wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume nendeni katika Mtandao wa Anti Ezekiel wa Instagram muwasikie Wanawake walivyosema kuhusu Sisi kutokuwa na Pesa

    Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka. Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti: Mabadiliko ya tabianchi yanawasukuma katika Umasikini Wanawake zaidi kuliko Wanaume

    Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti nyingine za kijamii na kiuchumi kunazidisha udhaifu wa athari za mabadiliko ya tabianchi. Ushahidi...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume chukueni madini hapa namna ya kuishi na hawa wanawake ili usife mapema

    Ndugu zangu habari za wakati huu Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe 1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na mwanamke akifanya kitu cha kukukomoa usionyeshe kama umeumia mpuuze 2: Usiweke demokrasia na mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  6. JamiiForums Tanzania Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

    Mabibi na mabwana Habari za uzima wenu!. Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu) Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo wakiwa wake zao! Hapa nitajikita na mifano 2 ama mitatu kama nitaweza kuandika hapahapa maana sipendi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni vipi visababishi vya wanaume kuota manyonyo?

    Manyonyo kwa wanaume hasa watu wazima wengi na baadhi ya vijana huchangiwa na nini? Kwa namna gani mwanaume unaweza kuondokana na manyonyo?
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kufanya mapenzi na wanawake wengi tofauti wakati wanawake ni kinyume chake?

    Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache? Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara...
  9. JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

    Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko Tumechelewa...
  10. JamiiForums Tanzania Matangazo ya kuongeza za dawa za kuongeza nguvu za kiume inatudhalilisha wanaume

    Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

    Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kudeka ni usumbufu kwenu wanaume?

    Naomba nijue kama kudeka ni usumbufu kwenu wanaume
  13. JamiiForums Tanzania WANAUME TUNAFELI HAPA

    Njooni mbishe kama ni uongo.Mwanaume ni kiumbe wa ajabu sana.Anapoona jinsia ya kike iwe ni picha au mwanamke halisi ambaye ni mrembo ataishia kumsifia na kumtamani bila hata kijiuliza background ya huyo mwanamke. Mfano mwanaume kaona mdada mzuri barabarani awe mwanachuo...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiafrika ni dhaifu sana mbele ya wanawake.

    Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake. Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima. Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu. Pia kupitia udhaifu huu umesababisha...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Usawa wa Viongozi wanawake na wanaume bado ni kitendawili

    NA AMRAT KOMBO, ZANZIBAR Usawa wenye hadhi sawa unamaanisha kwamba watu wote katika jamii wanapaswa kuwa na fursa sawa za kushiriki katika ngazi ya maamuzi na uongozi. Hali hii inategemea muktadha wa kisiasa,kiuchumi na kijamii . Ingawa kuna ongezeko la uwakilishi wa wanawake katika Bunge...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanaume wanaotoka hii mikoa ni wambea sana?

    Wakuu Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini. 1.Dar es salaam 2.Pwani 3.Morogoro 4.Iringa 5.Mbeya 6.Mtwara 7.Lindi 8.Tanga 9.Singida 10.Tabora
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wanawake tu: Ni dosari zipi za wanaume zinazowakera?

    Mnapokuwa kitandani, ni dosari zipi huwa zinawakera kiasi ambacho zinawafanya ama mvunje ndoa au kuchepuka?
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanawake hawana faida yeyote kwa wanaume uzeeni

    Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe mwanaume endelea kukataa kuoa FAINALI NI UZEENI pia wanawadanganya vijana wa kiume kuwa mwanaume akizeeka...
  19. JamiiForums Tanzania Bila uwepo wa Dini nathibitisha kwamba Wanaume wengi wangekufa kama kuku wenye kideri

    Bila Salamu. Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao. Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume namaanisha wengi na ninaposema wengi naomba nieleweke namaanisha wengi. Yaani kwenye Wanawake 10...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi huondoka na Watoto wakidhani Wanaume watawafuata. Sijui nani aliwadanganya kuwa Mwanaume mtego wake ni Mtoto.

    WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo. Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…