wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. appoh

    JamiiForums Tanzania Wanawake watakiwa kujiunga na kundi la tff

    Kuna video inasambaa mtandaon ikimuonesha kamanda wa mkuu wa kike wa tff ikiwataka wanawake kujiunga kwa wingi katika kund hilo ili kupigana kwa kile wanachokidai kulipigania taifa kwa kutumia silaha Nawaza tu kund hili likishirikiana na alshabab au isis tu itakuaje??
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
  3. Zurie

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

    Habari, Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi. How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia? I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa...
  4. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Upwiru umekuwa janga kubwa kwa wanawake

    Kumekuwa na janga kubwa ambalo linahitaji uwajibikaji wa wanaume kuwashughulikia akina mama na akina dada ambao 100% wote wanasumbuliwa na Upwiru... Mfano mdogo, angalia jinsi wanawake walivyo wepesi kufanya mapenzi na wanakung'ang'ania hata kama hauna pesa ya kumpa. Angalia jinsi wanaume...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mashiko wanawake wa kiislamu Waafrica kuvaa hijabu, niqab au burqa kama stara?

    Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za binadamu. Kwa Waafrika weusi kiasilia wanawake wengi wana miili mikubwa sana(mawowo) na wanaume...
  6. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi mnakera, fanyeni mazoezi

    Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu. Hakuna mwanaume anaependa mkewe awe na kitambi utazani ujauzito kumbe kitambi , kama ndo hivi vitambi vyenu wacha tuchepuke tu. Shape namba 9 aweee mtabaki kuwa single maza tu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Devotha Mburarugaba: Wanawake wakienda kuomba mkopo wanaaambiwa intaneti ipo chini

    Mbunge viti Maalum wa Kagera Devotha Daniel Mburarugaba kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Februari 5, 2026 amehoji Serikali imeweka mikakati gani kuhahakikisha maafisa wanapata vitendea kazi kwani wanawake wakienda kuomba mikopo wanaambiwa intaneti ipo chinihawawezi kupata huduma...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Mume/Mke Uonekana Pale atakapojiondoa Maishani Mwako Wewe Unaemzalau

    Mpendwa Umuhimu wa Mume/Mke Uonekana Pale atakapojiondoa Maishani Mwako Wewe Unaemzalau !Hila kumbuka Leo unae wewe Lakini Yupo Mtu atampa heshima kesho,Nakuomba Mthamini Sana Uliekua nae Kwa kuwa wewe Ukimuona wa Nini hukamwacha Wenzio wa karibu Yako watamchukua na kumng'arisha na kumfaya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Mbezi, Dar es Salaam: Hatuna maji, Wanawake na Watoto tunateseka

    https://www.youtube.com/watch?v=3QM423d5K-8 Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia ukosefu wa maji katika mitaa yao, hali wanayosema imekuwa changamoto kubwa kwa wananchi, hususan Wanawake na Watoto. Wananchi hao wametoa wito kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimehesabu mpaka sasa zaidi ya wanawake 150. Sijui hata nisemeje

    Sijisifii... Nasikitika tu kuwa nimekuwa na tabia mbaya sana. Nimetembea na zaidi ya wanawake 150. Hao ni ambao nimewakumbuka. Nimeona maumbile ya aina tofaut tofaut. Kuna ambao ni flat, kuna yalitotutumka, kuna yenye lips nene, kuna yenye mishavu dodo, kuna yaliyonyambuka nyambuka, kuna kavu...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Aina 3 za wanawake kwenye ndoa wakati wa mapenzi..[unaejipanga usiseme sijakwambia].ukioa ukubaliane na haya

    ✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano) KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA WAKO YUPO KUNDI GANI 1️⃣AINA YA KWANZA ya Mwanamke ni Yule ambaye yeye ana hamu Muda wote ( Yaani...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

    Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukimya wa Feminists (wafeminia) juu ya ukatili wa Samia unafikirisha sana

    NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu nchini afghanistan atangaza rasmi marufuku ya utoaji wa elimu kwa wanawake

  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa Dar sio wazuri

    Ukitaka warembo nenda kinijini huko, ndani ndani kabisa huko ndio wapo wanawake kweli sio wa hapa dar
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tongoza wanawake mtaani

    Achana na wa mtandaoni, simu za sasa zna camera za kisas zinamscrab mtu anakua pisikali Tafuta wa mtaani ni salama kwa afya yako ya mwil na akiliiiii
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wanawake ni warahisi ukiunganishishiwa na mwanamke mwenzao

    Yaani kuna demu najuana naye Sasa nimetaka namba ya rafiki yake aisee dakika siguri tu nimeunganishiwa na mpaka Sasa mtoto anaelekea kibra sikujia kama Kuna kitonga namna hii
  19. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Ofisi moja kuwa na wanawake waliobarikiwa tume ya maadili iko wapi?

    Mdada wa usafi sio haba Secretary balaa tupu Cashier homa ya jiji Mhasibu another trouble Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi wamekuja na suala la "girlfriend allowance". Wanaume, hii imekaaje?

    Habarini, Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
Back
Top Bottom