kiserikali?
  11. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu mama chui na watoto wake

    Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
  12. Masinki

    JamiiForums Tanzania Je, Alichofanyiwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na BAWACHA ni sahihi?

    Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!! Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli wanawake wapinzani ni makini zaidi ya wanaume

    Tuseme ukweli tu wanaume wengi wapinzani ukiwauliza tofauti ya sera hata hawajui. Wengine wengi wamekuwa wakipewa madaraka ya juu bila kuwa na ujuzi, moyo wa kujiamini na hata wengine wamekuja upinzani kwa kutafuta pesa. Na hili ni hata kwa wakina Lowassa na Sumaye ukiwauliza kwanini walikuwa...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

    Ushahidi huu hapa ni kielelezo cha ubora wa Taasisi hii kuongoza kwa sasa Africa na pengine duniani , kwa taasisi ambayo karibu viongozi wake wote wanakabiliwa na kesi mahakamani huku kukiwa na shinikizo kwamba ni lazima wafungwe Jumanne ijayo , hili si jambo la kawaida . Ikumbukwe kwamba nchi...
  15. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Hivi kule Beijing wanawake waliafikiana hivi ndipo mimi nianze kuwaheshimu au ni matatizo yao tu ya asili na uumbaji?

    Kwahiyo kule Beijing Wanawake waliafikiana yafuatayo....? 1. Wawasiliti kila mara Wachumba na Waume zao? 2. Wawanyime Mapenzi ya Kitandani Wapenzi na Waume zao? 3. Wazunguke Tanzania nzima kwa Waganga wa Kienyeji Kuwaroga Wapenzi na Waume zao? 4. Wawe tayari Kuzungukana Wao kwa Wao na Kuibiana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA katika Ukumbi wa Mlimani City DSM leo March 8, 2020

    Ni Jumapili tulivu ambayo ni siku ya Wanawake duniani.Katika Taifa letu Wanawake wa Chadema wanafanya Kongamano lao kubwa katika Ukumbi wa Mlimani City DSM. Idadi kubwa ya wawakilishi wa Wanawake wa Chadema kutoka mikoa yote tayari wako DSM kuhudhuria Kongamano hili. Mgeni Rasmi katika...
  17. Asha D Abinallah

    JamiiForums Tanzania Kutoka JamiiForums: Kliniki ya Kidigitali Maalum kwa Wanawake katika kumsheherekea Mwanamke

    Habari Wakuu, Siku ya kusheherekea siku ya Mwanamke duniani, inahusu si wanawake tu, bali hata wanaume pia. Hii ni siku maalum ya kila mwanadamu kutambua umuhimu na nafasi ya Mwanamke kwa kumwangalia kama mwanadamu na si kwa vigezo vya sifa ya kuzaliwa Mwanamke. Na kwamba anastahili haki na...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2020, Wanaume watakiwa kutonyanyasa Wanawake na kuwanyima haki zao

    Wanaume nchini wametakiwa kutowanyanyasa wanawake kwa kuwadhulumu haki zao, kuheshimu nafasi zao na zaidi kuepuka kuomba rushwa ya namna yoyote pindi wanapohitaji msaada. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani Machi 8 mwaka...
  19. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Supa Woman ni mzuri sana Pongezi kwa waimbaji

    Hongereni wanawake wote nimependa wimbo wenu wa supa woman,ki ukweli ni wimbo mzuri sana Hongereni kina mama Wasanii mlioimba hongereni mmeutendea wimbo haki yake. Vitu nilivyopenda kwenye huu wimbo wenu Kiitikio chenu kinanifanya niweke A-B ijirudie sichoki kabisa mdada aliepiga hicho kifaa...
  20. funluverx

    JamiiForums Tanzania Eti, Wanawake wenye Mwanya au Vi-dimpoz wanapenda 'Mambo fulani'?

    Habari Wadau. Enhe, Sina maelezo zaidi Ila, Kama Uzi unavyosema, Eti, kwa Jinsia ya Kike wale waliobahatika kuwa na Mwanya wa asili pamoja na wale wenye mashavu (ya Kichwani) yenye vishimo maarufu kama dimpoz, Inasemekana ni wapenzi zaidi wa mchezo wa kujamiiana zaidi kuliko wale wasio na sifa...
Back
Top Bottom