wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
  2. N

    Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

    Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta. 1.Nachukiwa bila sababu kazini 2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima 3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama...
  3. Hizi boards zinaitwaje Wakuu?

    Naomba kujulishwa board Kama hiyo iliyotumiwa na Abood inaitwaje na Bei yake ikoje
  4. Nipeni koneksheni wakuu, sitawaangusha.

    Nikienda kutafuta utajiri wa punje za mahindi kama wanavyosema watu wa huko kusini, nitakuwa nimekosea? Kwa miaka yangu hii 76, ata kuku akidonoa punje nne, nitakuwa na cha kupoteza? Kwa sababu umasikini nilionao, unanifanya nadharaulika katika jamii, naonekana kama sijapambana kabisa katika...
  5. B

    Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) 2026 / The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF)

    05 October 2026 Unguja, Zanzibar Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 . The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar Maelezo Muhimu...
  6. Wakuu nishaurini 'side hustle' ya kufanya kwa Dodoma

    Miaka inaenda mshahara una koma moja naishia kula na kulipa watu kodi huku inabidi kuanzisha familia Kwa wenye uzoefu na mazingira ya Dodoma ni side hustle gani inaweza kuingiza kipato iwe mazingira ya mjini au hata pembezoni ila kwenye kata za watu wengi Kama kuna fursa yeyote ya biashara mtu...
  7. Wakuu habari....

    Hivi ile kula tunda kimasihara bado ipo?
  8. Msaada kwenye tuta wakuu!! nina changamoto ya kutofika kileleni kabisa

    Baada ya salamu kijana wenu pendwa @naliangwena nimeamua kuja kwenu kutafuta msaada kwa hali na mali kwa maana natambua kuwa penye weni basi kuna mengi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, sahivi nimejikuta kwenye big trouble la kutofika kileleni kabisa hata ule mzunguko wa kwanza...
  9. Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. 😂 Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho...
  10. M

    Mkurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa idara kuwekwa Selo na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng’wilabuzu Ludigija, kwa kutoshiriki zoezi la usafi

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
  11. Eti wakuu, hapa sinimejmjibu kiungwana kabisa...??

    Aminayutiai ameniuliza kwamba..... Ikitokea amekufa ugechaguanini (akatoa mfano Jerusalem), kisha niulizwe kwamba nichague dola milioni 5 tumsafirishe kurudi bongo ama dola milioni 2 tumzike Jerusalem.... nitachagua pesa ngapi?? Mie nimemjibu kiungwana kabisa kwamba..... nitachagua dola milioni...
  12. Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum) 2026

  13. Makatibu Wakuu EAC Wakubaliana Kuongeza Kasi ya Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Makatibu Wakuu wanaosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na sekta ya biashara kutoka Nchi Wanachama wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ndani ya Jumuiya. Makubaliano hayo yamefikiwa leo, Septemba 24, 2026, katika...
  14. Wakuu mnawezaje kuwavumilia wanawake ambao hawana kazi?

    Kuna Muda Nikimuona Mwanamke wangu ananisogelea akiwa mpole sana Na Kuniita majina Matamu kama “Mume wangu Kipenzi ,My Chulululilu, Baba watoto wangu..” Najua tayari sentensi inayofuata ni “Naomba….” Wakuu Mwanamke asiyekuwa na kazi ni Mzigo Mkubwa sana ,Shida zake ni kama seasons,Ukimaliza...
  15. A

    Wakuu h-pylori itanimaliza

    Husika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu kinanishangaza zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee
  16. Hivi wakuu unapata msupu kama huyu ameridhika na wewe na anakuheshimu ndani yaani hata kama unapitia ugumu flani ukirudi ukiona ua lako moyo unapoa

    chocolate colour, Tumbo halina nyama nyama, Kimo cha wastani, Makebo malaini, Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha Shape hourglass, Asiwe na dharau, Asiwe na kisirani Maziwa mazito ili niwe naweka uso wangu na rotate kichwa Kwa bahati mbaya hizi...
  17. M

    Mrejesho3,mtoto umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya...
  18. W

    KERO Mzazi Atoa Sehemu ya Mchango, Lakini Mtoto Anyimwa Chakula Shuleni

    Serikali inahimiza utoaji wa chakula shuleni ili kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya kupata chakula. Lakini kuna baadhi ya walimu na kamati za shule ambao wanashindwa kuratibu jambo hili kwa haki. Kwa mfano, utaratibu unaweza kuwa mwanafunzi anatakiwa kuchangia jumla ya madumu 15 kwa mwaka...
  19. M

    Mahakama kuu za kiisilamu na hukumu zao dhidhi ya wasiokuwa waislam na viongozi wakuu wa kiislamu

    Hii ni mifano jinsi gani mahakama kuu za kiislam zilivyokaa na kuamua kesi 1. Myahudi akapata haki mbele ya Umar رضي الله عنه Imepokelewa kwamba mtu Myahudi alikuwa na mgogoro na Muislamu mbele ya Umar ibn al-Khattab رضي الله عنه. Baada ya kusikiliza suala hilo, Umar alimhukumia Myahudi huyo...
  20. M

    Anakojoa mkojo umechangayika na damu Wakuu na uliza presha ya mtoto umri miaka10 kg 37 anatakiwa awe na presha isiyozid ngap

    Wakuu yule mtoto wangu anakojoa mkojo umechanganyikana na damu nauliza presha ya mtoto inatakiwa iwe ngap,mtoto ana umri miaka10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…