wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe! Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court. Kifupi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye fumanizi, pambana/ pigana na mwenza wako. Achana na aliyezawadiwa penzi

    Ni uzwazwa kupambana/kupigana na aliyezawadiwa penzi wakati wa fumanizi. Kwasabb mumeo/mkeo kafanya maamuzi mwenyewe pasipo kushurutishwa na huku akijua ana mke/mume. Mkeo au mumeo hajabakwa, sasa inakuwaje unaacha kumpiga yeye unampiga mtu aliyekusaidia kumstarehesha?
  3. JamiiForums Tanzania Makonda tunajua ukimya wako wa ghafla si wa kawaida

    Nilishasema kuwa watafichwa Watu wote juu ya yanayoendelea ila siyo Malaika mpendwa mimi wa Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE, ila nikisema hivi huwa mnaniona kama vile hamnazo (nimedata) Kunakotukuka. Kama kuna Kosa kubwa na la Kiufundi ambalo CCM na hasa Rais Samia (Mwenyekiti CCM Taifa) alilifanya...
  4. JamiiForums Tanzania Hamas wasema wako tayari kwa suluhu na kwa vita pia.Waziita juhudi za Biden kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu

    Viongozi wawili wakubwa wa Hamas wamezipuuza jjuhudi za Marekani kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu. Basem Naim akiwa nchini Uturuki ameyapuuza matamshi ya raisi Biden aliyotoa juzi wakati akila askirimu aliposema makubaliano baina ya Hamas na Israel yanatarajiwa kufikiwa ifikapo...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi ukiwa Waziri Tanzania usipokuwa Bilionea umejitakia tu Mwenyewe kwa Ujinga wako

    Kuwa na kiasi cha Pesa cha Kuanzia Shilingi Bilioni Moja katika Akaunti zao ni jambo la kawaida mno kama ilivyo katika Kushindana Kwao kuitafuta Shilingi Trilioni ili wawe na uhakika wa Maisha yao ya Kiujumla na Fedha ya uhakika ya kuwarejesha tena Bungeni kwa Kushinda katika Majimbo yao kila...
  6. JamiiForums Tanzania Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

    Dear men, Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake. Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha. Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au...
  7. JamiiForums Tanzania Maneno yako ni watumishi wako waaminifu

    Inategemeana na unavyoyatumia! Yanaweza kukufanikisha! Yanaweza kukukwamisha! Yanaweza kukutajitisha! Yanaweza kukufukarisha! Leo yako ni matokeo ya maneno ya Jana. Kesho yako haitakuwa tofauti na maneno yako ya leo. Kama hujajizoesha, bora uanze sasa. Tumia kinywa chako kwa makini sana...
  8. JamiiForums Tanzania FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hali ya vyoo kwenye shule anayosoma mtoto wako ikoje?

    Wakuu kwema? Katika mambo ambayo wazazi huzingatia kuuliza yakoje shuleni, vyoo huwa havimo na kama kuna wazazi wanauliza basi ni 1%. Katika sehemu zinazoongoza kwa uchafu katika mazingira ya shuleni vyoo ni namba moja ikifuatiwa na canteen. Jamani kuna baadhiya shule vyoo ni vichafu na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ichunguze Benki Kuu(BoT) kama kweli wako serious katika kusimamia Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha kwa wanaokepesha bila leseni

    Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake. Kinachinishangaza ni kuona matamko mengi ya kuonya watu wanaojihusisha...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuna watu ambao wako systematically prone kwa tabu na mateso na ni vigumu mikosi yao kuondolewa kirahisi kama wengine?

    Hakuna mwanadamu asie kuwa na changamoto. Asilimia kubwa ya watu duniani tunapitia matatizo makubwa mbali mbali ila kuna wale watu ambao utafikiri furaha hata robo sio ridhiki kwao. Unaweza mkuta mmama, mwenye hurka ya kuishi vyema na watu lakini anapitia mateso kutoka kwa mme wake, wifi zake...
  13. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama: Unajua kuzungumza Lugha Mama yako? Watoto wako je?

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote. Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

    Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk Tundu Lissu: - Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka tutakapowaondoa madarakani hawa wanaotunyonya. - Hatuandamani kwa sababu tunataka kujifurahisha, au kufanya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

    Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
  16. JamiiForums Tanzania Sikia kisa cha Binti huyu, Jinsi kinavyosikitisha! Anahitaji Msaada wako na jamii kwa ujumla kukaa sawa. Je, tumsaidiaje?

    Maisha ni fumbo kubwa sana, hayo sio maneno yangu bali ni ya binti huyu mwenye umri wa miaka 35 kwa Sasa,. Binti huyu Ambaye ni yatima muda wake mwingi Anapandisha na kushusha na barabara za Kijijini Kwao pasipokuwa na mwelekeo Wowote Huku akionge Mwenyewe. Kisa kinaanza hivi. Baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ni katika vitu gani inabidi umkaripie mpenzi wako na katika vitu gani inabidi usimkaripie?

    Katika mahusiano kukosoana hata ikiwa kwa ukali si kumshambulia mpenzi wako, bali ni kuboresha uhusiano wenu. Lakini hili litafanikiwa pale tu utakapoweka kila kitu pahala pake, sio sehemu ya kukemea unakaa kimya sehemu ya kuongea kwa upole unafokafoka. Kwa mtazamo wangu dondoo ni hizi hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kizuri Kama kumfikisha mwanamke wako kileleni

    Kilele kinashinda yote Katika ma penzi. Je, umewahi kukutana na experience hii when a woman is on top. Kukubana Sana mbavu zakoo kwa magoti yake. Kukuchomeka vidole vyake masikioni Hadi unavitoa coz anakuumiza kumbe yeye ndo kafika. Kukudondoshea udenda...Yale matemate ya utamuu..kifuani...
  19. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe acha Kutulazimisha tunaokuheshimu tuanze Kukudharau kwa huu Upuuzi wako

    "Sisi Yanga SC siyo Timu ya Kulialia na Kudekadeka kama Wengine kuomba Mechi zao za Ligi zisimamishwe wakidhani hivyo Viporo vyao watavila wakati Yanga SC tumejiandaa kuhakikisha Viporo vyao vyote Vinachacha na Vitachacha. Yanga SC tutaendelea kucheza Ligi na kucheza Mechi za Kimataifa ili...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Umemchoka Mpenzi wako au mahusiano? jifunze hapa

    Kuchoka ktk uhusiano huonekana kwa mtu kujitenga au kumuepuka mwenzi wake kwa sababu mbalimbali. Baada ya muda, mtu anaweza kujitenga kwa ufahamu au kwa makusudi kutokana na hisia za kutojali na kukosewa jambo katika uhusiano. Ingawa hii inaweza kuathiri sana mahusiano, kuna mambo hufanya ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…