wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Chris Mauki elimu yake ya saikolojia ni against wanaume tu?

    Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano. Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote anazozitoa anazitoa kwa muamvuli wa taaluma ya psychology lakini kiuhalisia MENGI NI MAONI YAKE...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke akigundua kakaa vibaya kwenye public na watu wameona hukosa tena confidence ila kwa wanaume wao hawajali kitu?

    Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa na Mwenzake akakaa vizuri na kutunyima Uhondo wazee wa Chabo na ghafla Confidence yake ikashuka na...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

    Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

    Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani. Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

    Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri. Lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu. Kwa nini wanaume huchepuka?
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

    Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa asilimia 99%. Soma pia: Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara...
  9. JamiiForums Tanzania Single mothers njooni tuzungumze kwa mapana na ufupi

    Habarini wanajamvi. Imeshakuwa ni wimbo wa taifa kuwatuhumu single mothers kwa uzembe na kuwa number one suspects katika kushiriki kuibomoa taasisi nyeti sana ya familia. Upo ukweli katika hili wapo wengi wao sana walijiingiza katika mahusiano kwa tamaa aidha kwa kujihusisha na wanaume wenye...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Majina wanaopewa wanaume wasiofanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

    Wadau hamjamboni nyote? Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini Isemboo Kichaga Warisyaa Kikurya Isekaa Kimeru Laiyok Kimasai Akakata Kinyakyusa Murajoni Kikaguru Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje Niwatakie siku...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wa shoka hawawezi kufanya jambo hili.

    Na Fred Putin. Jambo moja ambalo mwanamume anayejiamini hawezi kamwe kufanya hadi kifo kitakapomchukua : "KUFANYA PUSSY KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE BINAFSI. " Wanaume wanaojiamini hawaabudu nyash, hawaabudu matiti. Wanachoabudu ni kusudi, malengo, furaha, amani, mafanikio na Mungu wao...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

    Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro. Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana. Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Ukiona dalili hizi jua hauko peke yako

    Ukiona kwenye mahusiano yako hata ukikaa siku zaidi ya tatu au wiki bila ku-do na mkakutana na bado ukatumia nguvu nyingi kama saliva au vilainishi vingine ili mambo yawe sawa basi jua hauko peke yako either sepa au vumilia tuu ili ukifa ufike ukiwa umechoka sana. Kifiziolojia wanawake wote...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane juu ya mustakabali wetu

    Mwanaume aliyeoa ni sawa na Greda linalojenga barabara lakini Barabara ikikamilika linaletwa Gari kubwa la kubeba Greda lisipite ktk barabara kwa sababu ya kusema litaharibu barabara. Mfano huo ni sawa na wanaume waliooa ambao hujinyima Nguo nzuri, Simu nzuri, Gari zuri, hujinyima Chakula cha...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

    Habarini, Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

    Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise... Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali... Zaidi sana, tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka...
  17. JamiiForums Tanzania Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

    DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF "Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
  18. JamiiForums Tanzania Hili neno "Umehonga" linawapa msongo wa mawazo wanaume. Tafadhali tusilitumie kwa wanaume wetu

    Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo basi neno litakalotamkwa na mke wake au mpenzi wake ni kuwa amehonga pesa wanawake na kumnyima mkeo au...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tupunguze aibu ndogo ndogo

    Kwenye maisha huwezi kufanya kila kitu, na huwezi kujua kila kitu , japo kuna vitu vidogo vidogo si mbaya kuvijua na kama huvijui jaribu kukaa kimya ili kuepuka na aibu. Mimi napenda sana michezo kama mpira wa miguu na nimeucheza miaka hiyo.lakini pia ni mfuatiliaji mzuri wa mipira na klabu za...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wa Afrika/blacks wanavutiwa zaidi na wanawake wenye makalio makubwa sana?

    Kwa nini wanaume Waafrika/blacks wanapenda/kuvutiwa au kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa sana tofauti na wanaume wa kizungu na sehemu kubwa ya Asia kama China, Japan, Korea n.k ambao huvutiwa zaidi na wanawake wenye makalio madogo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…