Mashabiki wa Klabu ya Simba leo Novemba 17 wameandamana kuelekea Makao Makuu ya TFF wakiwa na mabango wakishinikiza baadhi ya mambo yafanyiwe marekebisho ndani ya klabu yao ambapo wengi wanaamini yapo mambo mengi ambayo hayapo sawa.
Mashabiki hao wamebeba mabango mengi moja ya mabango ambayo ni...
Inaonekana kuna watu wanataka sana maridhiano... wangependa sana wapige picha ya kuonesha mambo yako sawa.. hakuna watu wanaolalamika au kunung'unika...
Lakini hadi Sasa sijasikia au kuelewa hasa wanaotaka maridhiano wanasukumwa na kitu na matatizo gani wanayoyaona...
uchaguzi ulisha"fanyika"...
Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.
Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
Kijiji cha Chumwi, Wilaya ya Musoma Vijijin mkoani Mara kuna zoezi la upimaji ardhi linaendelea, sasa hela ya upimaji inahitajika na wanapokea mkononi, swali langu zoezi lolote la Kiserikali si huwa kuna Namba ya Malipo zinatolewa au upande wa ardhi wana utaratibu wao?
Wamesema ni surveyors...
Leo hii nimekaa najiwazia nafanyeje kuweka mfumo bora wa hela,
Na nimejiuliza mambo mengi ya kufanya,
Kama ushauri wanaosema "pata ujuzi fulani"
Na hata kukopa pesa,
Lakini baadae nikajiuliza "Watu wanataka nini?"
ilikuwa ni kama swali la utani lakini baadae nimeandika list ya vitu...
Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane
Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine.
Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
Wakiongozwa na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa na Yericko Nyerere sijui wana hali gani.
Mapambano bado yanaendelea chuma bado kipo sana soon kitakuwa barabarani.
Hamjambo!
Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo.
Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema.
kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
China inaendelea kumwonya Putin dhidi ya matumizi ya silaha za nyuklia au kutishia kuzitumia.
Tangu vita vilipoanza, kwa ujumla China imekuwa upande wa Urusi. Katika masuala mengi. Suala moja ambapo China imeweka mstari usiovukika ni lile la matumizi, au tishio la matumizi, ya silaha za...
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari
Wanasheria na wadau...
asigombee
hatia
hii
hukumu
igp
jwtz
katika
kauli
kiongozi
kusema
lengo
lisu
mkuu
mkuu wa
msamaha
mvua
nafasi
nchi
ndo
rais
upepo
wanataka
wateule
wateule wa rais
wote
Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege.
Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta...
17 August 2026
WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI
https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8
Source : Jambo TV
HABARI KWA KINA:
Kongamano la Biashara kati ya Saudi Arabia na Tanzania
August 16, 2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.