wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

    Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: 1. Endometriosis. 2. Uterine fibroids. 3. Adenomyosis. 4. Pelvic inflammatory disease. 5. Cervical stenosis. (Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada) Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa?

    Shaka Hamdu Shaka ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi ametangaza kuwa uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa. Amedai uchaguzi huo utafanyika siku zijazo na pengine mwakani. Sababu kuu ni nini? Au kauli za Makamba zingebadilisha uelekeo wa ushindi?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba, Kama unataka January awe Rais chunga ulimi wako usimharibie

    Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki. Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa. Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mrefu wala mfupi, ni mtazamo wako tu

    Habari, Nimeleta mada hii makusudi kabisa, karibuni wale mnaojiita warefu, ruksa kutuma bomu lolote[emoji4] Mimi naamini hivi: kujiona mrefu/mfupi inategemeana na mtu uliejilinganisha nae. Huko nyuma nimesema hivi, umbo la mtu linaweza kufanya mtu aonekane mfupi (hasa watu wanene) hata kama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period. Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
  6. JamiiForums Tanzania Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

    Je walistaafu? Je walipangiwa majukumu mengine kama inavyotokeaaga kwa wanasiasa? Sio mbaya kujua walipo Watanzania wenzetu
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna Biashara Mpya, Angalia loopholes za wengine Kisha Angalia Mfuko (mtaji) wako

    Mwaka unaisha leo ndio tunafunga Nov kesho ndio 1st Dec zinabaki siku tu sio mwezi tena wala miezi tufunge 2022 and if God wish ikimpendeza tuingie 2023 tukiwa na Mipango na mikakati mipya ya nguvu mno. Nadhani hii itakuwa Funga mwaka yangu ya 2022, tangu huu mwaka uanze tumepiga story za...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wako, tunaendelea au tunarudi nyuma?

    Vigezo vya maendeleo vikiwa: Pato la mtu binafsi. Lishe, angalau milo miwili yenye virutubisho vyote kwa watu wa mjini, mitatu mashambani. Urahisi wa kupatikana elimu inayokidhi na huduma za afya angalau za msingi (basic health services) Maji safi, umeme, angalau kwa 50% ya Watanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  10. JamiiForums Tanzania UCHAWA Hadi lini? Shigongo tupumzishe na huu UCHAWA wako

    Hello 👋 Katika nchi zinazotumia wizi kama nguzo kuu Kuna vitu very common miongoni mwao kama KUTUKUZANA, KUBANA VYOMBO VYA HABARI, KUBANA UHURU WA UMMA NA KUOGOPA KUKOSOLEWA. Viongozi wetu wanaingia bungeni kwa lengo la kutengeneza pesa na sio kutatua shida za wananchi, HAWAPIGI KELELE...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia niazimishie 'Recorder' ya TISS ili nikurekodie Wateule wako ambao Kutwa wanakusema vibaya sana Vijiweni

    Halafu wakiwa nawe katika Hafla zako wanajifanya Kukupenda na Kukusifu. Na ni hawa hawa wakipelekewa tu Mic na Waandishi wa Habari wanajitutumua Kukupongeza huku wakisema kuwa Unaupifa mwingi. Tena kuna hawa Saba (7) kila nikibahatika Kuwasikia wakiwa Vijiweni Kwao (Mwao) pale Bahari Beach...
  12. JamiiForums Tanzania Wekeza kesho yako iwe Njema Kwa Mola wako

    Ndugu zangu kama heading inavyojieleza. Kuna ndugu yetu katika Imani yeye ni hafidh WA Qur'an na yupo huko Magore jijini Dar es Salaam,ana madrassa anafundisha vijana wetu. Lengo lake kubwa ni kujiendeleza kielimu ili walau afikie ngazi Fulani,mara ya Kwanza alipokuja dar kutoka kwao mkoani...
  13. JamiiForums Tanzania Kama mbingu ipo Pompeo na Hanspope wako wanazichapa ngumi kavukavu huko mbinguni

    Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila...
  14. JamiiForums Tanzania NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

    Wanaume, Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa. Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi. Wanaume wengi waliyodhani wanapendwa kumbe wanaliwa tu, baadaye hufilisika na...
  15. JamiiForums Tanzania ONYO: Abood Bus waonye Madereva wako, Mwendokasi unaua abiria wasio na hatia

    Nipo kwenye Abood Bus T 818 DXJ linalotoka Dar - Morogoro, dakika chache zilizopita tumenusurika ajali kugongana uso kwa uso na lorry karibu na Imperial Sec School Chalinze kisa ni dereva wa Abood kuwa kwenye mwendo mkali na kuovertake lorry lenye namba T662 DEM sehemu isiyoruhusu wakati mbele...
  16. JamiiForums Tanzania Kama hauna Elimu usije ukathubu kujiingiza katika siasa utapoteza muda wako bure

    Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu

    Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu Tuonyeshe love,kwa rafiki zetu wanaotupenda na kutupigania!
  18. JamiiForums Tanzania Mume/mke wako. Anasifa zile ulikua unaziwaza enzi za u-teenager?

    Hivi zile sifa ulizokua unazitaja Za handsome,tall,dark Financial stable Na kwa mke (mnazijua nyie) Ndo anazo sasa hivi Au Ndoa ni upendo Hahahaha Nyie acheni kabisa Ningemshauri mtu yoyote anaetaka kuoa/kuolewa Make sure unawaza vitu vifuatavyo 1.mcha Mungu 2.ana upendo wa dhati. 3.anapenda...
  19. JamiiForums Tanzania Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

    Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
  20. JamiiForums Tanzania Ishi kijamaa kwenye mtaa wako, na usiishi kibepari

    Kuna baadhi ya watu huwa wanakubalika sana, kwenye mitaa wanayoishi; kutokana na kujichanganya kwao au kushiriki kwenye matukio ya hapa na pale yanayohusu mitaa waliopo. Ila kuna wengine, wanajulikana kama vipanga; hawajulikani kama mtaani wapo ama hawapo; kutokana na kila mmoja kuishi kivyake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…