wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Wananchi wasisitizwa Malezi Bora Kupata viongozi wanaochukia rushwa

    Wananchi wa kata ya kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara wamesisitizwa kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto ili kupata jamii yenye hofu ya Mungu na yenye kuchukia uhalifu na vitendo vya Rushwa. Hayo yamebainishwa na Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi wa...
  2. A

    KERO Responded Afya za Wananchi Kata Nyaishozi-Karagwe zipo hatarini, wanatumia maji ya madimbwi

    Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye madimbwi kwa matumizi ya nyumbani, kufuatia kuharibika kwa kisima walichokuwa wakikitumia takribani...
  3. R

    Maandamano yazuka Peru Wananchi kutoamini mchakato wa uchaguzi unaoendelea

    Uchaguzi wa urais nchini Peru uliofanyika Jumapili, 12 Aprili 2026, umechochea maandamano baada ya changamoto kubwa za kiutendaji kusababisha maafisa wa uchaguzi kuchelewesha kuhesabu kura na kuongeza muda wa upigaji kura hadi leo Aprili 13, 2026, hali iliyochochea mashaka makubwa kuhusu...
  4. Baba Levo: Nataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka

    Baba Levo amesema anataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka.
  5. K

    Tutambue umaskini wa wananchi na vijana ni janga

  6. M

    Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  7. Iran imetoa wito raia walale kwenye vituo vya Umeme na Madaraja ili kuvilinda

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo. Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
  8. Waziri Mkuu Mwigulu, malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa Dawa na Takwimu zisizo na ukweli yasipuuzwe

    Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa. Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni mkutano wa kujisafisha na yeye ndio waziri mwenye dhamana, as we speak, hapaswi kuendelea kuwa...
  9. M

    Bila kuondolewa kwa nguvu ya umma, Kiongozi anayedharau wananchi hawezi kutoka madarakani

    Yaani anafanya anavyotaka. Anateua watoto wake. Na ikibidi anakuwa anatembea nao kama alivyokuwa akifanya Idi Amin. Anateua mashoga zake hata kama ni majambazi. Duniani kote kiongozi kama huyu lazima aondolewe kwa nguvu za umma. Mifano mizuri ni ule wa Misri na Tunisia 2010 na 2011...
  10. M

    Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  11. R

    Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  12. DC Sixtus Mapunda: Wananchi wananiambia hawataki kwenda Polisi, bora niwapeleke TAKUKURU kwa kuwa kuna haki

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesisitiza kuendelea kushiriki katika shughuli za kijamii sambamba na jukumu lake la msingi la kupambana na rushwa, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za afya...
  13. S

    Ni kama vile kila kukicha sheria zaidi zinatungwa kuwabana wananchi wa Tanzania, hadi nchi inakera sasa

    Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
  14. D

    Wanaotaka kugombea urais 2030: Wananchi tunataka tuwajue

    Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo. Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
  15. RC Mtanda aomba radhi Wananchi kwa changamoto ya Barabara ya MECCO-KANGAYE, yaanza kuboreshwa

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya Barabara ya Mwanza Mjini hadi Kangaye kwamba ni mbovu na magari mengi hayapiti, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa Watumiaji na kuwaongezea gharama ya matumizi ya nauli, Serikali imetoa ufafanuzi. Alichoandika...
  16. DOKEZO Polisi njooni mtuondolee vibaka huku Misugusugu Kibaha, wananchi wanateseka au mmewashindwa?

    Aisee huku Misugusugu Wilayani Kibaha kuna vibaka ambao wanakaa kwenye eneo la Uwanja wa Mpira, majira ya Usiku wa jana wamempora jamaa na kumchoma kisu. Juzi, pia walimpora jamaa laki 3 na kumpiga, aisee cha ajabu hawa vijana wanalindwa kutokana na uzawa wao, kuna ndugu hawa wawili. Hawa...
  17. G

    KERO Ukimya wa Idara ya Uhamiaji dhidi ya maumivu makali ya Wananchi Wanaosubiri Pasipoti

    Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo (Machi 2026) sijapatiwa huduma hiyo kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa ‘mfumo unaboreshwa.’ Swali ni: Maboresho haya yana mwisho lini, na kwa nini hakuna taarifa rasmi, ya...
  18. F

    Je, ni nani anayewadanganya wananchi?

    Kuna jambo linahitaji kutazamwa kwa jicho la tatu. Mara kwa mara tumekuwa tukisikia baadhi ya viongozi wakisisitiza kuwa Watanzania waliopo nje ya nchi au wanaokosoa mwenendo wa serikali wanatumika na “mabeberu.” Kauli hizi zimekuwa zikitumika kama njia ya kuzima hoja badala ya kujibu hoja...
  19. A

    KERO Eng. Kundo, nusuru maisha ya Wananchi na Watumishi Kata ya BUNAMHALA

    Ni jambo la kusikitisha na linaloumiza moyo kuona hali ya miundombinu ya barabara na daraja katika Kata ya Bunamhala, iliyopo Wilaya ya Bariadi Mjini. Mbunge wetu, Mhe. Kundo Andrea Mathew, tunaomba utupie macho hali hii inayotishia uhai wetu. Kama unavyoona kwenye picha na video, hapa ndipo...
  20. R

    Daraja lakatika Kigamboni wananchi wanahaha

    Wacha tuendelee kufuturisha :BBRUHH: ------- Daraja la Kibaoni Muongozo limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kukata mawasiliano Mamia ya wananchi waliokwama katika eneo hilo, wamelazimika kutumia ngazi huku wengine wakihatarisha maisha yao kwa kuruka kwenye daraja jipya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…