wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

    Baada ya zaidi ya miaka kama 14 nikitoa huduma inayohusiana sana na wanawake — kuwahudumia katika mazingira mbalimbali ya kijamii na kiafya — nimekuja kugundua jambo moja ambalo haliniingii vizuri akilini, lakini kila siku ushahidi wake unazidi kujionyesha: WANAWAKE WENGI HAWAPENDI MAHUSIANO...
  2. JamiiForums Tanzania Clara Luvanga: Wanaume wanaogopa kunitongoza

    Staa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano. Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza. Una maoni gani?
  3. JamiiForums Tanzania Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

    Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa. Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge apendekeza Wanaume wanaolawiti na Kubaka Wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani

    Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala apendekeza Wanaume wanaolawiti na kubaka wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani
  5. JamiiForums Tanzania Ni motive ipi inayofanya wanawake wa-cheat? Upande wa wanaume ni kwa sababu sex drive yake haiwezi vumilia kudatishwa na appeal ya mwanamke mwingine

  6. JamiiForums Tanzania Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

    Tahadhari: Si hamasishi watu kuchepuka. Wakuu, ili kuwa na ndoa imara na itakayodumu! Jitengenezee backup yako ya kupiga mambo pale ambapo nyumbani kwako mambo hayaendi sawa. Hii mbinu inasaidia sana. Binafsi nitafanya hivyo ili kunusuru ndoa yangu na kuimarisha familia. Few days ago...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume waiopenda kuoa tu.

    Kwa wale wasiopenda kuoa tukutane hapa.
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye sura "personal" ndio wenye wivu uliopitiliza

    Huwa wanapata wanawake kwa kutumia external signifiers kama pesa, so wanajua kabisa wanapendewa kwa something unnatural. So pesa wanatafuta kwa shida, na mwanamke wanampata kutumia hiyo pesa. Matokeo yake ni kua na wivu wa uliopitiliza, muda wote anahisi mke ana cheat. Tofauti na sisi wanaume...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

    Wanawake wenzangu mnachoshindwa kubadilisha style vitandani ni nini? Mbona mimi na Mshangazi dot com huwa tunawabadilishia style vitandani waume zetu secretarybird, uzuri_hatujuani pamoja na Mbaga Jr? Ngoja niwape siri enyi wanawake wenzangu. Mwanaume anachoka na style moja. Huwa tu hawana...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: unasumbuliwa na matatizo ya uzazi? Sperm counts, pre ejaculation, infertility hii ni kwaajili yako

    Habari za wakati huu, kama headline inavyoeleza. Naenda kwenye mada 1/1. Wanaume Wanaweza Kufanya Nini ili kukabiliana na changamoto hizi? Wanaume wanaweza kufanya mabadiliko kadhaa katika maisha yao ya kila siku ili kusaidia uzazi wao kwa kuongeza idadi yao ya manii na motility, kujipa nafasi...
  11. JamiiForums Tanzania Kama nyie Simba ni Wanaume kweli basi fanyeni kama Tarehe 08 March 2025

    Nawapanga kabisa Makolo, kama kweli nyie ni Wanaume na mnajikubali basi mgomee na msuse kupeleka timu uwanjani huko Amani Abed karume (Stadium) Zanzibar kama mlivyofanya kwenye mechi ya Derby 08 March 2025. Maana huku mmezoea kubebwa na mjomba wenu Karia kwa maamuzi yenu ya hovyohovyo na yasiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

    Wakuu nadhani mko salama,. Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,. Ni hivi,. Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa,. Yaani process zote za uchumba na mahari zishafanyika na kamati zishaundwa watu tunaendelea tu...
  13. JamiiForums Tanzania HAYA WIMBO WA WANAUME WATETEA HAKI ZA BINADAMU, THE LAST MAN TZ ASHIKA KIJITI CHA ROMA MKATO

    YouTube https://youtu.be/lr1WEEFWsR0?si=j7pi7_Rb-5u9jwcI Full video
  14. R

    JamiiForums Tanzania wanaume 100 vs Sokwe 1 haipo fair, Tajiri alie serious akiweka dau nono nakusanya vijana 40 tu, Hatutatoka wote salama ila sokwe atajuta kuzaliwa

    Labda itokee kuwe na mwamuzi lakini vinginevyo hataona mwezi wala jua tena. Kupigana kunahitaji akili sio nguvu tu, Sokwe hana akili kwenye mashambulizi anategemea nguvu pekee. Ni kweli sokwe lina nguvu sana lakini huchoka haraka sana kwa mashambulizi yanayotumia nguvu kubwa bila mpangilio /...
  15. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

    Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn trend ya vifo ni vingi kwa wanaume kuliko wanawake?

    Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana. Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue...
  17. JamiiForums Tanzania Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume mmepitwa mapenzi na mahaba na Jogoo

    Najua haiwahusu ila nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji sasa basi nina majike wanne na jogoo moja, nimeshtushwa sana jinsi jogoo anavyowajali wake zake, Kwanza, jogoo hali mpaka majike wale, anawaitia chakula yeye anasimama pembeni, Pili, anawapeleka sehemu ya kutagia yaani anatengeneza sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

    Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili, Hawajasombwa kwa magari au maroli...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: wanaume wenzangu mnafanyaje fanyaje mpaka mnafika kilele haraka wakati Wa tendo?!!

    Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao, Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…