wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    NATAFUTA KAZI

    Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano: +255611084361
  2. Wakuu naona kama town (Dar) kumekuwa na matumizi mabaya ya ving'ora

    Wazee inakuwaje siku hizi unaweza kuwa unapita zako labda Maandazi Road mara ghafla V8 inawasha king'ora ili mumpishe.. yaani imekuwa kero kubwa. Wakazi wa Dar wanakutana na ving'ora vingi kwa siku. Ifikie sehemu mamlaka zinazohusika zidhibiti hii hali. Kwani idadi ya viongozi au watendaji wa...
  3. Wakuu, kuna kitu kidogo tu hapa…

    Hii dunia ina mambo sana. Kuna watu ukimkuta mtu hana kitu leo, wanajiona kama Mungu amewapa cheo cha kuwa majaji wa maisha ya wengine. Mtu akija hapa na kusema nina changamoto, badala ya kuangalia hoja yake, comment ya kwanza: "KAKA PAMBANA." Mwingine: "TAFUTA KAZI." Mwingine: "SI UZA...
  4. Hawa wakuu Natafuta Ajira,Xi jinping na wakuu wangu wengine wamefika bei?

    Najiona tumebaki wawili ama watatu tu kwenye hii vita ya kusema ukweli pasina kupindisha maana tunaamini katika kweli maana kweli humuweka mtu Huru Daima. Nashangaa sioni thread tena za wapigania kweli Hawa Xi Jinping Natafuta Ajira na wengine. Je mmekubali pesa za single mother? Pesa Chafu...
  5. Nawapongeza wakuu wa vyombo vya ulinzi kuikatalia mahakama kuhusu kutoa ushahidi kesi ya Lissu

    Sina neno tena, kama mahakama ilikiri ushahidi uliotolewa haukuwa na maana yoyote ila wakaforce kesi ya kujibu ipo basi watafutane wenyewe hapo mahakamani wajibu kesi yao. Kongole kwao japo siwapendi
  6. O

    Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  7. Hamna kitu kinauma kama tangu asubuhi umeuza elfu 30 tu, alafu nje ya duka lako jamaa kapaki hilux number E (Tsh 70m+). Hivi mnapataje pesa wakuu?

    Simtufundishe tulishe familia zetu na tukimbie aibu ya ukata
  8. Wakuu, kuna wakati maisha yanakufundisha kimya kimya

    WAKUU, KUNA WAKATI MAISHA YANAKUFUNDISHA KIMYA KIMYA... Kuna kipindi mtu anafika mahali anaacha kulalamika kuhusu maisha na anaanza kujiuliza maswali mazito. Kwa nini mtu mmoja anaanza maisha akiwa na kila kitu, mwingine anaanza akiwa hana hata pa kushikilia? Kwa nini wengine wanapata fursa...
  9. Nimerudi kwenu tena mnishauri wakuu

    Yale ya juzi tuliongea na tukayamaliza baada ya kuzingatia ushauri wenu. Sasa leo huyu mchudenga wangu amekuja na kubwa akisema kwamba..... anashida kubwa na mimi. Mie nikamjibu kwa upole na ustaarabu kabisa kwamba.... kama anashida na mimi, aweke kwenye whatsap status na shida itakwisha na...
  10. Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM...
  11. K

    Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

    Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
  12. Tofauti na Mama nani mwingine ambaye alikuwa anaruhusiwa kutoa hicho Kitambaa kwenye TV

    Wakuu Tofauti na Mama nani mwingine ambaye alikuwa anaruhusiwa kutoa hicho Kitambaa kwenye TV
  13. Wakuu hii Bachelor in Tourism Management ya SUA ikoje?

    Wakuu hii kozi ikoje huko SUA? Inatoa watu competent? Au ni bora mtoto akaenda kusoma tour guide kwenye vyuo vilivyo chini ya VETA? Bachelor in Tourism Management ina soko kwenye ajira? Je inaweza msaidia mtu akajiajiri?
  14. Wakuu kun benki inaweza nikopesha kwa kutumia kiwanja cha 45m x 65m kama collateral?

    Karibuni Nina biashara ,ila nataka kuongeza bidhaa, benki ipi ina sera za kuwapatia wateja mikopo kwa kutumia hata kiwanja?
  15. K

    Nafasi ya Kazi ya Kujitolea: Wahariri na Waandishi Wakuu wa Habari (Editorial Volunteers) - Global Primegates Limited

    .
  16. Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  17. Wakuu msaada jamaa kayatimba

    Facebook account yake imehackiwa, analog in kama kawaida, ila mesenja kuna huyo mpuuzi anawatumia watu sms vibaya mnooo yaani kila siku sms sizisopungua 20 kuhusiana na masuala ya betting, tukiangalia kwenye setting "where you log in" inaonesha jamaa yupo vietnam,. Jamaa yangu anatumia...
  18. M

    Misingi 5 ya ukulima wa Matikiti Maji

    Kama umekua ukihangaika kuanzisha kilimo cha tikiti maji lakini hufahamu pakuanzia, basi makala hii ni mahususi sana kwako. Nasema hivo, kwa kua nimekua nikilima matikiti kwa muda mrefu tangu 2020 na hapa nitatiririka na misingi 5 ambayo itakuasaidia wewe kuanzisha mradi wa kilimo cha tikiti...
  19. Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
  20. Mtu hajakuomba ushauri, wewe unamshauri, halafu hujui namna ya kushauri, nyambafu!

    Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…