wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake.

    Kwa mfano Yona yule aliyemezwa na Samaki na kukaa tumboni mwake siku tatu angekuwa mumeo ungemuamini?? Kwamba kapotea nyumbani kwa siku tatu simu zinaita tu na hazipokelewi, Sms za kawaida zinaonekana kuwa delivered, Zile za watsapp nazo kale katick ka blue kapo kwamba sms zimesomwa Lakini...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jery Slaa, unaweza kufanya zaidi ya kusugua miguu ya wanawake kwenye kampeni?

    Yapo Mambo yanafanywa na wagombea wa Chama cha Mapinduzi wakiwemo vijana yanatia najisi jamii wanayotaka kuiongoza. Jery Slaa kumnawisha mwanamke miguu kama njia ya kuomba kura ni fedhea na ulaghai usiokubalika. Siasa ni hoja, tunategemea kuwa na viongozi wajenga hoja siyo viongozi wanafiki...
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Wanawake niliokutana nao. Based on a True Story

    Itakujia hivi punde
  4. Rodriquz

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwanini hamu hofu wala huruma?

    Denic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi. Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kama uchumi wako ni wa kipato cha kati na umeendekeza kugawagawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea

    Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka. Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo. Wanawake wafundishwe kujitafutia. Mbona wanawake wakizungu wao ukienda nao hotelini wanajilipia wenyewe ina...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

    Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya. Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kuwapa wanawake pesa ni kuwaendekeza ili wasifanye kazi

    Habari za leo wakuu. Wakuu hivi mmegundua kwamba taifa linaangamia na kupotea nguvu kazi ya kike inapotea kabisa wakuu. Hawataki kufanya kazi, wanasubili watongozwe ili waanze kuomba pesa za kujimudu kimaisha. Wao wanachowaza ni kuvaa mawigi, kukuza mahips, wakati huo huo hivyo vitu ni...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao hamjawahi kupendwa mnapata tabu sana kuwajua wanawake matapeli

    Dah! Poleni sana kwa kweli nimesoma thread nyingi humu nakuta wanaume wanalalamika juu ya kudhulumiwa pesa zao na wanawake na mzigo hawajapewa Kuna mwingine nae pia kaanzisha uzi eti demu akisema amekumiss basi ww inabid umtumie pesa nikacheka sana ninajua kinachowasumbua hawa wanaume wa...
  9. Rodriquz

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake hawapo serious kabisa kwenye mahusiano

    Unamtongoza bi\dada anakukubalia siku hiyo hiyo lakini sasa kukupenda itakubidi ufanye kazi kubwa sana. Utasikia mimi nimeumizwa simwamini mwanaume, ngoja kwanza nikuchunguze halafu ndo nitakuonyesha mapenzi yangu. UNICHUNGUZEE? WE NI TAKUKURU? Kibaya zaidi mnakuwa mnapanga appoitiment anakuwa...
  10. Mr mgeni

    JamiiForums Tanzania Dah! Nilivyomuacha tu kaolewa na tajiri

    Nilidhani atateseka ili awe na adabu cha ajabu kaolewa na jamaa tajiri mpaka roho inaniuma. Poa bwana ila freshi tu yote maisha.
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera BAWACHA kwa kuhamasisha wanawake wengi kugombea majimboni, UWT wajifunze kwenu

    Baraza la Wanawake CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee sauti ya zege, limeweza kuhamasisha wanawake vijana wengi kugombea majimboni. Taarifa zinasema zaidi ya wanawake 60 wameteuliwa kugombea kwenye majimbo huku CCM ikiweka wanawake 12 tu majority wanangojea viti maalumu, Hongera Ummy...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake Bunda walalamika kufichiwa kadi za kupigia kura na waume zao, DC asema waachwe wachague mgombea wanayemtaka!

    Wanawake wa wilaya ya Bunda wamelalamikia mfumo dume ambapo wanaume huficha kadi za kupigia kura za wanawake. Wakizungumza katika semina iliyoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Kivulini akina mama wamesema wanaume wanawadhulumu haki yao ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa kwenye...
  13. Andie

    JamiiForums Tanzania Wanawake ambao hawajaolewa wanakosea hapa

    Salaam wana jukwaa, Nijambo zuri kama tukiwa na jamii ya watu wenye furaha na kati ya vitu vinawakosesha furaha wanawake wengi zama hizi ni kutoolewa. Sasa katika "jitihada za kumsaka" mume kuna makosa makubwa wanzetu hawa wanayafanya. Ila kosa kubwa na linalotamalaki sana ni hili, wanawake...
  14. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi

    Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi SERIKALI wilayani Bunda mkoani Mara imetoa mikopo kwa vikundi vya wajasiliamali kiasi cha zaidi ya Tsh. milioni 600 zinazotokana na fedha za makusanyo ya mapato ya halmashauri na Serikali kuu. Serikali...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuchota maji usiku na wanawake kunaamsha hisia za ngono?

    Jamani leo niko wilaya ya Kilosa nimepanga nyumba nzima ya peke yangu hapa Kilosa mjini mtaa wa Uhindini. Sasa maji yanatoka nje hapa kwangu usiku huu na kuna wanawake wawili wanachota maji kwa zamu mmoja anaenda mmoja anabaki, tena nje ya dirisha langu ndio kuna bomba. Sasa namsikia kabisa...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Marais Wanawake waongoza kudhibiti maambukizi ya COVID19 duniani

    Tofauti na matarajio ya wengi, utafiti uliofanywa na Shirika la Centre for Economic Policy Research na Jarida la World Economic Forum umebaini kuwa mataifa yanayoongozwa na wanawake yana kiwango kidogo cha maambukizi na athari zinazotokana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu, COVID-19...
  17. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Biashara za wanawake kujiuza zimehamia kwenye Saloon za kiume

    Juzi Kati baada ya kumaliza mizunguko yangu ya kazi nikaona nitafute Barbershop ya kisasa inayoeleweka nifanye usafi wa ngozi. Mjini Kati nikaona Barbershop matata Full Brand ikabidi nizame ndani nikakutana na vinyozi tukala story mbili tatu baada ya hapo akatokea Dada akanikaribisha katika...
  18. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine sijui mkoje?

    Dear Mama wa kambo, Tokea uje kwetu maisha yetu yamekuwa mabaya kwa maana umekuwa unatunyanyasa unatufanyia visa juzi mdogo wangu umempiga na ufagio mpaka akazimia alipozinduka kwa juhudi zetu. Ulimnyima chakula ukamwamrisha asilale kitandani alale chini ya sakafu tena bila huruma . Tunaumri...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kejeli na matusi husababisha wanawake wengi wasijitokeze kuwania nafasi za uongozi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Mjini,Esther Matiko wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ametaja baadhi ya kasumba zinazokwamisha wanawake kujitokeza kugombea nyadhifa za uongozi kuwa ni kejeli na matusi kwa wanawake. Mgombea huyo alibainisha jana wakati akizindua mkutano wa kampeni za...
  20. Joyce joyce

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

    Wakuu mama Nyerere alipoamushwa kuja kuzungumza kwenye mkutano wa Ccm, katoa Kari ya Mwaka, kasema kuwa yeye hana LA kuongea Kwa sababu amelazimishwa kuja kwenye mkutano huu. "Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa...
Back
Top Bottom