wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

    MKE WA BOSS WAKO AKIKUTAKA KIMAPENZI, JE UTAKUWA MWAMINIFU? JIBU LAKO NDIO SIRI YA ANGUKO AU MAFANIKIO YAKO Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani katika Hekalu Jeusi Mke wa Boss wako ameumbika, shape imesimama kama namba ya Lampard mchezaji wa zamani wa Chelsea. Akitembea anatikisika na...
  2. JamiiForums Tanzania Kua uyaone, weka mkasa wako hapa ulipogundua pesa si kila kitu

    Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyefeli hawezi kuwa Mwalimu wako, hatujifunzi kwa waliofeli

    Mpo salama! Moja ya kanuni ninayoitumia ni pamoja na kufundishwa na waalimu waliofaulu. Iwe kwenye taaluma, biashara, Siasa, mahusiano, Kiroho, miongoni mwa mambo mengine.. Kamwe usijifunze Kwa Watu waliofeli, mtu aliyefeli asiwe Mwalimu, role model, au mshauri wako. Kikawaida Watu waliofeli...
  4. JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti wa Chama changu (CCM), maadui wako siyo wapinzani Bali Machawa wa Mtandaoni na washauri wako baadhi

    Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini, Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja Mama nakusihi epuka mambo haya 1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge...
  5. JamiiForums Tanzania Ulijisikiaje pale ulipoambiwa kuwa mpendwa wako hawezi kupona tena.Ugonjwa umeshambulia sana mwili?

    Nakumbuka Baba yangu mzazi alikuwa anasumbuliwa na saratani ya ngozi.Tulifanya jitihada za kila namna kuokoa maisha ya baba yetu mpendwa,tulizunguka hospitali mbalimbali ila mwisho wa siku tukaelekezwa tuelekee hospitali ya Ocean Road Dar-es-salaam. Ndugu walipambana kuchangishana hela ili mzee...
  6. JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

    Habari wakuu, Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama...
  7. JamiiForums Tanzania Wako wapi wakuamini vijana

    ATI HATUJIELEWI Hatujishughulishi Na mnatujaji Hatuna mitaji Nyie wafujaji Manayajaza matumbo yenu Mtumba mitumbani Tunalipa kodi Bila ukaidi Nyie mwafaidi Mazingira yetu bado duni Shamba ni mkombozi Mbolea zauzwa Mbegu zinauzwa Maji yanauzwa Bila pesa hakuna mavuno Ajira ni kubeti 1 kwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mchango wako, unaonaje mawazo haya 🙏

    .
  9. JamiiForums Tanzania Ukiwa maskini sana hata mbwa wako anaweza kukung'ata!!

    Umaskini ni tafsida ! Unaweza kuitumia kwa ujumla au kwa mtu Mmoja Mmoja ! Tukiwa kama nchi mbele ya mataifa mengine nchi yetu inaitwa maskini. Hata viongozi wetu wengi wanapotoa hotuba zao mbele ya mataifa yaliyoendelea wanajitambulisha kama nchi maskini ' ukisema hivyo unajumlisha wote...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TCU tunaomba msaada, Chuo cha St. Joseph kinatoza ada na direct costs kwanza ndipo uweze ku-confirm udahili wako

    Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi mmoja anadahiliwa na vyuo zaidi ya kimoja kwa kozi tofauti au kwa kozi ileile. Hii ni stage ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Ticha wako alikuwa anasumbuka kutamka maneno gani?

    https://youtube.com/shorts/m3V0DrNdKns?si=zE3dCx52pGD7Dx3A
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa KKKT, waumini wako wanahitaji kufafanuliwa zaidi

    Kwa wenye uelewa tulikuelwa vizuri kwamba kanisa linaunga mkono uwekezaji, lakini huku nyuma umesahau kwamba kuna akina kitenge na mwijaku wanaopindisha manaeno, sasa unalishwa maneno kwamba kanisa linaunga mkono mkataba wa bandari jambo amabalo siyo kweli. Ulisema kuna mapendekezo mlimpa raisi...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Waziri Nape Nnauye

    Ujumbe wangu kwako ni mfupi sana. Ukiwa waziri wa habari na mawasiliano awamu ya sita naona umeruhusu kwa makusudi viongozi wa dini watukanwe na kudhalilishwa. Kama haitoshi unabinya kwa makusudi taarifa zao kwenda kwa watanzania. Kinachoendelea mitandaoni nashindwa kuelewa weledi wako. Basi...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Viongozi hao kuhudhuria hafla za makanisani ni mpango wa kuwagawa wakristo kwa sababu ule upande wako pamoja kuhusu DP World?

    Wasalaam JF, Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini? Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
  17. JamiiForums Tanzania Hao wahehe wanaojinyonga wako wapi, nilikaa Iringa ila mbona nilikuwa sisiki haya mambo?

    Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili, Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga. Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote kuna mwanafunzi alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
  18. JamiiForums Tanzania Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

    Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika. Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa...
  19. JamiiForums Tanzania Ndani ya vyama vya kijamii kuna wenyewe sio uenyekiti wako au ukubwa wako utakaokupa nguvu ya usaliti

    Hello Bazzukulu, Kwenye jamii zetu kuna vyama vingi vya kijamii huanzishwa na watu kwa malengo ya kudumu. Ni vema ifahamike ukipewa nafasi ya uenyekiti au urais wa chama hicho cha kijamii tambua wenyewe wapo na usithubutu kupindisha malengo yako, hasa nyakati za kupewa dhamana kipindi cha...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Tibaijuka alikosoa mkataba wa bandari, amekamatwa? Asema ukitukana viongozi uhuru wako unaishia hapo

    Akizungumza katika kongamano la huduma ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi linalofanyika mkoani Arusha jana Alhamisi Agosti 17, Dk Ndumbaro amehoji kutokamatwa kwa Prof. Anna Tibaijuka na wengine ambao wamekosoa mkataba wa bandari. Ndumbaro amesema kukatwa kwa Dkt. Slaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…