Mambo vipi wadau.
Nimeulizwa hili swali DM na pisi zaidi ya 4 wiki hii. Ngoja nilijibu kwa kwa ujumla.
Wanaume ambao tunaruka ruka pasi na kutulia na pisi mmoja huwa tuna lengo la kuhakikisha tunapitia kila aina ya muonekano, ikiwemo wanene, wembamba, warefu, wafupi, weusi na weupe. Lengo ni...