wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wabunge wanawake waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa mahakamani je wataendelea kuwa wabunge?

    Nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu. Swali la kujiuliza. Je, ikiwa wale wabunge waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa Mahakamani wataendelea kuwa Wabunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa uamuzi?
  2. JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke? Je, Mama Samia na Dkt Tulia watabariki kudhalilishwa kwa wanawake wenzao 19?

    Pamoja na vita kali ya Urusi na Ukraine lakini dunia nzima ipo kimya kushuhudia ni kwa namna gani wanawake wawili wenye nguvu zaidi hapa TZ watawalinda wenzao 19 waliodhalilishwa wiki hii mbele ya umati wa wajumbe zaidi ya 400. Kama Ndugai na Mwendazake (wanaume) waliweza kuwalinda, nyie...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake watano wauawa, wanyofolewa sehemu za siri

    Wanawake watano Wilayani hapa wameuawa kikatili na watu wasiojulikana huku watatu kati yao wakikutwa sehemu zao za siri zimenyofolewa. Mauaji hayo yamefanyika katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita, hatua ambayo imesababisha wananchi kuingiwa na hofu juu ya usalama wao. Akizungumza na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Redpill talk: Wanawake wengi wanafurahi sana kukukataa pale unapowatongoza

    Hili swala nimelifanyia uchunguzi, Yani hata kama mdada hajavutiwa na wewe na hakutaki, ukimtongoza hlf akakukataa tena ile ya kikatili na ya kiroho mbaya bila sababu maalumu, rohoni huwa wanafarijika na kufurahi sana, ni wadada wachache ambao watakukataa huku mioyoni mwao wakiwa wanakuonea...
  5. JamiiForums Tanzania Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa. . Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero. ...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya Wahadhiri kuomba rushwa ya ngono. Je, suluhisho ni nini?

    Habari zenu wana JamiiForums Naomba kuuliza ama kutoa dukuduku; hivi kwanini baadhi ya Wahadhiri wa vyuo haswa Wahadhiri wa kiume wanakuwaga na tabia ya kuwadhalilisha wanachuo wa kike kingono sana, tena haswa linapokuja suala la mitihani na kutafuta courseworks Unakuta msichana/mwanamke...
  7. JamiiForums Tanzania Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

    Kwema Wakuu! Siku hizi kila mwanamke anakuambia tafuta pesa, kama huna pesa hunipati, basi unakatazama kademu kenyewe unabaki kusema Shiiiii! Kimoyo moyo. Badala kademu kamshukuru Mungu tusio na pesa tupo wengi ndio maana nako kanapata nafasi ya kuonekana koo! Kanajikuta ati kanakubaragaza...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

    Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara? Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara Credit to 6Was9
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnajisikiaje katika hili?

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na wake zetu Ni hivi huwa mnajisikiaje pale tunapokuwa tumewadanganya na majanga yakatukuta na ikabidi...
  10. JamiiForums Tanzania Taliban yaamuru Wanawake kujifunika kwenye maeneo ya umma

    Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala Mwaka 2021 Imeelezwa kuwa, Baba au ndugu wa kiume wa karibu anaweza kufungwa au kufukuzwa kazi...
  11. JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

    Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo. Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais.. Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini tunashoboka kwa wanawake wasiotutaka na wenye nyodo?

    Jumatatu asubuhi mida ya breakfast nilitoroka kwenye ka mishe kangu kidogo nikaenda kufungua kinywa kidogo pale Dodoma kuna mgahawa upo karibu na TRA kwa wanaopajua. Ok twende mbele,au basi mbele kote kwanini huko? Well mdogo mdogo. Nikacheki meza ambayo ni empty lakini nikakosa,kutokana na...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

    Mamlaka za polisi mkoani Dodoma zimepiga marufuku baadhi ya wanawake kupanda boda boda kwa mtindo wa kujibinua.
  14. JamiiForums Tanzania Geita: Wanawake wasusiwa mazishi, wanaume wagoma kushiriki kisa wakituhumiwa kuua waume zao

    Wanawake katika Kijiji cha Imaramawazo, Mtaa wa Ibongo, Kata ya Ludete, Wilaya ya Geita wamesusiwa kuchimba kaburi na kufanya mazishi ya Zawadi Mchele mkazi wa kijiji hicho aliyefariki kwa kuugua ghafla, sababu ikiwa ni wanawake hao kuhusishwa na tuhuma za mauaji ya wanaume katika kijiji hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  16. JamiiForums Tanzania Wataka Sheria ya Habari ishughulikie unyanyasaji wa waandishi wanawake, Serikali yatoa tamko...

    Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Dk. Rose Reuben ameshauri maboresho ya Sheria za Habari kuingizwa suala la kushughulikia unyanyasaji wa waandishi wa habari wanawake ili kukabiliana na changamoto hiyo katika vyombo vya habari. Dk. Rose amesema hayo kwenye mkutano wa...
  17. JamiiForums Tanzania Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

    Habari wanajamvi, Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus! Thate plus ni mwanamke wa aina gani? Mwanamke kuanzia miaka thelathini na kuendelea, ingawa wanaume wengi huwahesabia...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu msiwaonee huruma wanawake mnapokuwa sita kwa sita

    Vidume wenzangu punguzeni huruma kwa wake au wapenzi wenu mnapokuwa kwenye mahaba. Hawa viumbe wamapenda kupigwa paipu za maana si mnaona wenyewe wanavyo tutukana humu jamvini? Wakitoka nje wakikutana na vijana wenye hasira na mbususu wanazisasambua haswa tunaishia kutukanwa kwamba hatuna...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimtongoza anajiona tayari hiyo ni ajira, kutwa kuombaomba hadi kiberiti

    Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money But we galla Love for them most of women are shit
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…