wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

    Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje? Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi? Cc: Dr Lizzy say...
  2. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa Mitazamo ya hawa Wafuatao ndiyo Mitazamo ya Watanzania wote na wako sahihi?

    1. Profesa Shivji 2. Tundu Lissu 3. Freeman Mbowe 4. Dk. Wilbroad Slaa 5. Harold Sungusia 6. Godbless Lema 7. Dk. Charles Kitima GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari. JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
  4. JamiiForums Tanzania Ukiisahau nafsi yako, hawatausahau utu wako

    Inasemekana, ubinafsi ni sababu mojawapo inayowapelekea watu wengine kujinyonga. Ni Kwa sababu ya kujifikiria zaidi kuliko wanavyowafikiria wengine. Kadiri mtu anavyojifikiria sana, kwa wengine, ndivyo wanavyojiona hawafai au hawana faida. Lakini kama angefikiria jinsi ya kuwasaidia wengine...
  5. JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani (kejeli) ya Ex wako baada ya kuachana?

    Habarini wana jamvi MMU, natumai mko poa kabisa. Hivi in kauli gani chafu na kejeli unayoikumbuka kutoka kwa Ex wako kiasi kwamba ukiifikiria unajisemea mwenyewe kimoyomoyo "hii ng'ombe ikirudi nitahakikisha inapitia maumivu yasiyo ya Dunia hii. NB: Kuachana siyo ugomvi ila wengine wanatufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

    Kwangu mimi hakuna zaidi ya kelele zake akiwa mbali basi namiss yale makelele lakini natafuta sababu nimuache
  7. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nguvu iliyofichwa yenye kuweza kuinua uchumi, wako, ari na hali nyingine za kimaisha

    Kila mtu katika ardhi ana uwezo wake wa kutoa msaada. Msaada unatofautiana kulingana na mtu hadi mtu na uwezo wa kutoa msaada huo. Kuna mafanikio makubwa sana yaliyojificha katika kutoa msaada. Unaweza kujiuliza kwa nini walio wengi hutoa msaada? Kwa nini imeandikwa katika maandiko matakatifu...
  8. JamiiForums Tanzania Changamoto ipi unakumbana nayo katika mkoa wako au jamii yako na Serikali haijashughulikia?

    Hellow Africa 🌍 Tanzania kubwa lakini pia tuna viongo ambao tumewachagua kutoka kwenye jamii zetu kwa namna moja wanapatia na nyingine wanakosea. Je, kwako wewe katika eneo lake unalo is ishi au kwenu ulikozaliwa changamoto kubwa ni nini? Mimi kwangu ni barabara ni changamoto kubwa kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania CDF General Mkunda washauri Wanajeshi wako wasipende 'Kujilundika' katika 'Baa: Moja na 'Kugambeka' ovyo

    Kuna Baa Tatu maarufu zilizoko sehemu tofauti tofauti Wilayani Kinondoni Wamejazana kiasi kwamba Tanzania ingekuwa na Waasi au Magaidi na Bomu Kutupwa waliko hivi sasa Jeshi na Tanzania lingekuwa linaomboleza Vifo vya Wanajeshi wake wapatao Tisini ( 90 ) waliokuwa Wakilewa ( Wakigambeka ) katika...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Uthubutu wako ndio Chachu ya mabadiliko

    Naitwa Desmond sio jina halisi,nilimaliza Elimu ya msingi miaka kadhaa iliopita ,japokuwa sikuweza kuchaguliwa,kujiunga na Elimu ya upili, ilinilazimu kurudia tena mwaka mwingine na hatimae kuweza kufanikiwa kujiunga na shule ya upili huko wilayani tarime mkoa wa Mara. Maisha ya Elimu ya upili...
  11. JamiiForums Tanzania Huwa unampongezaje mtoto wako akifanya kitu cha kukufurahisha?

    Hello Africa, Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
  12. JamiiForums Tanzania Kama umechoshwa na Tabia mbovu ya Mwanamke wako , pitia hapa upate suluhisho na Umbadilishe Kirahisi

    Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ". Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !! Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA wako wapi?

    Ile Mikutano ya Helcopter imeishia wapi? Maridhiano yameisha wapi? Bajeti Kuu imesomwa, hatuwasikiii? Ndege kubwa ya Mizigo imefika Nchini hamjaiona? NMB wametoa gawio kubwa kuliko hamjaona?
  14. JamiiForums Tanzania Michepuko wako unawapataga wapi?

    Kuna story nyingi sana kwenye mahusiano, mtu akishaishi kidogo tu na mpenzi wake basi kashamchoka anataka kumtema na kupata mwingine. Wengine wanachokana baada ya siku, wiki, miezi, miaka nk na kuanza harakati za kupata mchepuko mpya, Wengi wana uhakika wa michepuko ndo mana kupigana chini...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Habari za muda huu wapendwa Bila shaka kwenye safari ya maisha kila mmoja wetu amewahi kukumbana na visa na mikasa mbali mbali kwenye purukushani za maisha Mikasa ambayo imekuwa ikitupa mafunzo na mafundisho maishani mwetu na wakati huo huo kubadilisha kabisa mitazamo ya maisha yetu juu ya...
  16. JamiiForums Tanzania NHC toa semina kwa wapangaji wako

    kuna watu wameishi NHC miaka zaidi ya 50, wanalipa kodi ndogo na hela wanazopata wanakula, hawajengi. ukitaka kuwaondoa wanasema twende wapi? mnatuonea rais tusaidie, mara mimi nimeishi miaka yote hapa mnataka niende wapi? tunahitaji NHC itoe semina kwa wapangaji wote kama ifuatavyo: 1...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Umeanguka ewe Bandari salama, u wapi uzuri wako?

    Yesu Kristo Messiah alipowafundisha wanafunzi wake kusali, ninaquote moja ya kifungu kimoja katika Sala hiyo kisemacho, "USITUTIE MAJARIBUNI, BALI UTUOKOE NA YULE MWOVU, AMEN." Kwa kimombo, DO NOT LEAD US INTO TEMPTATION, BUT RESQUE US FROM EVIL ONE, AMEN. Rabbi Yeshua amachiah alitufundisha...
  18. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

    Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
  19. JamiiForums Tanzania Vijana kufatilia zaidi mpira kuliko mambo muhimu yanayoathiri nchi tatizo ni nini?

    Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana. Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi. Mpira na furaha ni muhimu sana...
  20. JamiiForums Tanzania Viboko havina umuhimu wa kumfanya mwanao kuwa na adabu unapoteza tu Muda wako kumchapa

    Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko. Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…