Najiuliza tu majini yako chap sana.
Ukitupiwa jini huchukui round unaanza kutema udenda au kuchizi.
Tena kama huombi unaweza kukata moto. Namkumbuka Dada mmoja alikuwa muislam akabatizwa,
walikuwa wanamtafuta kwa udi na uvuma kijini Warudishe elimu yao aliyoondoka nayo. Njiwa anaruka kumlia...
Makadirio ya Kituo cha Utafiti cha Pew yanaonyesha kuwa kutakuwa na Waislamu bilioni 2.57 na Wakristo bilioni 2.52 ifikapo mwaka 2035. Watafiti wanasema tofauti katika viwango vya uzazi zinachangia mabadiliko hayo.
Uislamu na Ukristo vinaongezeka kwa ukubwa, lakini idadi ya Waislamu inaongezeka...
Mafundisho ya kanisa yanamtaja sana Mungu wa israel ila hata siku moja huwezi kuta wanaitaja dini ya Waisrael. Judaism religion
Na huwezi kuta kanisa linasema ukweli kwamba wa israel wanamkataa yesu kristo sio masihi na wala sio mwana wa Mungu na wala sio Mungu.
Pia huwezi kuta kanisa linataja...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema hataki kuona makanisa yakijengwa au kuanzishwa kila mahali bila utaratibu maalumu, akieleza kuwa hali hiyo inaweza kusababisha kelele na usumbufu kwa wakazi.
"Sasa hivi ukiamka tu Dar unakuta hapa kuna kanisa sijui nani anasema tu ameota...
Tuweke hisia pembeni, Hizo ni Facts !!
Wakristo wanaoishi nchi zilizojaa waislam kama Somalia, Nigeria, Libya, Misri, Algeria, Morocco, Afghanistan, n.k. wanaishi kwa taabu sana, wamepewa label ya MAKAFIRI na kuonekana watu wasiopaswa kuishi.
Ila ukija nchi zilizojaa wakristo kama Tanzania...
Katika Quran hakuna mahali popote wazazi au walezi wameagizwa kuchapa au kupiga watoto kama adhabu, hayo sio katika mafundisho na maamrisho ya dini ya Kiislamu. Wanaume Waislamu wameelekezwa kuwapiga kidogo tu wake zao ila sio kupiga watoto.
Biblia ndio inasema watoto wapigwe ila sio Quran kwa...
Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii.
Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
So Mungu alimuumba Adam na Eva, alawapa maelekezo ambayo waliyakaidi, akawapa adhabu ya mateso, kifo na kuchomwa moto wa milele
Ili Mungu kuwaokoa kutoka kwenye hiyo adhabu aliyowapangia, ikabidi ashuke duniani (Yesu ni Mungu) aje ateswe na asulubishwe na hao watu waliokuwa wamemkaidi ili...
Mafunzo haya yameandaliwa na jumuia ya Izala (JIBWIS), Ni jumuia kubwa ya Kiislamu Nigeria na nchi za Africa Magharibi inayotambulika kuwa halali na imesajiliwa kisheria, watoto na vijana wadogo wamerekodiwa wakiwaongozwa na walimu wao katika mafunzo maalum ya kuchukia dini nyingine. walimu...
Nigeria: Mwalimu wa Baraza la Izala (JIBWIS), Baraza rasmi kubwa la Kiislamu Nigeria na ukanda wa Afrika Magharibi, amerekodiwa video akiwaongoza watoto wanaopatiwa mafunzo maalum ya kuchukia dini nyingine hususan Wakristo. Katika video hiyo mwalimu huyo anawafundisha watoto kuimba nyimbo...
Simulizi la kifo chake kutoka kwenye Biblia na kutoka kwa mwanahistoria Josephus.
1) Matendo 12 inatusimulia kuwa Herode Agripa aliwatesa wakristo, alivyoona wayahudi wamefurahia hilo akaanza kumuwinda kumuua Petro. Petro akakamatwa akafungwa gerezani akisubiri kuuawa siku ya Pasaka.
Usiku...
Watu wenye silaha walifyatua risasi wakati wa mazishi katika kanisa moja huko Jordan siku ya Ijumaa, na kuwaua watu saba na kuwajeruhi wengine 40, mamlaka ilisema.
Ufyatuaji risasi huo ulifanyika katika kanisa la Orthodox la Ugiriki huko Karak, yapata kilomita 90 (maili 55) kusini mwa mji mkuu...
Naandika kutoka moyoni kwa kuwa naujua vema Ukristo ni dini ya upendo na huruma kwa wote haina ubaguzi, ukiachana na pale Kiev ambapo Wakristo wanalinda mauaji kutoka kwa waliokengeuka leo Ufaransa na Uingereza wameamua kuungana Wamarekani [Wakristo] kulinda mji mtakatifu wa Kiislamu wa makha...
Kwa nini Kusali iwe kabla ya kulala usiku na unapoamka asubuhi? Usingizi wa usiku unatisha ?
Ni kama vile binadamu wanaogopa wakilala wanaweza wasiamke, watakufa usingizini usiku!🤣
Sijui wanaofanya kazi usiku nao huwa wanaomba kumshukuru mungu kwa kuwafikisha asubuhi wakimaliza shift yao !
nimekuta post ya inayopinga chuki kwa wakristo, katika kupitia comment nimekutana na hii shuhuda
Nakumbuka utotoni kule kijijini jirani yetu mkristo zikifika sikukuu zao wanatuletea wali na nyama saazingine kuku Tunaupokea kwa shukurani nyingi sana nyingi mnoo lakini wakitupa mgongo tu daah...
Na ninayaongea haya kama Mkristo
Kuna fikra potofu zilizozoeleka kwamba viongozi na teuzi nyingi lazima wajae wakristo, tuanze kuzoea baadhi ya teuzi muda mwengine wajae waislam hata kwa asilimia 90%.
Kwa muda mrefu sana tulizoea kuona safu za viongozi zikijaa wakristo, kuna wakati nafasi za...