wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mashabiki wa Simba waandamana kuelekea TFF, wanataka mabadiliko

    Mashabiki wa Klabu ya Simba leo Novemba 17 wameandamana kuelekea Makao Makuu ya TFF wakiwa na mabango wakishinikiza baadhi ya mambo yafanyiwe marekebisho ndani ya klabu yao ambapo wengi wanaamini yapo mambo mengi ambayo hayapo sawa. Mashabiki hao wamebeba mabango mengi moja ya mabango ambayo ni...
  2. PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Inaonekana kuna watu wanataka sana maridhiano... wangependa sana wapige picha ya kuonesha mambo yako sawa.. hakuna watu wanaolalamika au kunung'unika... Lakini hadi Sasa sijasikia au kuelewa hasa wanaotaka maridhiano wanasukumwa na kitu na matatizo gani wanayoyaona... uchaguzi ulisha"fanyika"...
  3. Mwananchi mkoani Geita akamatwa na Polisi akidai huduma ya maji

    Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza. Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
  4. A

    KERO Chumwi, Musoma Vijijini wanapimaji ardhi wanataka Sh 50k taslimu, hakuna namba ya malipo?

    Kijiji cha Chumwi, Wilaya ya Musoma Vijijin mkoani Mara kuna zoezi la upimaji ardhi linaendelea, sasa hela ya upimaji inahitajika na wanapokea mkononi, swali langu zoezi lolote la Kiserikali si huwa kuna Namba ya Malipo zinatolewa au upande wa ardhi wana utaratibu wao? Wamesema ni surveyors...
  5. Wape Watu Kile Wanataka Jikusanyie Faida.

    Leo hii nimekaa najiwazia nafanyeje kuweka mfumo bora wa hela, Na nimejiuliza mambo mengi ya kufanya, Kama ushauri wanaosema "pata ujuzi fulani" Na hata kukopa pesa, Lakini baadae nikajiuliza "Watu wanataka nini?" ilikuwa ni kama swali la utani lakini baadae nimeandika list ya vitu...
  6. S

    Hivi kwanini wanataka sana maridhiano na CHADEMA wakati majeshi na mahakama ni vyombo ambayo ni mali yao?

    Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
  7. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  8. Q

    Kuna watanzania walikuwa wanatamani Lissu anyongwe

    Wakiongozwa na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa na Yericko Nyerere sijui wana hali gani. Mapambano bado yanaendelea chuma bado kipo sana soon kitakuwa barabarani.
  9. Kumwita mwenyekiti wa Chaso na kumuacha Kiliba ni ukorofi. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo vyombo vya dola wanataka watu wote wawe upande mmoja.

    Hamjambo! Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo. Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
  10. Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
  11. Hawa trafiki polisi wanaposimamisha daladala wanataka nini

    Nimepanda daladala uelekeo flani yaani daladala imepigwa mkono mara 7 sijii nini kinaendelea
  12. I

    China inaionya Russia kwamba isithubutu kutumia silaha za nyuklia kama wanataka waelewane.

    China inaendelea kumwonya Putin dhidi ya matumizi ya silaha za nyuklia au kutishia kuzitumia. Tangu vita vilipoanza, kwa ujumla China imekuwa upande wa Urusi. Katika masuala mengi. Suala moja ambapo China imeweka mstari usiovukika ni lile la matumizi, au tishio la matumizi, ya silaha za...
  13. K

    Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  14. T

    Tatizo sio kwamba Watanzania wanataka vurugu Watanzania wanataka tu option ya kuchagua

    Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
  15. Xenophobia in Kenya: Baadhi ya Wakenya wameamua kuchukua jukumu la kufukuza raia wa kigeni

    Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
  16. Polisi form four failure wanataka kumuua Daktari Bingwa

    Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU. Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
  17. Asilimia kubwa ya Wake zetu wanataka tuwe kwao vile ambavyo hawataki watoto wao wakiume wawe kwa wake zao- Sodoku Myebusi

    Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
  18. M

    Maridhiano ni dead on arrival, Wameshindwa kuridhiana na Nchimbi ndio wanataka waridhiane na waliowaua?

    CCM ilishakufa, inachofanya ni kuchelewesha msiba
  19. Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

    Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta...
  20. B

    Wasaudia wanataka kuwa na hifadhi ya mafuta hapa Tanzania / wataka kuwekeza kwenye kilimo pia ufugaji Tanzania

    17 August 2026 WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8 Source : Jambo TV HABARI KWA KINA: Kongamano la Biashara kati ya Saudi Arabia na Tanzania August 16, 2026...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…