wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

    Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni hapa, Unapotafuta mke, Ni sahihi kumueleza binti unataka kumuoa unapomtongoza kwa Mara ya kwanza?

    Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa? Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
  4. JamiiForums Tanzania India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

    Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui? Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni Kuogopa kuchachia home, kuolewa kama mashost zake walio ndoani, kufuata Mali za mwanaume na wengine Ili...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani. 2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
  7. JamiiForums Tanzania Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto. Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya...
  8. JamiiForums Tanzania Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

    Kwema Wakuu?! Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
  9. JamiiForums Tanzania Jumapili ya leo tuwaombee wanaume wanaoona haya ni ndoto kwao

    Jamani sio matangazo, ila tu natamani na wanaume wengine wapate meseji kama hizi ili kuimarisha afya zao za akili. Maana Kuna wanaume wenzetu wamepoteza molari na kufanya kila kitu kwao ionekane ndoto katika mapenzi. Ndio imepelekea wanaume hawa kuona kila uzi kwenye uzi wetu wa Kula tunda...
  10. JamiiForums Tanzania Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  11. JamiiForums Tanzania Swali kwenu mnaotetea wanawake kuchepuka kwa kisingizio Cha wanaume kutotulia

    Habari zenu Kumekuwa na mijadala mingi kwenye jamii kuhusu 50 kwa50 kwenye swala la kuchepuka Kati ya mume na mke. Wengi wanaotetea hoja hii Wanadai ikiwa mwanaume hajatulia kwenye ndoa haina faida kwa mwanamke kutulia, eti bora nayeye akajipatie lijamaa nje. Binafsi naamini kucheat ukiwa na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

    Bila kupoteza Muda nijielekeze moja kwa Moja kwenye Mada. Wanawake wamekuwa wakipambania sana usawa 50/50 na serikali imekuwa ikitumia mbinu Nyingi sana ili kufanikisha jambo hilo ambalo ni kinyume kabisa na tamaduni zetu, hata kwenye vitabu vyetu vya dini ambavyo vinataka mwanamke awe msaidizi...
  13. JamiiForums Tanzania Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

    Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo. Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani

    Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo. Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

    Watu makini, karibuni sana kwa mjadala.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Polisi yawatia mbaroni watu 40 zaidi baada ya ubakaji wa wanawake wanane

    Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha. Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wanaume kupozea machungu yote tunayoyapata kutoka kwa viumbe wasio na shukurani

    Kama jinsi ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza. We sema tu, mwaga yoote, zungumza ili mradi machungu yaishe, sema, paza sauti yako, payuka uwezavyo, lia sana na sana, itapendeza kama utakuwa ndani ya uzi huu huku ukiwa chumbani kwako, umejifungia kabisa, huku unatiririsha chozi taratibu...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Wanaume simameni kwenye nafasi zenu kuokoa hiki kizazi toka kwenye laana ya UZINZI, ULAWITI, USAGAJI na UFIRAJI; mambo yanayoendelea mtaani yanatisha

    Habari ya asubuhi wanajamii Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo. Leo...
  19. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma. Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Zaidi ya Wanaume 80 Mahakamani kwa Kubaka kundi la Wanawake Wakiwa Local

    Genge la Wanaume 82 wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini leo wakihusishwa na makosa mbalimbali yakiwemo kuwabaka kundi la Wanawake waliokuwa wanarekodi video ya Muziki katika moja ya migodi nchini humo siku ya Alhamisi Shuhuda wa tukio hilo, lilitotokea huko Krugersdorp...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…