wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar bana!

    Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto. Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hili ni bora Wanawake wenyewe mjadiliane kisha mtupe majibu ya Kueleweka sisi Wanaume ni kwanini kwa sasa huwa mnatufanyia sana Faraghani?

    Na kibaya zaidi sasa 75% ya Wanawake wanaopenda hii Dhambi huwezi amini ni Wasomi wazuri tu na Walokole hasa wale ambao Wanaabudu kwa Matapeli Wawili maarufu wa Kawe na Kimara Temboni. Sasa kazi yangu ni kusoma tu Comments zenu. Kudadadeki....!!!!!!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  5. JamiiForums Tanzania Gorrila, eti wanaume wangapi wanaweza mshinda na kumpeleka chini?

    eti wanaume wangapi wenye nguvu wanaweza shindana na gorrila na kumshinda kwa kumpeleka chini? nimesikia mpaka wanaume 100 eti ndiyo wanaweza mpeleka gorrila chini, nini maoni yako ? … kama zikipigwa wanaume vs gorilla
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF bana, eti mtu anatumia dakika 15 hadi 20 kuoga, 🤣🤣

    Mwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume njooni mnijibu swali langu

    Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo?? Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume; Hii imekaaje??

    Hivi wanaume wenye uzoefu Hii imekaaje Wakati mnapomaliza Mechi yaani Sex huwa hamtaki kuguswa hizo uume zenu au inakuaje Kuna huyu Kijana Wakati wa maandalizi huwa ananilazimisha kabisa nishike dudu yake tena ananivuta mkono niiguse Sasa kinachonishangaza mkishamaliza pale labdaa mmepumzika...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume, Usipoteze muda kurekebisha sahani ambayo hujaivunja wewe..

    Wanaume, Usipoteze muda kurekebisha sahani ambayo hujaivunja wewe..
  12. JamiiForums Tanzania MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAPENDI KUYAONA

    MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI KUYAONA. 1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞. 2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 22 iliopita JD alitoa wimbo wa wanaume kama mabinti, wimbo ulikuwa controversial kidogo, lakini kumbe alicheza na muda na leo umekuwa relevant.

    ⚠️Vijana wa kiume wanatengeneza group chats kuwasema na kusengenya wanaume wenzao ⚠️Vijana wa kiume wana ng'anga'nia kujumuika na wanawake katika party zilizo undwa kwa ajili ya wanawake pekee. ⚠️Zamani ilikuwa unasikia sikia tu fununu kwamba flani ni shoga ila leo unawahesabu kwa maana...
  14. JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuhusu Ili?

    Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume zijue siri ambazo hupaswi kumwambia mwanamke wako kamwe

    Huu ndio ukweli kila mwanaume anapaswa kuujua: 1. Hofu zako kuu. Leo anaweza kukufariji… kesho akazitumia kama silaha dhidi yako. 2. Kiasi halisi cha salio lako la benki. Siri = nguvu. Uwazi kamili = udhaifu. 3. Idadi ya wapenzi uliowahi kuwa nao. Haitawahi kusaidia. Itabaki kukutesa. 4...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaume sasa

    Mwaka 2012 Janet Jackson msanii wa muziki, mwigizaji, na dada wa mwisho katika familia maarufu ya "The Jacksons" alifunga ndoa na Wissam Al Mana, mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar, aliyezaliwa Doha na kulelewa London. Al Mana ni Mkurugenzi wa kampuni ya kifamilia ya Al Mana Group...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

    Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia? Ama wao ni regular tu? Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa...
  19. JamiiForums Tanzania Humu kuna wanaume kama hawa

    Je humu kuna,wanaume kama hawa? Waliowakaaa
  20. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo saba (7) ambayo wanaume wengi hawayapendi

    1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞. 2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…