wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vipini puani

    Rejea somo tajwa hapo juu, utafiti wangu niliyofanya Kwa kutumia sampuli 20 (10 zina vipini na 10 hazina) umebaini kuwa Wanawake wenye vipini wanatiika (kuwa mwelewa) kirahisi zaidi kuliko wasio na vipini, sijajua sababu ni nini. Matokeo ya utafiti: Kati ya sampuli 10 zisizo na vipini, sampuli...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

    Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!. Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea. Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia. Baaaasi bwanaa, huo utelezi bidada anaweza kuuweka kwenye kikopo ivi akaja nao kuonana Nawewe au ...
  3. JamiiForums Tanzania Kasumba potofu walizopewa Watoto kuhusu "wanaume watakaoolewa nao; na Wanawake watakaowaoa"

    KASUMBA POTOFU WALIZOPEWA WATOTO KUHUSU "WANAUME WATAKAOOLEWA NAO; NA WANAWAKE WATAKAOWAOA" Anaandika Robert Heriel. Baba "Wanaume ni wabaya" "Wanaume ni wakatili, wakorofi na wanatabia za kupiga." "Wanaume ni waongo, watakurubuni, watakuchezea alafu watakudampo" Hizo ni baadhi ya kauli ambazo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

    Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
  5. JamiiForums Tanzania Makampuni yaliyo na mikataba na Haji Manara yaifute kwa udhalilishaji wa wanawake

    Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana. Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe. Natoa rai mikataba yake itenguliwe
  6. JamiiForums Tanzania Magaidi wa kidini wakataza wanawake wasitibiwe na wanaume, ila pia wanawake wasielimishwe kuwa madaktari

    Mkihabarishwa kuhusu huu uzombi mnang'aka udini, yaani Taliban wametoa katazo kwa wanawake wasitibiwe na wanaume, hapo hapo wamezuia wanawake wasipate elimu, sasa unashindwa kuelewa nani atatibu hao wanawake maana hakutakua na madaktari wa kike. Yaani imani za kidini zinafanya mwanamke anaonwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa sasa wanawake wanajiamini Sana kuliko Wanaume; Vijana wengi wamekuwa mazuzu

    KWA SASA WANAWAKE WENGI WANAJIAAMINI SANA KULIKO WANAUME; VIJANA WENGI WAMEKUWA MAZUZU! Anaandika, Robert Heriel Ili mwanaume asijiamini itampasa awe na mapungufu Kati ya haya; i) Upungufu wa Akili/ uwezo mdogo wa kufikiri. Uwezo mdogo wa kufikiri ni moja ya sababu zinazopelekea kijana...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

    Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu... "Ama kweli nimeamini ndoa ndoano, mungu nisaidie mimi mja wako" "Hivi jamani hapa kweli nina mume?anarudi saa 4 usiku eti alikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nigeria: Kijana wa miaka 17 ashikiliwa kwa kuwapa mimba wanawake 10

    Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na Chigozie Ogbonna (29) kwa madai ya kuwapa ujauzito wanawake 10 kwa ajili ya biashara haramu ya kuuza watoto. Waliokamatwa wengine ni washukiwa wawili wa kike, Favour...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojifanya wagumu kupatikana kimapenzi, wengi wao hawana mahusiano yenye afya

    Kuna aina 3 unaweza kuwa-group wanawake, aina ya 3 ni wale ambao mtaani wana sifa ya kugawa papuchi karibia kwa kila mwanaume, aina ya 2 majority ya wanawake wako hapa utakuta Akiongozwa anamkubali huyu, anaMkataa yule. Aina ya kwanza ndo wanawake ambao mtaani, wana sifa ya kukataa kila...
  11. JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Yaani pisi hata iwe kali vipi nikiigonga mara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute. Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje? Nadhani hili ni pepo mnaosali kwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume

    Tafiti zinaonesha wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume. Tafiti hizi zilifanywa na chuo kikuu cha Duke kilichopo nchini marekani. Sababu kubwa zilizotawala katika tafiti hizi ni pamoja na kua Wanawake hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa. Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
  14. JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na mikucha kama hiyo eti atangaze ndoa hiyo ni big hapana. utapigwa pipe miaka ndenda rudi na hauta sikia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

    Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu. Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wote pitieni hapa kujifunza kitu

    Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa. Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa kwa sababu na usijisahau kabisa kwenye hii dunia. Unajisahau kwa kuwa unapuuzia vitu vya msingi...
  17. JamiiForums Tanzania Dira2023 Kwa Mabinti na Wanawake; Jipe thamani: THAMANI yako haitokani na Mwanaume

    DIRA2023 KWA MABINTI NA WANAWAKE; JIPE THAMANI; THAMANI YAKO HAITOKANI NA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Kuhani! Na huu ndio ujumbe wenu, enyi mabinti na Wanawake. Hii iwe ndio dira yenu. Jipe THAMANI! Na katika thamani hiyo elewa kuwa sio lazima itokane na Sisi wanaume. Ninyi ni Wake...
  18. JamiiForums Tanzania Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE! Anaandika Robert Heriel Kuhani. Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40. Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe. Ninapenda kuwausia Vijana...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

    Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari. Mimi na kinyaa changu naahirisha...
  20. JamiiForums Tanzania UN yaingilia kati marufuku ya wanawake kusoma Afghanistan.

    Baraza la usalama la Umoja wa mataifa Jumanne limeomba wanawake na wasichana nchini Afghanistan washirikishwe kikamilifu na kwa usawa, likilaani marufuku kwa wanawake kusoma kwenye vyuo vikuu au kufanya kazi kwenye mashirika ya misaada ya kibinadamu, iliyowekwa na utawala unaoongozwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…