wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake ni miyeyusho sana

    Mabaharia kwemaa? Eeh bana kuna ngarangara moja nilkuwa naipenda kinyama afu nilkuwa nina machale si mchezo, siku moja nimetoka dom manzi akanicheki kuniuliza niko wapi, nikamchana niko somewhere nakula vyombo na wana, akaniambia yeye anaenda kwenye harusi nikaona fresh nikazima data. Bana...
  2. JamiiForums Tanzania Vitu gani husababisha Wanawake wanune?

    Jamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya, Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854] Picha kutoka maktaba
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fact: Wanawake wanene ndiyo wife materials. Japo siyo sweet on bed

    Kwa kazi zangu za ukungwi nimechunguza na kujiridhisha kwamba 95% ya wanawake wanene ndiyo wenye tabia na mwenendo mzuri ktk ndoa zao. Hii imewekwa makusudi na mwenyezi Mungu kama njia ya kuziba mapungufu yao. Kwasabb wanawake wanene asilimia kubwa ni:- *wavivu wa kunyanduana, *hawana ashki...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowasemea wanawake huko tik-tok muwe mna-balance story

    Kumekuwa na wimbi la video za tik tok ambazo asilimia kubwa wasimuliaji wake ni wanaume, video hizi ukizisikiliza muaudhui yake zimekuwa zikiwananga mno wanaume km watu ambao hawana huruma na kazi yao ni kucheza na hisia za wanawake na kuwaumiza. Na wanaume wenzetu hawa wameenda mbali hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani. Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba. Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu...
  6. JamiiForums Tanzania Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote...
  7. JamiiForums Tanzania Mradi wa Ubalozi Norway waainisha Mafanikio na changamoto wanazokumbana nazo wanawake kushika nafasi za Uongozi Zanzibar

    JUMLA ya wananchi 3,222 kisiwani Pemba wakiwemo wanawake 1,971 na Wanaume 1,251 wamefikiwa kupitia mikutano mbali mbali inayofanywa na wahamasishaji jamii ambayo inalenga kuhamasisha jamii kuacha dhana potofu na kuunga mkono jitihada za wanawake ili kupata haki ya kushiriki katika demokrasia na...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu za wanaume kupenda wanawake wenye makalio makubwa

    Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi wanavyovutia, kuna sababu pia kwa nini wavulana wanapenda wasichana wakubwa. Wanawake wenye matako makubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

    Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi! Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
  10. JamiiForums Tanzania Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

    Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka. Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni...
  11. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Wakuu, Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili. Nashauri wanaume mnaojielewa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wana siri nyingi sana

    Alhamdulillaah ALLAAH ALIPOTUAMBIA "... هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمۡ وَأَنتُمۡ لِبَاسٌ لَّهُنَّۗ... " "Wake zenu ni vazi lenu na ninyi ni vazi leo" Katika elimu ya TAFSIRI YA QURAN... Yanapotajwa mambo mawili yenye kufanana kwa pamoja... Lile lilitojwa mwanzo zaidi linakuwa lina NGUVU ZAIDI(lina ubora...
  13. JamiiForums Tanzania Nasisitiza hili kwa wanawake wenzangu, fungueni hayo masikio mpate kusikia

    Nasisitiza hili kwa wanawake wenzangu fungueni hayo masikio mpate kusikia Kabla hujaolewa na kuingia kwenye ndoa, hakikisha akili, mienendo, moyo na nafsi yako vimekomaa kabisa, umekuwa mwanamke na siyo binti. Hapo umeacha kujijali mwenyewe, umejua tofauti ya mamlaka ya mume na baba yako...
  14. JamiiForums Tanzania Jitihada Kubwa Bado Inahitajika Kuziba Pengo la Kijinsia katika Ajira

    Licha ya kuongezeka kwa mijadala inayohusu ukosefu wa usawa ambao wanawake wanakumbana nao katika maeneo ya kazi, bado kuna jitihada kubwa inayohitajika ili kuziba pengo la kijinsia katika ajira. Ikilinganishwa na wanaume, wanawake wana uwezekano mdogo wa kuajiriwa katika kazi zenye malipo ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa ni dhambi Mfalme Suleiman kuoa Wanawake wengi wakiwamo Masuria 300?

    Kwa mujibu wa Biblia Mfalme Suleiman alipenda sana Wanawake 1 Wafalme 1-25 "Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo" Naomba mtujuze je aliyofanya Suleiman ni dhambi pia according to vitabu vingine ukiachana na Biblia? Namaanisha Biblia...
  16. JamiiForums Tanzania Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

    Mwanamke 1. Mzuri wa Sura 2. Mzuri wa Umbo 3. MWENYE AKILI? Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto. Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu? Miaka...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

    Jamani baadhi ya wanawake tena sio baadhi asilimia kubwa muoshe, mfue au muwe mnaanika mawigi yenu. Kuna dada mbele yangu hpa ATM foleni wigi lake linatema balaa! Yaani nahisi halijafuliwa mwezi mzima. Mpaka yale ma nzi makubwa yameshaanza kuzungukia hapa. Khaa! This is too much now!
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake hasa wa kikristo ongezeni ubunifu kwenye tendo

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Licha ya hawa viumbe kupenda kupigwa pipe za maana, ila siku hizi wamekuwa hawana ubunifu kabisa Nyie wanawake mnatusakama sana kuwa sisi hatuwaridhishi, tutawaridhisha vipi wakati tukiwa kwenye tendo hamna ubunifu? Viuno hakuna mkilala kifo cha mende...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je hawa wanawake wangetembea nusu uchi?

    Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
  20. JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wanawake...

    Ama kweli maisha yanaenda kasi sana! Hivi mnakumbuka kuna kipindi walikuwepo wanawake waliokuwa wanagegedwa mpaka wanashindwa kutembea hadi wiki nzima? wako wapi hao wanawake? Hicho kizazi kiliishia wapi? Hao wanawake hata walipokuwa wanaolewa walikuwa wanalia sana😅😅😅 Siku hizi hatuwaoni..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…