wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawana huruma?

  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu mnawezaje kumudu wanaume wabinafsi waongo wanaojifikiria wao tu?

    Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99 Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

    Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Wanawake hamjui kukataliwa?

  5. JamiiForums Tanzania Huyu mrembo simuelewi...

    Habari zenu wana MMU. Akili za wanawake sometime zinachekesha sana. Iko hv kuna mtoto mmoja wa kisingida mweusi huyo ana kiuno kama nyigu na mshepu mmoja matata sana tako kama kajambia amila yuko vzr asee naweza sema kwa kijitonyama hii katika top five ya madem wenye shepu basi atakuwa namba 2...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

    Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari? Mimi ni kijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ianzishe vyuo vya wanawake tu ili kupunguza mimba kwa wanafunzi

    Watoto sasa wanamaliza kidato cha 4 na kidato cha 5 wakiwa na umri mdogo ni vyema serikali ikaanzisha vyuo vya wanawake hapa nchini. Hii itapunguza mimba za utotoni kuna wakati vyuo mimba zina zidi dah
  8. JamiiForums Tanzania Hali inatisha idadi ya wanawake inaongezeka kwa kasi ya ajabu

    Mashuleni, vyuoni wamejaa wao Nyumba za kupanga wamejaa wao Maeneo ya biashara wamejaa wao Makazini wamejaa wao Mashambani wamejaa wao Mahospitalini wamejaa wao Nyumba za ibada wamejaa wao Migodini wamejaa wao bali wapo Kama waangalizi Halafu tunadanganywa na takwimu hizi uchwara kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania waomba msaada dhidi ya waume zao wanaonyonya matiti na kumaliza maziwa ya watoto

    Watanzania hamuishi vituko ===== Breastfeeding women in Handeni district in Tanga region have asked the district commissioner, Siriel Mchembe to help them raise their voices against husbands who suck their breasts as they cause shortage of milk for their children. The request was made during...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana kwani Urais wako ni mtihani si kwa Tanzania tu, bali kwa mataifa mengi kuhusu wanawake kupewa nafasi ya Urais huko mbeleni

    Tanzania ni nchi ya kwanza, kwa Afrika Mashariki na Kati, Kwa SADC, na kama sikosei ya pili kwa Afrika kuwa na Rais mwanamke. Tuna jambo kubwa sana, kwa kuwa hata Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke na jaribio lao la kufanya hivyo lilishindwa. Hatujali kwamba Rais Samia alikuja kuwa Raisi...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

    Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake. Hili la kunyimwa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Thamani ya Huduma Bora za Uzazi wa Mpango Katika Uwezeshaji Wanawake Kielimu na Kiuchumi

    UTANGULIZI: Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kujichubua na kujiklimu kwa wanawake na adhari zake

    Wadada wengi wa bara la Afrika asili yao ni ngozi nyeusi yenye kungaaa sana almaaluf " chocolate colour " Lakini kutokanana maendeleo ya sayansi na teknolojia waafrika wengi hujikuta wakitamani rangi sawasawa na watu wa ulaya ,Hivyo ni kutafuta njia mbali mbali nao kuwa weupe, kwa mfano mkologo...
  14. JamiiForums Tanzania Rundo la wanawake watu wazima wananitaka

    Habarini za usiku wasomaji Mimi ni kijana mdogo tuu ambaye mara nyingi hujishughulisha na kilimo na ufugaji. Sasa mwaka huu baada ya kuvuna alizeti na vimahindi vyangu nikaona isiwe tabu ngoja nifungue kabiashara ka kupumzikia tu kiangazi hiki. Nikatafta fremu nikafungua biashara na hapo...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

    Kuandika Uzi wa mapenzi asubuhi subuhi haimaanishi kwamba hatujengi Taifa. LAA! Muhali gani wapendwa? Nawaombea muwe na afya njema. Ni swali fupi tu JE NINI KINAFANYA MTU KUFUKUA MAKABURI (MAMBO MAOVU) YA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NYUMA? Mpenzi wangu na mama mtoto wangu ambaye yuko mbali na mimi...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka kung'oa mzungu, naomba msaada kwa hapa Dar wazungu wanashinda mitaa ipi?

    Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea. Makato yamezidi, watanifilisi hawa. Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu. Natanguliza shukrani
  17. R

    JamiiForums Tanzania Lugha wanazotumia wanawake kupiga mizinga zinafanana

    Kuna kitu nimekigundua siku za hivi karibuni, na naona kinafanana na wadada wengi, hata baadhi ya marafiki zangu nao wameanza kukumbana nacho. Inaonekana mahusiano ya kimapenzi imekuwa mojawapo ya chanzo cha mapato kwa wadada wengi, au kwa maneno mengine wewe mwanaume umekuwa chanzo cha mapato...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mambo haya 6 yapo kwa wanawake?

    1. Hivi ni kweli - Mwanamke akipenda anapenda kweli? Hawezi kukusaliti hata akutane na wataalamu wa swaga / wenye ushawishi na wenye pesa? Hata akiwa na shida ya sex au pesa kiasi Gani? 2. Hivi ni kweli kwamba Mwanamke hamsahau Mwanaume aliyemvunja bikira? - Inaamaana mpaka atakapokuwa bibi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake, hatma ya Watoto

    Na Ibrahim Rojala Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini,Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa...
  20. JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kujichua kwa wanawake na wanaume

    Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana. Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…