wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NADHARIA Wanawake wanaoficha simu zao kwenye matiti, wako na hatari ya kupata saratani ya matiti

    Hoja hii iko vipi kisayansi? Wanawake wanaobana simu zao katikati ya brazia na matiti, ni kweli kuwa wako katika hatari ya kuivaa saratani ya ziwa?
  2. JamiiForums Tanzania Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

    Kuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo. Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu. Kifupi...
  3. JamiiForums Tanzania Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

    Wakuu, nijibuni haya maswali:- Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni? Na kwanini unavaa hayo mavazi?
  4. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Rais bado unatembelea mvuke wa mtangulizi wake

    Nisikuchoshe, Nimeona waziwazi maisha yalivyo mambo ni kama ya mwendazake, pamoja na muendelezo wa alipoishia hayati, bado hujapindua changamoto, kuna kufeli maeneo mengi. Zaidi na zaidi unatumikia bahati njema alizoziacha jamaa yule. Mbaya zaidi wahuni na wajanja wamekurubuni. Wanakula...
  5. JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wasabato wa zamani?

    Nimetoka mkoa wa Mara-Tanzania, sehemu niliyokulia Mimi Kuna wasabato wengi kiasi, Pamoja na dhehebu la menonite ndio wamedominate huko. Kwenye familia yetu mzee wangu sio msabato, Lakini kaka zake na ndugu kiasi ni wasabato. (Mzee wangu alioa wanawake wawili) ni kama Hana tu dini. Nilipokua...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

    Hope ni wazima Wana Jf Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa. Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
  7. JamiiForums Tanzania Muwazie mpenzi wako kwa mazuri, hata kwa nusu saa tu

    Sikiliza hii nyimbo.....kidogo tu please!!!!
  8. JamiiForums Tanzania Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

    Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?
  9. JamiiForums Tanzania Tokelezea na mkoba wako wa Culture Element

    Onekana nadhifu na wa kitofauti. Kupendeza ndio mpango mzima. Tuonane PM
  10. S

    JamiiForums Tanzania Huwa unajisikiaje unapokuwa umetoka na mpenzi wako halafu mkakutana na ex wake uso kwa uso?

    TAFITI zinaonesha yafuatayo: Wanaume kuna kibaridi fulani hivi kinakupata nakuanza kujiuliza maswali kibao. Jamaa alimkula demu wangu mpk akatupa kule? Mastaili anayonipa mpenzi wangu usikute jamaa ndiyo alimfundisha. Eeh? Kwahiyo mm natafuna makombo ya jamaa?. Jamaa huyu ananionaje mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Ulijiunga lini JF? Uzi wako upi unaukubali?

    Mimi kama nasmile.nilijiunga 2011 Uzi wangu ninaokubali ni ule ni maswali gani hayajibiki duniani https://www.jamiiforums.com/threads/ni-maswali-gani-unahisi-hayajibiki-duniani.651919/
  12. JamiiForums Tanzania Watoto wazuri mtaishia kutumika ndoa labda mkaolewe na shetani kama hamtobadilika, uzuri wako utakupeleka kwenye ndoa ila tabia yako ndo itaamua

    Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi. Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA? Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais tuokoe Wananchi wako wa Dodoma Jiji juu ya dhuluma hii ya Mkurugenzi Jiji. Mkuu wa wilaya kashindwa

    Kichwa cha habari cha jitosheleza. Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke wako atakuchukia usipomuongoza?

    Kwenye uongozi kuna lawama. Lawama za kwanini jahazi halisongi mbele/ limeenda mrama. Lawama zingine huwa hazina msingi. Mwanamke hutegemea mwanaume ndo abebe hizo lawama. Na ndio inakua rahisi kwake kujiachia kwako kwa kuwa umemkinga na lawama. Hiyo ni moja ya majukumu yetu wanaume kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiwa Malawi Washirika wako na Chama kipya mnaendeleza Mipango na Majungu yenu, sasa nenda Cuba ukasahaulike mazima

    Nauli ya kuja Blantyre au Lilongwe nchini Malawi hata Masikini GENTAMYCINE anaweza Kujichanganya na akaja kisha tuendeleze Mipango yetu na Majungu ya 2025 na ile Kabambe ya 2030. Sasa nakutupa Jijini Havana nchini Cuba ( ambako ni mbali Kijiografia ) ili tuone kama Wanafiki Wenzako wa Chama Cha...
  16. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  17. JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

    Mimi namkumbuka Mwl. Minja. Yule mama Mungu ampe maisha marefu, kuna siku moja nilitaka kujisaidia haja ndogo ila zipu ya mkaputura wangu ukagoma kushuka chini! Yule mama aliponiona nalia kwa kuhofia nitajikojolea akaja akanituliza kwanza. Akaniuliza shida nini, nikamwambia zipu imegoma...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini 'unatufichaficha' wananchi wako hata tunayotakiwa kuambiwa?

    Nasema kwakuwa najua na nimekitumikia ninachokisema. Nimekuwa kiongozi kwenye vyombo vya ulinzi; chamani na serikalini. Najua kuwa yapo mambo ya kusemwa hadharani na yale ya kuhifadhiwa na kumalizwa sirini. Yale ya hadharani ni ya kusakia 'support' kwa wananchi. Wananchi wasikie na...
  19. JamiiForums Tanzania Jamaa niliyekuibia mpenzi wako jifunze, mwanamke mzuri hafokewi

    Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji. Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za wakuu Jamiiforums. Pembeni kidogo kulikuwa na mtoto mzuri lakini anaonekana mapepe kama wale watoto...
  20. JamiiForums Tanzania List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…