wanachadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Katibu wa BAWACHA Kigoma, Neema Mhanuzi achukuliwa kimabavu

    Kama hatouawa basi atafunguliwa kesi ya Uhaini Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, amekemea vitendo vya ukamataji holela, akieleza wasiwasi wake kuhusu tukio la kuchukuliwa kwa nguvu kwa Neema Mhanuzi, Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Kigoma, ambaye hadi sasa haijafahamika...
  2. Stroke

    Ukumbi wa mahakama kuu mmoja hauwezi chukua watu zaidi ya 200, nawaasa wanaCHADEMA watulie tu nyumbani na kufuatilia hukumu kwenye media.

    Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court) Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika. Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
  3. Tlaatlaah

    Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  4. ngara23

    Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  5. Tlaatlaah

    Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  6. Tlaatlaah

    Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  7. Pulchra Animo

    Wakili Matata aibua mazito kuhusu kesi za ugaidi, na pia awavaa WanaCHADEMA feki wanaotaka Heche atoke

    https://www.youtube.com/watch?v=SdNOaquuJ-c
  8. Fbn

    Wanachadema kuweni makini mda umepangwa na kusudio kuanzia mda huu.

    Mpaka kufika saa 8 wengi simu zenu zitakuwa zimekosa chaji. Naomba kujiweka sawa nawapa taarifa ila wanataka kufanya kitu kibaya watawala na washapanga.
  9. Kamanda Asiyechoka

    WanaChadema wenzangu mpo? Poleni kwa yaliyowakuta Oktoba 29. Tuendeleze mapambano kibaraka wa CCM Mbowe yupo kando

    Nimekuwa kimya muda mrefu baada ya fitina na majungu ya watu wasiowema kutaka niwe kimya. Mapambano yaendelee. Chama kwa sasa hakina vibaraka. Na mziki wa Chadema CCM wanauona hata pamoja kukaa madarakani kupitia uchafuzi
  10. MamaSamia2025

    Ninawapongeza wanaCHADEMA kwa kutorukia habari ya kifo cha jambazi Banjoo

    Safari hii hawa nyumbu wamejuzuia sana kutorukia hii agenda. Pamoja na wanaharakati shetani Mange na bibi Maria kuivalia njuga habari ya kifo cha jambazi Banjoo ila wanaCHADEMA wengi hawajaunga mkono harakati zao. Sijajua kama ni ukomavu wa kiakili au labda kwa sababu Jambazi Banjoo hakuwa mtu...
  11. Dalton Elijah

    SI KWELI John Mnyika amesema 'tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi'

    kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likimunukuu John mnyika kutoa kauli inayosema kuwa tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi Baada ya kufanya ufuatiliaji wa kina kwa kutumia njia ya utafutaji wa maneno tumebaini kuwa taarifa hiyo nipotoshi na ina nia ya...
  12. MamaSamia2025

    "Acha watafune, tutachanga tena" ni kauli inayohuzunisha toka kwa baadhi ya wanaCHADEMA

    “He Killed My Ma, He Killed My Pa… I'll Vote for Him” Hiyo ilikuwa slogan ya wafuasi wa dikteta Charles Taylor wa Liberia mwaka 1997 kwenye uchaguzi mkuu baada ya kuisha kwa vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1996. Vijana walijitoa ufahamu na kudai hata kama Taylor aliwaua baba na...
  13. Sifi Leo

    John Heche hutubia taifa uwambie wanachadema Sasa mnaelekea wapi 2026 baada uchafuzi KUISHA na uwambie wategemee Nini 2026?

    Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Golugwa: Wanachadema na Watanzania wote tusikubali kupigwa kama kuku

    Polisi msituchokoze hatuji kufanya fujo mahakamani Wanachadema na Watanzania wote tusikubali kupigwa kama kuku
  15. M

    Kesi ijayo ya Lissu, Wanachadema zaidi ya 10,000 wawepo mahakamani

    Natoa rai hii kwa Wanachadema wote nchini na wasio Wanachadema, kujitokeza kwa wingi wa maelfu nje ya mahakama kesi ijayo. Endapo Wananchi mtajitokeza kwa wingi wa maelfu basi siku hiyo itaua molari ya polisi Nchi nzima, na wote wanaofanya kampeni. Kuna kosa la kimsingi na kimkakati naona...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 WanaChadema waliokamatwa Kilimanjaro watoka kwa dhamana

    Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wametoka kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa siku tatu kwa madai ya kufanya mkusanyiko iliyo kinyume cha sheria. Soma Pia: Polisi Kilimanjaro Wawashikilia Watuhumiwa 18 akiwemo Kiongozi wa...
  17. Msanii

    GE2025 Polisi waendeleza ukamataji wa Wana CHADEMA siku ya Mashujaa wa Demokrasia

    Taarifa kutoka Arusha Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana.. #Mashujaaday💔
  18. S

    GE2025 John Mnyika: Zuio la kufanya siasa linawahusu bodi ya wadhamini na Katibu mkuu, Wanachadema wengine endeleeni bila kutumia mali za chama

    Akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama Agosti 18, 2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika amewataka Wanachadema wengine kuendelea kufanya siasa ilimradi tu wasitumia mali za chama kwani zuio la kutokufanya siasa ni kwa katibu Mkuu na bodi ya wadhamini. === "Kitu kingine ambacho...
  19. D

    Mpaka Sasa 90+% ya wanachadema wa JF wameifungua na kuisoma katiba ya CCM

    Aisee hawa CCM wajanja sana.
  20. chiembe

    JF itulinde wanaChadema, mada za CCM zimezidi, za kwetu zinapotea ndani ya sekunde kwa kuwa zinakosa wachangiaji, No reform inaweza kusahaulika

    Nashauri JF wabalansi ili na sisi tupate nafasi, ukurasa mzima unajadili CCM, mbalansi angalau na sisi tusisahaulike
Back
Top Bottom