wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna watu wako hivi siku ya leo Valentine's day😂

    SOMETIMES wako Alone; SOMETIMES they're not😂😂 P Ila jamaa kipaji sana🙌🙌
  3. JamiiForums Tanzania Unataka uhusiano wako udumu? Soma hapa

    Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mpaka utakapokutana na mtu sahihi ambaye atakupenda bila masharti. Jizawadie, pata mtoko wako mwenyewe, na ujijali. Huna haja ya kuwa kwenye mahusiano ili kufurahia maisha yako. Jambo baya zaidi maishani si kuwa peke yako, bali ni kuishia kuwa na mwenzi...
  4. X

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni...
  5. JamiiForums Tanzania Ahadi za Wabunge Batili, Weka Ahadi ya Mbunge wako na Je aliitimiza?

    Huyu mbunge wa kawe ambaye alikuwa napesa mingi sana kiko wapi? Kapata ubunge Kawe ni Hovyo barabara chafu, mbovu, miundombinu ni mibaya, wazo yote ila Mungu anawaona wanasiasa aisee
  6. JamiiForums Tanzania Wako wapi wachekeshaji wa Serious Funny TZ?

    Kulikua na wachekeshaji wanajiita Serious Funny TZ ambao walianza takribani miaka 7 iliyopita. Hawa jamaa walikuwa na content za uchekeshaji kuliko comedy tunazoziona sasa hivi. Sikuhizi siwaoni tena. Wako wapi?
  7. JamiiForums Tanzania Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

    Salaam Wakuu, Uliona nini ukajua kuwa sasa umri wako umeenda?
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

    Hellow. Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara. Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu. Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo...
  9. JamiiForums Tanzania Kuumiza wateja wako siyo suluhisho la mgogoro wako na mwajiri

    Niende moja kwa moja tu kwenye hoja yangu... Katika vitu sipendi kufumbia macho ni kuona mtu anaonewa (anaumizwa) bila kosa lolote. Kuna wafanyakazi wengine bwana eti akiwa na mgogoro basi anatafuta suluhisho kupitia walewale anaowahudumia. Sasa bora iwe unawatumia kwa njia ambayo haiwaumizi...
  10. JamiiForums Tanzania Mke wako ana bosi wake?

    Kwahiyo boss wake akimpa maelekezo au akitaka asafiri mume inabidi atulie tu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania CPA Habibu Suluo LATRA Mkoa wa Arusha wako juu yako? Daladala za Kikatiti na King'ori zinageuzia Maji ya Chai

    Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa Kikatiti na mengine King'ori. Mnasubiri mpaka wananchi wajichukulie sheria mkononi? Tumechoka na huu...
  13. JamiiForums Tanzania SSP. Selestino Sylvester: Kupekuwa simu ya Mwenza wako ni kosa la jinai

    Upo msemo unaosema kuwa ili ndoa iweze kudumu kwa muda mrefu, mke usishike simu ya mme wako, na Mme usishike simu ya Mke wako. Lakini kwa watu wengine Mke au Mme hushika na kuperuzi simu za wenza wao. Mkuu wa Polisi Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu SSP. Selestino Sylvester kwa wenza, amefafanua...
  14. JamiiForums Tanzania Unaweza kukunja nguo za ndani za mpenzi wako na kujionesha mtandaoni kama Harmonize alivyofanya?

    Msanii Harmonize amepost video inayomuonyesha akifanya jambo ambalo sio la kawaida kwa walio wengi. ANGALIA VIDEO HAPA Je, wewe unaweza kukunja nguo za mpenzi wako na kuzipost mtandaoni? Written by Mjanja M1 ✍️
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hata wanawake wanapenda mabosi wa kiume, weka hapa mkasa wako wa boss wa kike

    Maboss wa kiume hujitahidi sana kuwa katikati / neutral na hata ishu za chuki / upendeleo huwa wanaweza kula na kipofu wengine iwe ngumu kujua kinachoendelea, Ubaya wa maboss wa kike ni kwamba wengi huwa hawana uvugu vugu, ni aidha wawe malaika ama wakaksi, sasa umkuta mkaksi maji unayaita...
  16. JamiiForums Tanzania Ukigundua shemeji yako (mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na rafiki yako wa kike utafanyaje?

    Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua. Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada yako?😫😫😫 Nisaidie wana JF🤐
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka ukiwa wako hata ukipanda mkaa unaota

    Mwaka ukiwa wako hata ukipanda mkaa unaota Utashangaa kila kitu kinaenda tu!!
  18. JamiiForums Tanzania Kuweni makini, Global Financial Crisis (Mtikisiko wa uchumi) is coming and real

    Kuna mitikisiko midogo midogo ya uchumi huwa inatokea na inadumu kwa muda mfupi lakini kuna ile mikubwa kama Great Depression, hii mikubwa yote huwa inatanguliwa na vita pamoja na utra super overspending kuanzia level ya watu binafsi, familia, makampuni hadi nchi kwa ujumla. Nikisema ultra...
  19. JamiiForums Tanzania Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

    HUNA WAJIBU WA KUMTUNZA AU KUMHUDUMIA MZAZI WAKO AKIWA CHINI YA MIAKA 60 KAMA HAUMWI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi ya Watu. Lakini nitakachojadili hapa ni Haki, kweli, akili na upendo kama ilivyo kwa Watibeli wote. Kama ilivyo kwa mzazi hana wajibu...
  20. JamiiForums Tanzania Dereva wa serikali usithubutu kumpa gari boss wako aendeshe

    Kuna ile inatokea dereva kazoeana na Afisa kama unavojua siku hizi wafanyakazi ni vijana unakuta dereva na boss wote ni washikaji wanakunywa pamoja sasa inatokea dereva labda kachoka au kalewa au kampa demu lift anaamua kumuachia boss aendeshe ili yeye Akakae nyuma adozi aisee ile ni hatari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…