wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

    Kwema Wakuu! Siku hizi kila mwanamke anakuambia tafuta pesa, kama huna pesa hunipati, basi unakatazama kademu kenyewe unabaki kusema Shiiiii! Kimoyo moyo. Badala kademu kamshukuru Mungu tusio na pesa tupo wengi ndio maana nako kanapata nafasi ya kuonekana koo! Kanajikuta ati kanakubaragaza...
  2. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

    Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara? Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara Credit to 6Was9
  3. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnajisikiaje katika hili?

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na wake zetu Ni hivi huwa mnajisikiaje pale tunapokuwa tumewadanganya na majanga yakatukuta na ikabidi...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Taliban yaamuru Wanawake kujifunika kwenye maeneo ya umma

    Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala Mwaka 2021 Imeelezwa kuwa, Baba au ndugu wa kiume wa karibu anaweza kufungwa au kufukuzwa kazi...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

    Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo. Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais.. Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
  6. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini tunashoboka kwa wanawake wasiotutaka na wenye nyodo?

    Jumatatu asubuhi mida ya breakfast nilitoroka kwenye ka mishe kangu kidogo nikaenda kufungua kinywa kidogo pale Dodoma kuna mgahawa upo karibu na TRA kwa wanaopajua. Ok twende mbele,au basi mbele kote kwanini huko? Well mdogo mdogo. Nikacheki meza ambayo ni empty lakini nikakosa,kutokana na...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

    Mamlaka za polisi mkoani Dodoma zimepiga marufuku baadhi ya wanawake kupanda boda boda kwa mtindo wa kujibinua.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Geita: Wanawake wasusiwa mazishi, wanaume wagoma kushiriki kisa wakituhumiwa kuua waume zao

    Wanawake katika Kijiji cha Imaramawazo, Mtaa wa Ibongo, Kata ya Ludete, Wilaya ya Geita wamesusiwa kuchimba kaburi na kufanya mazishi ya Zawadi Mchele mkazi wa kijiji hicho aliyefariki kwa kuugua ghafla, sababu ikiwa ni wanawake hao kuhusishwa na tuhuma za mauaji ya wanaume katika kijiji hicho...
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wataka Sheria ya Habari ishughulikie unyanyasaji wa waandishi wanawake, Serikali yatoa tamko...

    Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Dk. Rose Reuben ameshauri maboresho ya Sheria za Habari kuingizwa suala la kushughulikia unyanyasaji wa waandishi wa habari wanawake ili kukabiliana na changamoto hiyo katika vyombo vya habari. Dk. Rose amesema hayo kwenye mkutano wa...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

    Habari wanajamvi, Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus! Thate plus ni mwanamke wa aina gani? Mwanamke kuanzia miaka thelathini na kuendelea, ingawa wanaume wengi huwahesabia...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu msiwaonee huruma wanawake mnapokuwa sita kwa sita

    Vidume wenzangu punguzeni huruma kwa wake au wapenzi wenu mnapokuwa kwenye mahaba. Hawa viumbe wamapenda kupigwa paipu za maana si mnaona wenyewe wanavyo tutukana humu jamvini? Wakitoka nje wakikutana na vijana wenye hasira na mbususu wanazisasambua haswa tunaishia kutukanwa kwamba hatuna...
  13. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimtongoza anajiona tayari hiyo ni ajira, kutwa kuombaomba hadi kiberiti

    Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money But we galla Love for them most of women are shit
  15. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kenya wengi wao sio Romantic. They mostly talk, behave like men

    Hebu chukulia mfano huyu anavyoomba hela kwa mwanaume wake aliemzalisha. Mwanaume angekua karibu angepigwa makofi wallah😂😂😂
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwani ninyi mnawafanyaga nini wanawake wa aina hii?

    Habari wandugu, Nimekutana na wanawake kadhaaa lakini sijawah kutana na mwanamke kama huyu ukweli ananipa changamoto sana. Nimwanamke ambae nimekutana nae somewhere tukabadilishana namba baada ya kumuelewa kiaina. Nikaanza kuanzisha ukaribu nae kwa kuwasiliana nae mara kwa mara na hapo ndo...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

    Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye. Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa letu na Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa yeye...
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea polisi? Siku hizi wanawake wengi nao ni ma-RPC

    Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi. Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine. RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanawake wanavyochukulia Dhana ya "Kutongozwa"

    JINSI WANAWAKE WANAVYOCHUKULIA DHANA YA "KUTONGOZWA" Anaandika, Robert Heriel. Asali ya Warembo! Wanawake wapo complicated ukitumia akili ya kiume kuwatafakari, lakini ukitumia akili ya kike utawatambua vyema Kabisa na wala hawatakusumbua kuwaelewa. Kama hauna akili ya kuwaelewa wanawake basi...
Back
Top Bottom