wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je unaweza kumuacha mpenzi wako Kwa sababu umetishiwa ametishiwa kifo?

    Kuna kisa nimekisikia Leo, Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha currently man wake then atamuua So because that mdada anampenda Sana huyu currently man wake akaamua...
  2. JamiiForums Tanzania Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana. Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Leo tuwape Mods na Kiongozi Melo maua yao. Mod gani anakukosha? Alifanya kitu gani ukafurahia uwepo wako JF?

    Wakuu kwema? Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
  4. JamiiForums Tanzania Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  5. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO OCS kituo cha Polisi Igogo Mwanza jitathimini wewe na askari wako

    Ndugu wanajamvi Habari za muda huu, Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini. Mtuhumiwa alinitishia kunidhuru ila RB Inasoma Kutoa Lugha chafu, Hii Imekaaje? Na kwanini...
  6. JamiiForums Tanzania Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    Nimejikuta nawaza tu.... Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh. Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ushiriki wako kwenye mjadala wa Bandari unatuharibia

    Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga" Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ndio una haki ya kulalamika, lakini umetimiza wajibu wako kama binadamu?

    Sote tunajua kuwa, kulalamika ni haki ya mtu yoyote pale ambapo anakuwa hajaridhika na jambo alilotendewa na upande wa pili. Hii husaidia kumjulisha mtendaji wa jambo hasi kujua kuaw, alilolifanya sio sahihi na lina athari kwa upande unaolalamika, na pia hutoa fursa kwa kosa lililofanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hisia kubwa, kwa uzoefu wako, eleza chanzo na suluhisho cha tatizo hili

    NB: Mzaha uwe kando, chukulia ndo madogo zako
  10. JamiiForums Tanzania Udadisi uliomuua paka: Namna sahihi kiafya ya kuulaza mwili wako

    Habari wakuu. Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu mwenye taaluma ya Afya Ila napenda masuala ya Afya. ....... Nitagusia kitu kidogo tu kinachohusu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Rais unapoajiri watu wako hatutaki uajiri machawa wanaotumia kodi zetu

    Dkt. Slaa akiwa anazungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 12, 2023 asema, Rais anapoajiri watu wake hatutaki uaajiri machawa ambao wanatumia kodi zetu. Akiongeza kuwa kila siku Rais unatupandishia Tozo kwenye simu, bei ya vyakula na kila kitu na kwenda kulipa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tuelewe wananchi wako na rekebisha mkataba, ili tukutetee humu mitandaoni!

    Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa. Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile. Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa. Naamini Mama Samia utarejesha...
  13. JamiiForums Tanzania Wakenya kwa masuala ya directing na kuandaa filamu wako ahead of us

    Mimi si mpenzi sana wa filamu za kiafrika labda za South na zimbabwe kama neria, yellow card, Jerusalem na nyingine na soap operas kama isidingo n.k. Ila kuna baadhi ya tamthlia za kenya nilianza kujikuta nazipenda miaka hiyo ya 2014/15 kwa dstv lakini nilikuwa nimemezwa zaidi na series...
  14. R

    JamiiForums Tanzania MO na GSM wako kimya suala bandari Rostam amewawakilisha

    Kuna mjadala nimeukuta mahali watu wanahoji kwanini Mfanyabiashara Maarufu Mohamed Dewji maarufu MO na Mfanyabashiara Maarufu Gharib Mohamed Maarufu GSM ambao ndiyo wadau wakubwa wa bandari kuingiza mizigo nchini kwamba mbona hawajasema chochote kuhusu mjadala wa DP Wold kuhusu Bandari. Mimi...
  15. JamiiForums Tanzania Mr. Blue, umekielewa alichokisema mke wako kuhusu Diamond?

    Bayser, umeelewa kauli ya mkeo kama nilivyo ielewa mimi ? Mke wa Blue amenukuliwa akisema; "Mimi namsapoti mume wangu kwasababu tumejenga nyumba nane kupitia muziki, kwahiyo mimi nasapoti sana kazi yake kwasababu tunafanikiwa kupitia muziki wake, muziki unalipa na una hela" "Zamani wanawake...
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  17. JamiiForums Tanzania Sijapata kazi hata ya kujitolea tangu nimalize chuo, nifanyaje!

    Salaamu kwanza nianze kujitetea katika makosa ya uandishi sababu ni kwamba natumia simu ndogo nashindwa kuweka aya vizuri! Hivyo basi tuvumiliane na nitaandika kwa kifupi. Mimi ni muhitimu wa ngazi ya shahada X katika chuo X tangu nimalize mwaka 2021 sijawahi kupata kufanya kazi kokote hata...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia, NHIF inakugombanisha na wazee makusudi kabisa, kinyongo na manung'uniko yao vitakuletea mikosi kwenye uongozi wako

    Kutokana na kadhia ntayoielezea hapa chini ndio niliyasikia manung'uniko ya wazee, kibaya wazee hawajui kama NHIF ina mkurugenzi mtendaji, wazee wanamjua Mama Samia, lawama zote ni Mama Samia,. Hapa ndio kwa mara ya kwanza nimeone wazee waliokunywa maji ya kijani wakiilaani CCM, na mengine...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto waanza kumjibu Diamond, wamwambia asisubiri July mpaka January wao wako mgongoni mwake mpaka akimbie Fani

    Wana JF Ukisikia mtu kushuka kunaanzaga kwa visingizio. Diamond hana hit song na zilizopo za kawaida sana. Utajiri tu ndio unambeba. Ona vijana wanavyomjibu
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tangaza biashara yako kwenye mji wako kwa sauti (audio advertising) kwa shilingi mia tano tu

    Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu. Taja mji unapotaka tangazo lisikike. Tunatumia mobile loud speakers kutangaza. Pm au tuma ujumbe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…