wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wakuu tutumieni nafasi hii adhimu ya kupanda gharama za miamala kuwataka wanawake waijie pesa tunapoishi ili iwe win-win event

    Huu ndiyo ukweli, jana nimemla mmoja baada ya kumwambia siwezi kumtumia pesa maana makato ni makubwa mno. Naye akasema aje ili aichukue personaly na akapelekewa moto. Tutumieni nafasi hii kuwala hawa mamluki wa Lucifer.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wameanza kuleta chokochoko hii kauli chadema kuweni nayo makini wanawake ni wakatili zaidi

    Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwezeshwaji wa vijana na wanawake kupitia kilimo mtandao (E- agriculture)

    Nitaanza na maana ya kilimo mtandao. KILIMO MTANDAO, hii ni huduma ya kilimo ambayo inatoa taarifa na kupokea taarifa kuhusu hali ya klimo, masoko ya mazao, hali ya hewa na mabadiliko ya nchi pamoja na matumizi mengine ya kiteknolojia kupitia mtandao. Hii inasaidia kurahisisha mawasiliano...
  4. Ally MO98

    JamiiForums Tanzania SoC01 Udhibiti wa posa chafu kwa Wanawake

    Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume. Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki wa kindoa hutumia mwanya huo kutokana na sababu za wanawake wenye msimamo kutokukubali kuingiliwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

    Habari za mchana huu. Naomba nizungumzie jambo moja lisilo zuri leo. Kumekuwa na tabia ya kusimanga wanawake ambao hawajaolewa na kuwafanya wajione hawafai. Watanzania wenzangu hii tabia sio nzuri. Naomba tusiwasimange wanawake ambao hawajaolewa kwa maneno ya kejeli au dharau. Kufanya hivyo...
  6. kidereko

    JamiiForums Tanzania Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

    Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko. Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko...
  7. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake na sifa zao

    Hivi ni kwly? Inasemekana wadada wanatabia tofauti katika mapenzi kulingana maumbo ya miili yao (1): WASICHANA wafupi wanaongoza kwa WIVU wa MAPENZI na kuwajali wapenzi wao'' (2):WASICHANA warefu huwa hawawajali WAPENZI wao na hawaogopi MAHUSIANO kuvunjika pia hawajui kupetpet (3):WASICHANA...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanaweza ku survive wakati sisi tumewazidi kiuchumi

    Unakuta mnafanya kazi wewe Mwanaume unalipwa 20000 kwa siku ila unayumba balaa mikopo unayo na bado hazitoshi kabisa hata boxer tu au sendo kununua inakuwa kipengele lakini unakuta mdada analipwa 10000 kwa siku ila ana survive kinyama kuliko wewe anakuwa na vitu vingi, perfume, mazagazaga kibao...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu: Viongozi Wataka Wanawake Waislamu Wapigwe marufuku Kupanda Bodaboda

    Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake. Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

    Habari zenu waungwana! Mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke mmoja ambaye ni muajiriwa katika ofisi za umma.Kwa wakati huo alikuwa na miaka 28. Tulianza rasmi Safari ya mapenzi ambapo kufikia mwaka 2020 mwezi December nilifanikiwa kupeleka barua ya uchumba na baadaye kidogo nikatoa...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

    Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo. Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019. Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo. 1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

    Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji. Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi...
  13. kombaME

    JamiiForums Tanzania Kadri wanawake wanavyosimama kudai haki sawa, ndivyo wanaume wanavyozidi kuacha kutekeleza majukumu yao

    Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala linalopelekea wanaume kuwazalisha au kuwaoa na kuwafuja tu hawawi responsible tena. Zamani wanaume walikuwa...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Wanawake turogeni tupate hela

    Turogeni tupate hela ndo mtudange sio unaenda kuroga tu niwe wako then hako kasalio kadogo nilikonako unataka ukafyonze kaishe then nichalale Sasa niroge niwe wako kisha niroge tena kipato changu kiongezeke hapo sasa nidange ila kwa staha sasa sio unakomba hadi mfupa! Hata chemchem huchimbwa...
  15. KENZY

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

    Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!. Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hongera wanawake wa Afrika Mashariki, lakini kuna ya kujifunza kutoka kwa wanawake wa China

    Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu eneo la Afrika Mashariki limeng’ara tena kwenye ramani ya dunia, kwa wanawake wake kuwa kwenye nyadhifa za juu za utawala. Kwanza ni nchini Tanzania ambako rais Samia Suluhu aliapishwa kuwa Rais, na nchi Kenya ambako Bibi Martha Koome alichaguliwa kuwa jaji...
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakiamua kushirikiana kwa dhati wanaume mpo hatarini

    Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa👇 Yaani mwanaume unaacha mkeo nyumbani unaamua kuchepuka.. Kule unakochepukia unashindwa kuulipa mchepuko malipo yake...
  18. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano kati ya Wanawake kucheza mpira na kuwa 'Tomboy'?

    Nawasalimu wakubwa habari zenu, Nashindwaga kuelewa soka la Tanzania haswa kwa upande wa Dada zetu. Asilimia 90% wanaocheza mpira wa miguu wengi wao ni ma-tomboy. Yaani utakuta mpaka bange anavuta; wanajiweka kiume kabisa hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa tomboy na kucheza mpira[emoji23] na...
  19. Matanga

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

    Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY). Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi...
  20. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaharibika mikononi mwangu

    Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe. Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano...
Back
Top Bottom